Ushirikina katika ngono na Manii

Ushirikina katika ngono na Manii

Uchawi na ushirikina sikuwahi kama nitakuja kukumbana navyo
Nimenusurika ajali zaidi ya tano
Mke nilieoa nikaishi nae miaka zaidi ya kumi Sikuweza kuchepuka
Siku nilipoweza kuchepuka hapo ndio nilijua mke wangu na baba mkwe ni watu wa aina gani

Ni mwaka sasa lkn niliyoyashuhudia ni hatari
Chini ya jua ni Mungu pekee ndie mlinzi wa yote
Tudokeze mkuu
 
Hii kitu ni hatari imenitokea mwenyewe kabisa mke wangu wa ndoa kanibebea manii zangu ila issue kubwa nisizae kabisa nje mji nimeuacha kabisa maana nimeona naishi na mshirikina
Duh ilikuwaje?
 
Tudokeze mkuu
Ni story ndefu Sana mkuu
Lkn ssi binadamu hasa tunaozaliwa ndani ya familia za kikristo sio rahisi kuamini kuwa baadhi ya vitu hasa umaskini, maradhi, Vifo na hata kupoteza kazi vinasababishwa na uchawi au ushirikina.

Uchawi= ushirikina ktk familia yetu tunatoka kwenye familia ya kawaida tu mzee wangu alikuwa mpambanaji Sana kuanzia biashara na kilimo. Hadi nazaliwa tuko vzr lkn hadi najitambua mzee wangu alikuwa hana kitu zaidi ya pombe.
Brother yangu mwajiriwa serikalini aliacha kazi tu bila sababu yyte ya msingi, tulibaki kumlaumu na pombe zake.

Ukafika wakti wangu wa kuoa nikajisemea ngoja nikaoe kijijini kwetu ili siku ya siku iwe rahisi kwa mazingira yote, mjini tuko tukiwa wazima hujui kesho yako ikoje.

Sina wa kumlaumu lkn hadi muda huu Sina familia niko ndio naanza upya.
Mke niliempta ni mrembo kweli hadi wenzangu walishangaa na kunisifia kuwa nina dhahabu ndani, mwenyewe rafiki zangu wailienda mbali kuwa sio type yangu lkn moyoni nijipongeza kuwa na mtoto mkali.

Siku zikaenda, siku baada ya siku nikaanza kupata undani wa ukweni kwangu kuwa ukienda na chakula (sukari au maziwa) hasa kwa Akina mama wakienda kusalimia pale unapokelewa halafu yule mzee ana tokea kwa uani vinaenda kumwagwa.

Pili tulipokuwa tunatofautiana kauli baba mkwe ananipigia simu kuwa msigimbane maana Mungu hapendi
Nikirudi nyumbani namuuliza mwenzangu vp ulimpigia baba kumweleza tofauti zetu? Jibu hapana... kwanni... Namwambia baba yako kanipigia.
Story ni ndefu lkn najaribu kuweka kumbukumbu
Bado nyakati zote sikuweza kungamua kuna nini lkn niliishia kusema baba yangu mkwe ana maono maana alikuwa mtu wa dini Sana.

Miaka ikaenda sasa kuna siku Nina mtu wangu (mpango wa kando) wa siku nyingi kabla sijaoa.
Kama kawaida yetu tukapeana miahadi uwanja wetu ule wa kitambo.
Mzee nikatimba eneo kama kawa mechi ikaanza maandalizi pasha mwili haya bwna mpira huo hapo cheza basi dah ilikuwa aibu mshumaa ahutakiwa kuwaka washa kila ya pozi dah wapi.

Yule bibie akaniambia hapa sio sawa mke kuna namna amefanya kuzuia wewe usitoke nje. Sikutilia maanani nilijialau pengine kukaa muda mrefu bila ya kuchepuka hii ndio madhara yake.
Nikatoka tena chimbo jingine aaah wapi nikajikubali kuwa mechi za nje siwezi tena.

Miaka ikaenda sasa mke wangu akaanza kuumwa hakika nimefilisika kwa kuuguza
Ilifika kipindi jamaa yangu mmoja kaniambia kwnni mke wako ni mtu wa kuumwa? Nitoe kauli yye akamwangalizie kuna nini, yule jamaa ni mtu kanda ya pwani. Habari za kwenda kwa waganga sijawahi kufikiria kamwe na nilikuwa mtu wa kwanza kuoinga kuhusu waganga na niliwaita ni matapeli lkn Leo ndio namkumbuka yule bwna alikuwa mbali zaidi yangu.
Nifupishe tu pengine nitapata siku nyingine kuelezea zaidi lkn niliachana na yule mwanamke ila vita iliyopo kwa sasa ni zaid ya Ukraine vs Russia
Mungu ndie kimbilio langu nimepoteza kila kitu ila najivunia kuwa hai leo.
Nimejua kwanni kaka yangu aliacha kazi
Nimegundua kwanni nilishindwa kuchepuka
Nimegundua kwanni baba yangu mkwe alikuwa anajua maisha yetu mmi na binti yake
Nimetambua kwanni mke nilienae kwa sasa hawezi kupata ujauzito
Nimegundua uchawi, ushirikina, ulozi, uganga ukoje
Nimegundua kuwa ili mtu akuroge, akuue akuumize either akupote au akuue au akufanye msukule lazima apate jina lako tuu, akisha pata jina hayo mengine yatakuja kwa mtirrilo mmoja tu.
Leo naishia hapa Mungu atuweke ni mengi mno
 
