Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
KAzi aliyotumwa na akina Zoka, Rostam Aziz na wana magamba ni kuhakikisha anaisambaratisha CDM, sio kuwa kiongozi wa chama kingine, sasa kazi hiyo imekua ngumu kwake cause inaonekana Anti Virus ya CDM sio Proton au nini sijui ile ya Kichina, iko active kweli, hapo ndo shughuli iliopo kwake, kuna wakati hata mama yake aliwahi kumtuhumu kua kijana wake sio msikivu, Gazeti la Mwanahalisi lilimnuku!
 
Kwa maneno mengine ni kwamba, mimi kamwe siwezi kumpigia kura ya urais hata kama wengine watampigia.

Sasa watu wengine siyo mimi. Kama wao wanaona anafaa basi na wampigie kura kwani ndiyo demokrasia hiyo.

Ila kwangu kamwe hafai.
Kama anaakili sawa atakua ameishajua anasimamia wapi kwa mujibu wa msimamo wa kura ya maoni kati yake na mme wa josephine a.k.a mama Junior a.k.a First Lady.
 
Zitto siyo presidential material hata chembe.

Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.

Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo.Kwenye usaliti, tuhuma anazo.

Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.

Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.

He is too polarizing.

You have it right. Zito hana sifa za Rais na kiongozi wa nchi. Mara nyingine unaweza kufikiri kwa kuwa ni kijana lakini ndugu zangu miaka 35 si umri mdogo. Mbona Mnyika ni mdogo wake lakini huwezi kusikia anaropoka hovyo. Fuatilia tu hata anavyojibu hoja humu ndani si rahisi kujibu hoja bila hoja nyingine tata. Jana tu kumjibu Ben kaishia na vitisho vya uchawi. Sehemu nyingine utakuta misemo hivyo "kama hutaki meza wembe". Yaani ni vituko. Ni kwamba Zito ana ambitions kubwa na ni mpiganaji wa mageuzi lakini hizo ambitions zake haziendani na uwezo aliokuwa nao kihulka. Fikra zake ni nzuri tu na ndoto zake ni nzuri tu, tatizo hulka yake. Anajibu hoja nzito kitaarab tofauti kabisa na mwenendo wake jinsi ungetakiwa uwe.
Ni vizuri rafiki zake Zito mkaanaye na kumweleza ukweli uwezo wake unakoweza kufika. Mkimwacha leo atahama CDM na nnakuhakikishia kwa mwenendo wake huu ataishia kuwa Mrema wa pili.
 
Kama ana mashibiki hivyo (CDM & CCM) kwani hawezi kugombea kama INDEPENDENT candidate maana katiba ijayo itaruhusu Independent candidate.
 
Zitto siyo presidential material hata chembe.

Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.

Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.

Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.

Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.

He is too polarizing.

hafai kuwa rais kwa mamlaka ya nani?mbona ccm wanasimamisha wanamtandao na wanapata urais?au unataka kutuaminisha kuwa mbowe na slaa hawana mitandao yao ya wanaowasapoti?nyamaza wewe,huchagui rais peke yako bali ni watanzania wote na wakisema ndio wewe na mavuvuzelaa wenzio mtanyamaza wenyewe!!!kwa dizaini hii ccm watatutawala milele!!!hapa tayari tumegawanyika na tunasakamana sisi kwa sisi na kunyoosheana vidole....
 
hafai kuwa rais kwa mamlaka ya nani?

Hafai kuwa rais kwa mujibu wa maoni na mtazamo wangu.

mbona ccm wanasimamisha wanamtandao na wanapata urais?

Hapo hoja yako hasa ni nini?

au unataka kutuaminisha kuwa mbowe na slaa hawana mitandao yao ya wanaowasapoti?

Sitaki kuwaaminisha lolote. Kwani nyie hamna akili zenu wenyewe?

nyamaza wewe,huchagui rais peke yako bali ni watanzania wote na wakisema ndio wewe na mavuvuzelaa wenzio mtanyamaza wenyewe!!!

Wewe ndiyo ufunge hilo tobo lako! Watanzania wote wakisema "ndio" maana yake nini? Jinga wewe.

kwa dizaini hii ccm watatutawala milele!!!hapa tayari tumegawanyika na tunasakamana sisi kwa sisi na kunyoosheana vidole....

Kama mmegawanyika na mnasakamana nyinyi kwa nyinyi na kunyoosheana vidole, hilo si tatizo langu. Ni tatizo la upumbavu, ujinga, na utoto wenu.
 
Hivi ni chama gani kilianzishwa chini ya uangalizi wa baadhi ya wabunge kutoka Kigoma?
 
