Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,666
Hahaha acha uoga mtoto wa kiumehuyu jamaa sijui ana elimu ya dunia gani. Post zake ni hizi hizi tu! mara ndoto mara uchawi! Naumuogopaga balaa
Hahaha acha uoga mtoto wa kiumehuyu jamaa sijui ana elimu ya dunia gani. Post zake ni hizi hizi tu! mara ndoto mara uchawi! Naumuogopaga balaa
Wale watoto ambao wamepatikana bila ndoa wala makubaliano na baba kuingia mitini sijui neno sahihi ni lipi sasa! Niliandika single mother ikaonekana sio sahihiwanaitwa bastard
Asante jembeMojawapo wa vizazi vya duniani ni kizazi cha wachawi washirika na walozi. Hii ni jamii inayofanya kila mbinu kujitanua na kujijengea himaya kubwa na yenye nguvu zaidi duniani.
Kwenye ulimwengu wa kishirikina, mchawi mzuri na wa uhakika si yule wa kurithishwa au kufunzwa duniani (kwenye post zilizopita tumeona kuna vyuo vya kishirikina) hawa wanakuwa si halisi hawa wana damu na makandokando ya kiimani na starehe za kidunia, kwahiyo wachawi hufanya kila aina ya mbinu kupata kizazi chao kisichochakachuliwa kwa njia zifuatazo:-
1. Kutumia wanawake wanaojiuza, vyovyote ufanyavyo ukifanya naye ngono kwa kondom au bila kondom lazima manii zako utaziacha. Kujiokoa na hili tumia kondom kisha ukimaliza kufanya dhambi zako katupe chooni usikubali yeye ndio afanye hiyo kazi itakula kwako.
2. Kutumia mahawara na nyumba ndogo wanaopenda kwenda kwa waganga. Yeye atatumwa manii zako ili atengenezewe dawa kumbe ndio watu wanazichukua wakafanyie yao.
3. Kupenda kujichua, mara nyingi hii watu hufanyia bafuni kule nako watu huweka mtego yao na kuchukua malighafi. Na hii mara nyingi ni kwa wale watu wazima.
4. Ndoto nyevu na kuota unafanya mapenzi mpaka unatoa manii kabisa, hii mara nyingi huwatokea wale wenye kuleta nyodo kwa wanawake na kujisikia kulikopitiliza.
Manii hizi huchanganywa na madawa na kwa njia za kishirikina huwekewa wanawake wenye mimba changa au mimba zinazotunga na kulea mimba ya kichawi mpaka mtoto anazaliwa akiwa mchawi. Mtoto wa namna hii huwa agent tangu kuzaliwa kwahiyo hata ahubiriweje hawezi kubadilika.
Jiepushe na haya kwa:
1. Kuwa na mwenza mmoja mwaminifu
2. Kuhifadhi manii zako vizuri kwa namna yoyote ile na kwa hali yoyote ile, hakikisha haziangukii mikononi mwa yeyote
3. Kuepuka uwezavyo kufanya masturbation na kufanya mapenzi na watu usiowafahamu
Kwa njia hii utasaidia mno kudhoofisha kizazi cha kichawi na kishirikina
Post in thread 'Aina za manii kwenye ushirikina na kazi zake' Aina za manii kwenye ushirikina na kazi zakeAsante jembe
Waafrika wanapenda sana hadithi za uchawiUchawi haupo na hakuna kitu kama hicho duniani.
Nashangaa humu watu wanajadili vitu ambavyo havipo, uchawi haupo na haujawahi kuwepo.
Nishawambia watu wanaodaiwa kua ni wachawi na waganga waniroge sijawahi kuonanimeroheka,kuna mwingine niliwahi kumpiga makofi nikamwambia akaniroge sijawahi kuona. Uchawi haupo.
Kama kuna mtu humu anadhani yeye ni mchawi akaniroge nimemruhusu.
Huyo bimkubwa ndio ana code maana kuna mahali kazifunga hizo maniiHabari Mshana jr , hii kesi nishakutana nayo kwa kaka yangu alikua na bi mkubwa na mdogo inasemekana bi mkubwa alichukua shahawa zake akafanyia mambo hivyo akienda kwa bi mdogo shuguli zero performance akirudi huku kwa mkubwa mambo swaaaafi kabisa ,
Swali je akitaka kujinasua afanye nini?
