Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
Zitto siyo presidential material hata chembe.

Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.

Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.

Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.

Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.

He is too polarizing.

I agree with you 100 percent
 
You have said it all NN! Nilitaka kukugongea LIKES hata 5 ila kuna option ya moja tu!
Zitto hana uzalendo wa kweli katika kuona mabadiliko ya nchi ila ana maslahi binafsi. He is too self centered! He don't qualify to be even a ten cell-leader! He has always been working hard for his self popularity and not for the party! He lacks the elements of solidarity, collaboration and 'we' feeling! Unafiki wake sasa uko wazi mno and I think it's better akaanzisha chama chake ili aweze kuhold hizo nafasi anazotaka!

Zitto siyo presidential material hata chembe.

Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.

Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.

Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.

Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.

He is too polarizing.
 
hafai kuwa rais kwa mamlaka ya nani?mbona ccm wanasimamisha wanamtandao na wanapata urais?au unataka kutuaminisha kuwa mbowe na slaa hawana mitandao yao ya wanaowasapoti?nyamaza wewe,huchagui rais peke yako bali ni watanzania wote na wakisema ndio wewe na mavuvuzelaa wenzio mtanyamaza wenyewe!!!kwa dizaini hii ccm watatutawala milele!!!hapa tayari tumegawanyika na tunasakamana sisi kwa sisi na kunyoosheana vidole....

Hatuhitaji Rais mnafiki na mchawi na ninashangaa hadi muda huu hajajiuzulu nyazifa zake ndani ya CDM
 
Hakuna maslahi kwa Zitto kujitoa CHADEMA.

Kama ni mtu mwenye maslahi binafsi mbele basi atasubiri kuona hatua ya chama kwanza

1. Chama kikimfukuza ataondoka na wafuasi wengi zaidi kwa kusema udini na ukanda na kuwa Saanane na Mamuya walitumwa na chama ndio maana chama hakikuchukua hatua licha mgogoro kuendelea hadharani kwa siku nyingi.

Hii ni ideal situation kwa Zitto lakini CHADEMA inajua hilo ndio maana hawachukui hatua yoyote inamuacha asulubiwe na wananchi wenye hasira

2. Chama kisipomfukuza anaweza bado kuitumia kwa kusema anahujumiwa na chama na hawakuwa na ushahidi wowote ndio maana hawakumfukuza wala Saanane na wenziwe kuchukuliwa hatua.

Kunamanufaa zaidi kwa Zitto kubaki chamani kusubiri itakachifanya chama.
 
Mh Zito kabwe kwa mikono miwili tunakukaribisha ADC tuje tujenge chama cha kizalendo na chama imara kwa mslai ya taifa chama kisicho na ukabila wala dini najua kabla ya 2015 tutakua na wanachama wengi kwani wapo wengi wanoumizwa na vyama uchwara visivyojali democrasia kama ccm na Cdm.sasa ni wakati muafaka wa kuanzisha chama ambacho kitaanzia kwenye mwanachi wa chini kabisa(from the root) ili 2014 serekali za mitaa tukimbize mchaka mchaka achana na hizo m4c.
naamini ADC 2020 tutakimbiza sana.

ADC forever

Zitto na Kafulila Wanachama chao kinaitwa CHAUMA au haujafatilia hizo taarabu zao?
 
Singependa ...kwa yaliyotokea enzi za Dr Walid Aman Kabourou..yajirudie kwenye siasa za upinzani...,mchango wa wapinzani kwenye kuleta uwajibikaji ni mkubwa.....upinzani wenye nguvu ni maendeleo..
Wakazi wa Kigoma walikuwa wakikesha railway station kumsubiri Kabourou ....akaja kuwaacha bila kuwauliza...,Kitaifa ukiondoa Dr Slaa ...ndio katibu mkuu wa chama aliyepata kuwa maarufu...
 
Sijasema aende CCM nimesema awe upinzani kwingine
 
Hakuna maslahi kwa Zitto kujitoa CHADEMA.

Kama ni mtu mwenye maslahi binafsi mbele basi atasubiri kuona hatua ya chama kwanza

1. Chama kikimfukuza ataondoka na wafuasi wengi zaidi kwa kusema udini na ukanda na kuwa Saanane na Mamuya walitumwa na chama ndio maana chama hakikuchukua hatua licha mgogoro kuendelea hadharani kwa siku nyingi.

Hii ni ideal situation kwa Zitto lakini CHADEMA inajua hilo ndio maana hawachukui hatua yoyote inamuacha asulubiwe na wananchi wenye hasira

2. Chama kisipomfukuza anaweza bado kuitumia kwa kusema anahujumiwa na chama na hawakuwa na ushahidi wowote ndio maana hawakumfukuza wala Saanane na wenziwe kuchukuliwa hatua.

Kunamanufaa zaidi kwa Zitto kubaki chamani kusubiri itakachifanya chama.

Ni hasara kwake kama hii ndo strategy..
Chadema watasubiri baada ya 2015 ndio wachukue hatua...

by then kuanzisha chama au kujiunga na kwingine ni very costly...

Kama yuko serious na plan zake,basi time is now....
 