Tunakuhitaji utupe huh uzi
 
FB_IMG_1690930577597.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HII NI HATARI!! PUNYETO!! Pepo mkubwa zaidi duniani. Tafadhali kama wewe ni mwanaume au mwanamke, acha unachofanya na usome hii sasa. Kila unapopiga punyeto, wewe changia manii kwa ufalme wa kishetani. Kupiga punyeto ni kama kufanya ngono ndani ndoto, kila unapoachilia, una- mimba a pepo na kama mwanamke, kila wakati wewe ni kupiga punyeto, unafanya ngono na a pepo na wakati mwingine kupata aliyepewa mimba na a pepo. Je, umewahi kujiuliza jinsi wewe ona mwenyewe na watoto au kunyonyesha a mtoto katika ndoto wakati wewe kimwili kuwa na sio? Huyo ni pepo au mapepo wewe alijifungua kwa. Jumapili iliyopita wakati wa One on One sehemu, mtu mwenye akili sana alikuja kwangu kwa kulalamika kwamba alipata ajali 2014 na kupoteza gari lake, karibu kupoteza lake maisha lakini Mungu alimwokoa. Kuanzia 2014 alikuwa akiomba pata fedha kutoka serikalini a "ajali ruzuku" lakini pesa haikutolewa kwake. Kila anapoenda kudai lake pesa yeye ungeambiwa njoo leo, njoo kesho na pesa hizi zimeisha a milioni Randi. Nilipokuwa nikimuombea, Mungu kufunuliwa kwa yangu kwamba alikuwa ametoa mchango wake wote bahati kwa pepo, anapiga punyeto 4 hadi 5 mara a siku. Nilipomuuliza alikubali na aliniuliza ili kumtoa, nilimuombea na nilimwambia kwamba usiku wa leo, utakuwa na ndoto, a mwanamke atakuja kufanya mapenzi wewe, kamata na kumtoa pete, hiyo itakuwa mwisho wa matatizo yako. Jana alikuwa na ndoto, yake zamani mwanafunzi mwenzao alikuja kufanya mapenzi yeye, yeye akamshika, akatoa pete kutoka kidole chake na kuamka mara moja. Leo saa 3:45 kamili usiku, yeye alipokea alart, Randi milioni 1.3 zimekuwa kulipwa ndani akaunti yake kwa AJALI YA BARABARANI FEDHA. Wengi wenu mngekuwa hivyo tajiri sasa lakini kwa sababu ya punyeto, yako utajiri, bahati nzuri na furaha imekuwa iliyotolewa kwa mapepo. Umbali sio kizuizi, naomba yeyote hiyo itaandika amina, na ndivyo itakavyokuwa mwisho ya mateso yako kwa jina la Yesu. View attachment 2784549

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Tatizo ni ufahamu wako ukichukuliwa huwezi kufanya jambo likafanikiwa moja kwa moja....Utakuta una mawazo mazuri sana...na ukimwambia MTU kama ni wazo la Biashara akilifanyia kazi anafanikiwa fasta....lkn ukilitumia mwenyewe hufanikiwi Mambo ya Ulimwengu wa Roho ni Magumu sana
Duh noma
 
Mkuu Mshana, Shalom.
Samahani.Kwa mtu aliyeharibiwa maisha,aharibikiwe na asifanikiwe kwa namna yoyote, unaweza kumsaidia mtu Huyo na akarudi katika hali yake ya kawaida kimafanikio?
 
Yeye mwenyewe maisha yake ni ya bendera fuata upepo tu, ndio aje akusaidie wewe?
 
Nzuri hii.

Thread ya Live Kutoka kuzimu- Rabbon iliangazia hili.

Kwamba punyeto husababisha watoto wa kichawi kuumbwa, nusu mtu nusu Pepo,nusu mtu nusu shetani nk nk.

Kuzini na mwanamke, au kufanya USHOGA, ni hatari Kwa maisha sana katika siku hizi za mwisho.

Tubaki njia kuu.
 
Back
Top Bottom