Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,100
- 8,213
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Yajayo yanafurahisha.
Hahahaaaaaa!Sie yetu inaishia kwenye chupi
Hata mimk nimeshangaa!Kumbe tuliopata hii changamoto tupo wengi
Form 1?Wewe naye,sasa form one unapata stress ya paper ili iwejeDah. Umenikumbusha mbali sana. Hali hii ilinipata nikiwa form one Tanga Tech, ulikua mtihani wa kiswahili na mwalimu alikua matata sana, kutokana na hofu ya mtihani ule ilioambatana na wasiwasi nilijikuta napiga bao kwa mara ya kwanza tangu niumbwe
Kumbe Ile involuntary action ilitupata wengi cos examination anxiHata mimk nimeshangaa!
Kumbe examination anxiety ilitupata wengiHata mimk nimeshangaa!
Siku hizi kupizi sio lazima mapenzi au nyeto mi nikiwa na hasira napizi bao 2 chapu hasira inakata

ila kwa standars 3&4 sijawahi ona ata mvulana akipizi itakuwaj hao wa kikeNi kweli ila hofu ya mitihani anaweza pata yeyote hata mtoto wa std 3 au 4. Sina hakika ni nini hasa huwakuta wenye hofu kama hizi na hawapo ktk hali ya kuejaculate au kuingia MP je nini huwakuta?
Hahahaaaaaa mkuu uwe una mdisi unayemfaham.nilieleza kwanini ilikuwa ivowe jamaa bana yani Civics ya form1 ndo ikufanye upige bao wakati wenzako wanaongelea engineering science,Additonal Maths,Machemistry😂 watu kama nyie ndo mnasababisha rushwa isiishe bongo😂
Ulihama ukaenda kuingia Moshi Tech ukiwa Form 3, tulikuwa pamoja, mi nilikutangulia darasa moja Nikitokea Mazengo pia2004-2005 mazengo tech(Tukahamishwa ili shule ibadilishwe kuwa chuo)
2006-2007 moshi tech
ExactlyUlihama ukaenda kuingia Moshi Tech ukiwa Form 3, tulikuwa pamoja, mi nilikutangulia darasa moja Nikitokea Mazengo pia
Exactly,halafu utakuta tunajuana sana tu!Ulihama ukaenda kuingia Moshi Tech ukiwa Form 3, tulikuwa pamoja, mi nilikutangulia darasa moja Nikitokea Mazengo pia
😂😂😂 sawa mkuuHahahaaaaaa mkuu uwe una mdisi unayemfaham.nilieleza kwanini ilikuwa ivo
Yap kweli mkuu, af kitu kingine mi advance nikapigia pale pale, so wakati mnamaliza nilikuwa pale piaExactly,halafu utakuta tunajuana sana tu!
Aaaah poa mkuu!So mwaka wenu mlikuwa na warembo akina Grace,Hellen(Majina)Yap kweli mkuu, af kitu kingine mi advance nikapigia pale pale, so wakati mnamaliza nilikuwa pale pia
Hakuweka indicator huyoUmenikumbusha necta yetu ya form six...tumeingia kwenye practical ya chemistry,jamaa akawa anafanya titration huku haoni colour change mpaka acid yote inaisha kwenye burrete..nikaona suruali yake imelowa kwa mbele,nikashtuka..baadae akajakutuambia kuwa alipizi...
Hahahaaaa ndio mkuu, na nyie mlikuwa na manunda akina Mtopa, Kuna binti mmoja mmemaliza na nyie nimekutana nae karibuni Yuko road na uniform za traffic nikacheka sana.Aaaah poa mkuu!So mwaka wenu mlikuwa na warembo akina Grace,Hellen(Majina)
Huyu Grace nilikuwa namfananisha na Ray C. Sijui aliendaga wapi.Aaaah poa mkuu!So mwaka wenu mlikuwa na warembo akina Grace,Hellen(Majina)