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde hama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.

Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.

Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.

Mimi naona this way it is better kwa kila mtuZitto na CHADEMA pia.

This is the point brother! Abebe makorokoro yake aondeke! Kwa hapo alipofikia ni kama amejinyea hadharani mbele ya baba mkwe wake! So sorry Zitto, ondoka tuu, maana whatever that u r trying to do kupitia watu wako kinafail!
 
Last edited by a moderator:
Hana uwezo huo, itakuwa mwisho wake kisiasa..

Ati any rate Zitto amekufa kisiasa! Awe ndani au nje ya Chadema! He is no more. Kama alijidanganya na ule umati wa watu waliohudhuria tamasha la wasanii wa kigoma amepotezwa! Uraisi sio bongo flava! Copy to The Boss
 
Last edited by a moderator:
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde hama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.

Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.

Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.

Mimi naona this way it is better kwa kila mtuZitto na CHADEMA pia.

Sasa nimeelewa kwamba ,kikundi cha masalia kilikuwepo , na kilikuwa na lengo la kukidhoofisha chama na kiliundwa na Mwampamba, Juliana na kundi lao la Masalia. Bali Saanane na Mamuya walikuwa wanatumika kama Intellijensia ya chama, hawa ndiyo walikuwa wanatoa taarifa kwa uwongozi wa juu wa chama kwamba nani ni msaliti , Wenyewe masalia hawakulielewa hili walifikiri Saanane na Mamuya ni wenzao kumbe walikuwa shushu, nina Uhakika Saanane na Mamuya walichukua form za kugombea uongozi bavicha ,walikuwa wanazuga ili kutambua wanaoenda kinyume na ni wakina nani , nafikiri walifanikiwa kuwajua na kuwaripoti kwenye uongozi wa juu wa chama, ndio uongozi wa juu wa chama ukawaengua baadhi ya wagombea kwa kashfa ya Rushwa kazi aliyo ifanya Saanane na Mamuya .

ukitaka kudhibitsha hilo utakugundua kwamba mkuu Saanane alikuwa anajipendekeza kwa masalia ili kujua mipango yao yote ,na akishajua anailipoti kwenye uongozi wa juu, ndio maaana uongozi wa juu ulikuwa unachukua Taadhari juu ya vijana masalia , kiasi kwamba vijana Masalia walikuwa wanaona wanatengwa , sababu walikuwa hawaijui.kumbe ni matendo yao . yliyokuwa ynaripotiwa na Mkuu Saanane na Mamuya. Saanane amefanyakazi ya Intellejensia vilivyo.

kama ni kweli Masalia walikuwa na lengo zuri kwa nini ,wameanza kufumuka baada ya Saa nane kuweka Mambo hadharani? walitakiwa watoe ripoti juu ya hili kwenye uongozi wa chama.kitambo tu kama walikuwa na nia njema. ukisoma maelezo ya Mwampamba na Juliana utagundua kwamba hawa watu walikuwa wana fadhiliwa na Zitto wakishilikiana na kafulila, wakati huohuo walikuwa wanajua kwamba Saanane ni mwenzao, kumbe alikuwa anawapeleleza.


kila mtu angependa role model wake awe raisi lakini sio kwa njia za kinafiki na uzandiki ,mimi Role model wangu ni Profesa Safari , ningependa awe raisi lakini sio kwa manufaa binafsi ni kwa manufaa ya chama , haina haja ya kuleta unafiki , na kutumia shortcuts kila mtu ajipange Chama kimpe baraka agombee lakini sio kwa kutumia unafiki, uzindaki ,uchawi . Siiungi Mkono kundi bali naunga mkono Maslai ya chama. Mwampamba na juliana shonza hamjakomaa bado,nyinyi na akina nape naona muko sawa . Mkuu Zitto nakuheshimu sana najua wewe ni jembe,lakini kuwa mvumilivu mvumilivu hula mbivu waangalie vijana wenzako Mnyika, Lissu ,Sillnde ,Msigwa, Vincent nyerere, Mdee, wanajenga chama , Achana na Kafurila hayapo kundini alishaondoka chadema zamaini, Achana na akina Shyrose Bhanji,achana na JK, achana na Wasira ungana viongozi wenzako wa JUU MBOWE na DR. Slaa mujenge Chama ,Unafiki hautakiwi. Watanzania tunakuamini kwamba ni kijana Tunaekutegemea baadaye kama kiongozi wa chini Lakini kwa sasa sifa zako zinapungua ,zinahamia kwa Mnyika ,Vincent Nyerere na Msigwa. Achana na Propaganda za ccm na NCCR ,kijenge chama mkuu. waambie wakina Mwampamba na Juliana waache Siasa za Maji taka Warudi kwenye mstarii wakijenge Chama.
Najua Dr. Kitila aliingia Kwenye Mkumbo bila yeye kujua, Nina uhakika kwa sasa ameshajua kwamba alikuwa anakitumikia chama au Mtu. na atajirekebisha