Hukumu yako ni kali mno. Akikua Ataacha. Mtoto halali na hela.
Bila kujali kwamba tuhuma
za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa
Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde hama chake ambacho yeye atakuwa
mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na
CHADEMA na kwingineko.

Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu
2015 lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him
to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.

Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.

Mimi naona this way it is better kwa kila mtuZitto na CHADEMA
pia.
 
Kwa mtazamo wangu Zitto anakuwa na uzito mkubwa sana akiwa Chadema lakini nje ya hapo Zitto ni mwepesi kama ubua.

Na kwakuwa analitambua hilo hawezi kuthubutu kuondoka Chadema na kujiunga na chama kingine. Kwa mtazamo wangu siku akiondoka Chasema atakuwa ndio anaacha siasa na kujikita katika kazi nyingine ambayo si ya kisiasa.
 
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde hama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.

Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.

Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.

Mimi naona this way it is better kwa kila mtuZitto na CHADEMA pia.
Mi nashindwa kitaeleweka nyie watu! Kwa nini Zitto amekuwa tishio kubwa kwa CDMA ili hali chama kina taratibu zake za kuwapata viongozi wake? Kwa maoni yangu, nyie ndio mnakuza mgogoro kwa kumkweza sana Zitto
 
Tunahitaji m2 aliye imara na mwenye uwezo wa kututetea sisi walalahoi na kuwafilisi mafisadi sio kujijengea umaharufu.viongoz CDM ondoeni tofauti jenga chama ikulu hii hapa.
 
Zitto siyo presidential material hata chembe.

Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.

Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.

Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.

Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.

He is too polarizing.

KUna msemo unasema

ANGENDA JUU KIPUNGU, HAFIKILII MBINGUNI

ZITTO NEEDS TO FOCUS ON OTHER THINGS, HE CANNOT BE TRUSTED KABIS
 
Zitto hawezi kuwa na chama kikadumu ni kama mrema wa vunjo ni power monger, ni watu wanaopenda kuonekana na kuheshiwa hata kama ni jambo dogo. sifa zao za maisha nahisi ni sawa
 
Anasema ana damu yake ndani ya CDM! Fine!! Lakini asisahau kwamba tayari watanzania wengine wameishamwaga damu zao kwa ajili ya CDM! Kuwa na damu tu haitoshi!
 
haka kajamaa kwa unafiki hata kwa shetani katakataliwa
 
Kweli nimeamini magamba ni kiboko. Wanawakaroga halafu haooooooooo wanapita katikati yenu wanaenda zao. Ile issue ya mabilioni ya mafisadi huko Uswisi iliyokuwa pioneered na Zitto ndio imeyeyuka kiaina hivyo. Ukombozi wa kweli wa hii nchi hautakuja kupitia vyama vya siasa I suspect. Sijui!
[/QUOTE
Nashawishika kukubaliana na wewe, unajua mi wote wanaomwandama zitto naamin kabisa wao ndo wamelipwa, chuki wanayoionyesha haielekei katika kutatua tatizo lakini kibaya zaidi hawana hata ushahidi, vijana wa kweli chadema kataeni huu upumbavu!
 
"Kiongozi mzuri ni yule anayefanya kazi tu na watu wakaona anafaa kuwaongoza". Hii yakujitafutia kwa njia za fitina haziwafikishi mbali bali zitawaangusha. Nilianza kuona dalili nyingi sana kutoka kwa Zitto kwa jinsi alivyokuwa anajitenga na wenzake. Na ninacho kiona sasa wanajaribu si tu kutafuta namna ya kukigawa chama, bali ni kugawa kura za chadema 2015. Wasidhani sisi watanzania ni wajinga! wasidhani hatutaweza kuwatambua viongozi wazuri baada ya kukaa na viongozi wabaya na wadanganyifu kwa muda mrefu. Zitto ajue kuwa umaarufu wake ni kwasababu ya Chadema na Dr Slaa out of Chadema ataona atakavvyo anguka katika umaarufu. Honestly hata sasa watanzania wengi wanamwangalia kwa wasiwasi sana kama mtu mnafiki na mchu wa madaraka.

NASEMA KWELI CHADEMA IS HERE TO STAY! wanaotegemea kife watasubiri sana.
 
... NCCR na baadae TLP ziliyeyuka ktk medani za ushindani wakati Mangula anaongoza CCM kama katibu mkuu na kwa miaka 10 ya uongoz wake, CCM ilikuwa makin sana ktk mbinu za kisiasa.NCCR ya Mrema na Marando iliyeyuka kama barafu juani! Binafsi naamin kinachotokea leo chadema sio bahati mbaya, CCM imejipanga vizuri kwenye nafasi ya makam mwenyekit, katibu mkuu, na kwenye uenezi. Lazima chadema wakubali kwamba wanapambana na watu wenye akili (katib+makam), mwenezi ni hodari ktk smokescreen na diversions!

We have to mark this day, it signifies a downfall of the most powerful opposition party ever in TZ politics. CDM will never heal, never recover from this. They will have to settle for less, just like NCCR, TLP, UDP and the like.
Maneno mazito but unlucky fools will never understand!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom