Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Ushawahi kupiga bao chumba cha mtihani?

Hahahaaaa
Unyamaunyama lilikua na nguvu fala lilee hahaaa. Ishengoma lilikua noko kikudaa pale Azimio tulikua tunapata tabu sanaa.
Hahaa enzi hizo tulikua tunafuta tick ktk meal card siku ya nyama ili kupiga paper two. Daaaaaaaah Mazengo ilikua booooooooooonge ya shule aseee
Hahahahaaa,Azimio mlikuwa mnakimbiza kwa usafi,halafu wa mwisho ujamaa wanakokaa wakorofi!!!!Vipi kupata maunga saa 11 alfajiri?Ugali ulikuwa unaitwa Gima hahahaaaa au bondo!Wewe inaonekana ulikuwa mzee wa top layer!!!!!!
Mimi nakumbuka laana niliyokuwa nayi ilikuwa kwenda kuoga kwenye mlango wa kanisa maana ndio palikuwa na kisima cha Pump,halafu pale mlangoni kulikuwa na kasakafu mtu unaweza kusimama na kuoga vizuri!! Daaaah,watoto wa dotcom hawajui experience hizi!
 
Aisee mimi ilinitokea nikiwa form one mtihani Geography test ya statistics. mmmh nimegundua nimekosea swali kwa sehem kubwa halafu muda umeisha. pia chuo imenitokea. la chuo tam sana maana baada ya hapo hofu inaisha. Lile bao ni zito maana lipo mithili ya sabuni ya kipande iliyolowekwa muda mrefu. Ninad
han wale madobi mnanielewa. samahani kwa mwandiko mbaya
 
Hahahahaaa,Azimio mlikuwa mnakimbiza kwa usafi,halafu wa mwisho ujamaa wanakokaa wakorofi!!!!Vipi kupata maunga saa 11 alfajiri?Ugali ulikuwa unaitwa Gima hahahaaaa au bondo!Wewe inaonekana ulikuwa mzee wa top layer!!!!!!
Mimi nakumbuka laana niliyokuwa nayi ilikuwa kwenda kuoga kwenye mlango wa kanisa maana ndio palikuwa na kisima cha Pump,halafu pale mlangoni kulikuwa na kasakafu mtu unaweza kusimama na kuoga vizuri!! Daaaah,watoto wa dotcom hawajui experience hizi!
Advance kwenye pepa ya Kemia aseee nilitupaga goli la hatari aseee silisahauu. Halafu akili ikatuliaaaaa safiiiii..
Hahaaa Zengo sasaa daaah aseee Azimio tulikua wapole halafu wasafiiiiii, yaani kwa upole ule unaweza kuta dogo hadi form one inaisha hajakanyaga bweni la ujamaa kwa wakorofi anaogopa kuzinguliwa. Nilikua nalala na bakuli la nyuka asee nisitroti nyuka. Namshukuru Mungu sikuingia chaputa pale maana nahisi Mazengo ilikua ni Hq ya CHAPUTA. Daaah nlikua na mtoto mmoja matata sana pale Msalato daah daahhh atari sanaa. Weekend kwenda Kikuyu kuangalia X~ndo yalikua mambo yetu.
 
Hahahahahaaaaaa,vp unakumbuka PE(Pum.. Erosion)?Daaah hii mambo ilinitesa sana,ikabidi kila nikitoka beach(toilet) nioge!
 
mkuu umenikumbusha mbali kwenye pepa la namba form 6 necta ,nilijikuta napiga bao la lazima yan baada ya kuskia tumebakiwa na dk 30 afu sijaona nilicho jibu cha maana
 
Mimi ishawahi nikuta hii, kuna siku kulikuwa na test mbili za geography mida ya asubuhi na kiswahili mchana..Sasa jana yake nikakesha kusoma geography ili nipige pepa asubuhi..mchana ilipofika kufanya pepa la kiswahili nikawa nasikia usingizi balaa.. Kuingia kwenya pepa la kiswahili nikamua nilale kidogo ili nikiamka ndiyo nifanye..kushtuka msimamizi anasema imebaki nusu saa na sijafanya swali hata moja..asee nilipanic nikawa nabana miguu sielewi..ghafla nikasikia napiga bao matata sana..
 
Wewe umesoma?
Jielimishe kwanza uelewe mambo ya involuntary action,mwishoni umewekewa na references for more demonstration!!!!!Uvivu wako ndio ujinga wako!!!!!
Ukijielimisha siku nyingine hutauluza swali kama hilo!
 
Back
Top Bottom