Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,765
- 126,676
Ukikaribia kuzitingisha nyavu unaona mikono inastuck kwanza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], ukitaka kujaribu kulizuia ndio linakaribia langoni kabisa, mara paap unasikilizia utamu maridadi kabisa.Tena kama physics 2 bao lake lazima lilikuwa balaa
Baada ya nyavu kutingishika, akili inarudi sasa unajikuta unakumbuka yale uliyoyasahau...