Usiku mwema kesho takucheki hebu angalia darini unaona nini? Angalia bila kupepesa macho kwa dakika moja utaona kitu

Je Uchawi na ushirikina ni vitu tofauti?Ni imani zenye uhalisia kuna kundi kubwa sana la watoto wachawi na washirikina.. Tena mahiri hasa Jiulize katika umri ule kajifunza au kafunzwa saa ngapi? Tena yuko daraja la juu! Kumbuka Uchawi na ushirikina pia vina madaraja
🙄🙄🙄Duh navyokua najilibwasa kumbe watakua washafanya Yao sasa Hawa ambao wako sokoni inakuaje mbn hili tatizo jipyaMojawapo wa vizazi vya duniani ni kizazi cha wachawi washirika na walozi. Hii ni jamii inayofanya kila mbinu kujitanua na kujijengea himaya kubwa na yenye nguvu zaidi duniani.
Kwenye ulimwengu wa kishirikina, mchawi mzuri na wa uhakika si yule wa kurithishwa au kufunzwa duniani (kwenye post zilizopita tumeona kuna vyuo vya kishirikina) hawa wanakuwa si halisi hawa wana damu na makandokando ya kiimani na starehe za kidunia, kwahiyo wachawi hufanya kila aina ya mbinu kupata kizazi chao kisichochakachuliwa kwa njia zifuatazo:-
1. Kutumia wanawake wanaojiuza, vyovyote ufanyavyo ukifanya naye ngono kwa kondom au bila kondom lazima manii zako utaziacha. Kujiokoa na hili tumia kondom kisha ukimaliza kufanya dhambi zako katupe chooni usikubali yeye ndio afanye hiyo kazi itakula kwako.
2. Kutumia mahawara na nyumba ndogo wanaopenda kwenda kwa waganga. Yeye atatumwa manii zako ili atengenezewe dawa kumbe ndio watu wanazichukua wakafanyie yao.
3. Kupenda kujichua, mara nyingi hii watu hufanyia bafuni kule nako watu huweka mtego yao na kuchukua malighafi. Na hii mara nyingi ni kwa wale watu wazima.
4. Ndoto nyevu na kuota unafanya mapenzi mpaka unatoa manii kabisa, hii mara nyingi huwatokea wale wenye kuleta nyodo kwa wanawake na kujisikia kulikopitiliza.
Manii hizi huchanganywa na madawa na kwa njia za kishirikina huwekewa wanawake wenye mimba changa au mimba zinazotunga na kulea mimba ya kichawi mpaka mtoto anazaliwa akiwa mchawi. Mtoto wa namna hii huwa agent tangu kuzaliwa kwahiyo hata ahubiriweje hawezi kubadilika.
Jiepushe na haya kwa:
1. Kuwa na mwenza mmoja mwaminifu
2. Kuhifadhi manii zako vizuri kwa namna yoyote ile na kwa hali yoyote ile, hakikisha haziangukii mikononi mwa yeyote
3. Kuepuka uwezavyo kufanya masturbation na kufanya mapenzi na watu usiowafahamu
Kwa njia hii utasaidia mno kudhoofisha kizazi cha kichawi na kishirikina
🤣🤣🤣🤣🤣👆Tutapa tabu sana miaka ya sasa na wanapenda hao kujiuzaMkuu kama hali ni hiyo kumkwepa mchawi ni kazi sana, yote utafanya ila kimbembe sasa usiku wanapokuja kujipimia na vikombe vyao... Mungu atuokoe tu. Sasa utawezaje kufahamu mtoto wako kazaliwa mshirikina? mshana jr
Uchawi na ushirikina sikuwahi kama nitakuja kukumbana navyoHii kitu ni hatari imenitokea mwenyewe kabisa mke wangu wa ndoa kanibebea manii zangu ila issue kubwa nisizae kabisa nje mji nimeuacha kabisa maana nimeona naishi na mshirikina
Tusimulie kidogo mkuuUchawi na ushirikina sikuwahi kama nitakuja kukumbana navyo
Nimenusurika ajali zaidi ya tano
Mke nilieoa nikaishi nae miaka zaidi ya kumi Sikuweza kuchepuka
Siku nilipoweza kuchepuka hapo ndio nilijua mke wangu na baba mkwe ni watu wa aina gani
Ni mwaka sasa lkn niliyoyashuhudia ni hatari
Chini ya jua ni Mungu pekee ndie mlinzi wa yote