Mimi kila siku nabishana na Tuntemeke humu ndani JF kumbe nabishana na kundi la watu?
Kuna watu walikuwa wanamponda DR. Slaa nilifikiri ni magamba kumbe ni wanachadema wenzetu, hatari sana.


Tuache Siasa chafu Tukijenge Chama, "Maslahi ya Chama mbele"


jangakuu@yahoo.com
 
... NCCR na baadae TLP ziliyeyuka ktk medani za ushindani wakati Mangula anaongoza CCM kama katibu mkuu na kwa miaka 10 ya uongoz wake, CCM ilikuwa makin sana ktk mbinu za kisiasa.NCCR ya Mrema na Marando iliyeyuka kama barafu juani! Binafsi naamin kinachotokea leo chadema sio bahati mbaya, CCM imejipanga vizuri kwenye nafasi ya makam mwenyekit, katibu mkuu, na kwenye uenezi. Lazima chadema wakubali kwamba wanapambana na watu wenye akili (katib+makam), mwenezi ni hodari ktk smokescreen na diversions!

We have to mark this day, it signifies a downfall of the most powerful opposition party ever in TZ politics. CDM will never heal, never recover from this. They will have to settle for less, just like NCCR, TLP, UDP and the like.
 
Baada ya myukano baina ya Sangoma Masalia wakiongozwa na Zitto Kabwe, Je nini hatima yao kisiasa hasa Zitto Kafulila, Rungwe pamoja na Kitila Mkumbo. chama chao kipya cha CHAUMMA bado hakijapata usajili wa kudumu. Je watakimbia Chaumma au watabaki CDM na NCCR?
 
yaani zzk ndani ya cdm ni kama wazenj ndani ya muungano! tunatamani waondoke bt namna ya kuwaondoa sasa!??
 
mi naona zito aondoke kwenda kwenye CHAUMMA atuachie CHADEMA yetu salama na uchawi wake aupeleke hukohuko.
 
yaani zzk ndani ya cdm ni kama wazenj ndani ya muungano! tunatamani waondoke bt namna ya kuwaondoa sasa!??

Mkuu huyu mtu ni kirusi kibaya sana. Ataharibu kila kitu iliyolenga kumkomboa mtanzania. Zitto ni hatari hata zaidi ya Wazenj. Yaani yeye kila kitu anaingilia. Udini yumo, gesi yumo, minyukano CCM yumo, ukabila yumo, yukanda yumo. Wewe huyu ni mtu wa aina gani jamani?
 
zitto mshirikina sana aliondoa mkono wa kulia wa mudhihir mudhihir kisa alimkomalia atimuliwe bungeni...naona na mkono wa dr slaa aliukosa kos sababu slaa ana Mungu. kweli uyu muha kaaga kwao.
 
watanzania wataalamu wa kujadili mambo bila hata ya kufikiri.........huyu ben katoa mada, kaandika....na hata mie naeza nikaandika chochote na nikakitengenezea mazingira ya kuwa na UHALISIA japo sio KWELI. tupime habari zetu za kiintanent za Afrca ndipo tujadili mambo. yasije yakaja yale ya mike tyson..wengine juzijuzi walijigamba wana facts zao za kiaina leo wako wapi? mitandao ya africa inatumiwa kiaina. I support no body in this. si ZZK au BEN au wachangiaji wanaoibukia mada oovyoovyo

Nakuunga mkono mkuu,sisi watanzania (hasa vijana)tunapenda sana kushadadia jambo ambalo hatulijui kiundani wala hatuna uhakika na ushahidi nalo.
Juzi wakati wa issue ya mike tyson kuwa s**ga,kuna rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri kwenye chuo kimoja mkoani dodoma wakati anatoa mhadhara wake akachomekea issue ya tyson kuwa shoga,sasa jana ameshindwa hata kuingia kwenye mhadhara kwa aibu ya utofauti wa vitu alivyokuwa anaviongea na uhalisia.
Tuache haya mambo ya kushadadia kitu bila ya kuwa na ushahidi na uhakika na tuache kuhukumu na visasi kwani mtoaji hukumu na mlipaji kisasi yupo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom