Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Big sisy huyu mzee labda apelekwe vietinam ndio atapona ,Nilimwambia ndugu yake jana kua ODM is sick mkichwa nikaonekana maneno yangu ya walakini.....:shock:
Umeamkaje kajukuu, sikumbuki mara ya mwisho nlikukagua lini. Usije ukaniaibisha ukweni, hebu come this way.Big sisy huyu mzee labda apelekwe vietinam ndio atapona ,
India anaweza zidiwa zaidi ya hapo!
Hahahaha............ na anavyojua kudeka, mbona unakoma? Afu unafikiri yuko mbali basi?
There are currently 10 users browsing this thread. (6 members and 4 guests)
umeamkaje babu, afu mm nilicome that way afu hukunipa feedback lol..Umeamkaje kajukuu, sikumbuki mara ya mwisho nlikukagua lini. Usije ukaniaibisha ukweni, hebu come this way.
Niko poa kbs babu,Umeamkaje kajukuu, sikumbuki mara ya mwisho nlikukagua lini. Usije ukaniaibisha ukweni, hebu come this way.
Big sisy huyu mzee labda apelekwe vietinam ndio atapona ,
India anaweza zidiwa zaidi ya hapo!
lol huyu babu bana sijui uzee au wajukuu wamemzidia maana ful kuchanganya madesa mmh.Niko poa kbs babu,
Dah!tumekuwa wengi hata ratiba ya ukaguzi naona umeisahau babu,
Si juzi tu nilikuja without babu?umesahu au unataka turudie game?
umeamkaje babu, afu mm nilicome that way afu hukunipa feedback lol..
Hujambo Kid sis? mbona huamkii dadako?
Kweli kbs aisee,Umeona eeh? Itabidi tupitishe mchango am telling you..... Dah!
Aisee yani inabidi hapa familia nzima tuungane tujue tatizo,lol huyu babu bana sijui uzee au wajukuu wamemzidia maana ful kuchanganya madesa mmh.
lol shikamoo big sisy, nimo namshangaa niece we2 kule anataka udoc lol!
hii familia yuna vipaji tofaut tofaut lol.
Kweli kbs aisee,
Tukichelewa atazidiwa babu yetu,
Unaona na kukmbukumbu zishaanza kupotea mpaka ratiba ya ukaguzi inampotea jaman lol!
Kumbe watu wanapenda "appreciation"
Eti? Hospitali gani itamuajiri? Ee Mungu, mkuze Matesha wangu haraka!Shem kwa kuaribu....lol... Muache bana yupo busy..... hata mimi karib nakikimbia it seems... Umemuona Golden Mpolee? eti anataka kua Doctor wa watoto...lol
Tatizo ulikuja kwa gear ya reverse. Sheria za usalama barabarani haziruhusu uende reverse kwa safari ndefu.umeamkaje babu, afu mm nilicome that way afu hukunipa feedback lol..
Mkinichangia Tusker Malt, ntaacha. Ulisema bado siku nne siyo?Umeona eeh? Itabidi tupitishe mchango am telling you..... Dah!
Tatizo ulikuja without bila ya with.Niko poa kbs babu,
Dah!tumekuwa wengi hata ratiba ya ukaguzi naona umeisahau babu,
Si juzi tu nilikuja without babu?umesahu au unataka turudie game?
Na wewe, come this way........lol huyu babu bana sijui uzee au wajukuu wamemzidia maana ful kuchanganya madesa mmh.
:focus:Kweli kbs aisee,
Tukichelewa atazidiwa babu yetu,
Unaona na kukmbukumbu zishaanza kupotea mpaka ratiba ya ukaguzi inampotea jaman lol!
NO NO NO Big sisy,Umeona eeeh? lol... Na kwambia yule binti kiboko! Huwezi jua kesho atakuja na nini....lol.. marhaba mdogo wangu...
hahaha..... au tumuache kidogo ili tumnyanyase walau kidogo?
nimepitia rekodi nimeona sijawahi kulamba 'senksi' ya invisibo....inaonekana ni kitu adimu sana hii aisee! Ngoja niiongeze katika malengo yangu ya 2012!
mmmh, sijui ngoja nione.