Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde hama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.

Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.

Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.

Mimi naona this way it is better kwa kila mtuZitto na CHADEMA pia.

CHAUMA na CCJ ni chama cha kina nani?
 
Huyo ben na genge lake wote wasaliti sasa kutuletea upumbavu wao humu jamvini ndio kiti gani kwa nini asipeleke ushuhuda wake kwenye kamati ya maadili ya chama dr slaa fukuza wote hao hatuna mda wa kumjadili mtu sisi ni kuiondosha ccm tuu hapo ndio vision yetu
 
Oh yeah...kama anatimiza vigezo vilivyowekwa na katiba ni haki yake kama ilivyo haki kwa Watanzania wengine.

Ila kwangu mimi nilishagasema hafai na bado nasema hafai.

zitto anafaa sana kuwa rais! The guy is so smart kuliko maboya wengine chadema.Slaa awe rais? Hiyo ni fedheha na kutoitakia mema tz,mzee ana njaa kali,ni mapovu tu hana lolote
 
Mwisho, nasikia sikia sana habari za kuchinjana. Kuuana nk. Nasikia habari hizi kwa watu wale wale wa kikundi kile kile. Moja, natoka Kigoma. Nimeaga kwetu. Nitakufa kwa amri ya Mungu. Siogopi kufa. Iwapo kifo changu kitatokana na mkono wa mtu, sidhani kama kwa mtu huyo kama hata panya atabaki nyumbani kwao. Underline this.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Haya si maneno yangu,ni ya mh Zitto,anayetaka kuwa rais...Mungu tusaidie.

Mimi ni mtu ambaye hua napenda sana kusikiliza hoja za ndugu ZITTO zenye mshiko na hua na kawaida ya kuchukulia kauli zake seriously, lakini kwa maneno uliyo Quote hapo juu hata mimi yalinishangaza kidogo, nimejiuliza maswali mengi - hivi haya ni maneno ya Mh.Zitto au wamemis-quote; kama ni yeye basi naona watu hawa wanafanya mambo ya kumkasirisha sana; lakini yeye kama a presidential hopeful ajaribu ku-tone down matamshi yake asifanane na mahasimu wake, watu watashindwa kuwatofautisha!

Ajitahidi sana ku-calm down, anapojisikia amepandwa hasira basi hasijibu kitu; nimeona MOD anataka kumkaribisha jamaa gani wa CHADEMA nimesahau jina ili aje kufafanua kutoelewana kwao kunasababishwa na nini, sasa huyo akija humu "akafunguka" na hatujuhi atazungumzia nini kuhusu SAKATA zima, je akizungumza mle maneno mengine ambayo yanamgusa moja kwa moja Mh.Kabwe kama ni ya uongo au ya kweli - si ndio itakuwa balaa!!!!

Mimi nafikiri diplomasia katika kujieleza/kufafanua jambo itumike zaidi kuliko kutuniana misuri, mkubaliane kutokubaliana bila ya kutoleana maneno makali.
 
Zitto siyo presidential material hata chembe.

Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.

Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.

Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.

Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.

He is too polarizing.

Mkuu hata kwenye unafiki Zitto yumo
 
Bukyanagandi,

..hayo maneno uliyo-quote toka kwa mkada yalisemwa na Zitto mwenyewe.

..hata mimi nilishangaa sana kumsoma Zitto akitoa maneno ya ajabu-ajabu kama hayo.

..mimi nadhani Zitto needs new friends na watu wazima wakumshauri jinsi ya kuendesha siasa zake.

..he needs to disown hawa vijana wanaomshabikia yeye huku wakitukana viongozi wenzake wa CDM.
 
Last edited by a moderator:
Bukyanagandi,

..hayo maneno uliyo-quote toka kwa mkada yalisemwa na Zitto mwenyewe.

..hata mimi nilishangaa sana kumsoma Zitto akitoa maneno ya ajabu-ajabu kama hayo.

..mimi nadhani Zitto needs new friends na watu wazima wakumshauri jinsi ya kuendesha siasa zake.

..he needs to disown hawa vijana wanaomshabikia yeye huku wakitukana viongozi wenzake wa CDM.

Well said mkuu, sikutaka kusema mengi lakini kama unavyosema Mh.Kabwe "Needs new friends na watu wazima wakumshauri jinsi ya kuendesha siasa zake" hawe makini sana na kikundi hiki, wanacho tafuta pale ni kutaka kum-provoke ili a loose his COOL, binadamu wengine wako very crafty wana mbinu nyingi za kukumaliza kisiasa; mtu ambaye ulionekana huko brilliant kisiasa anajikuta unahabikiwa ghafla, kwa leo naishia hapa, sina shaka atakuwa ametuelewa.
 
Sihangaiki na maneno ya mitandaoni,rudi usome maana ya ushahidi usiokuwa na shaka ili kuthibitisha kosa

huhangaiki na maneno ya mtandaoni harafu unasemea mtandaoni? What a contradiction. I second The Boss opinions on this.
 
Zitto siyo presidential material hata chembe.

Iwe tuhuma dhidi yake ni za kweli au la, a presidential material has to be above suspicion in many respects.

Sasa huyu kwenye ufisadi, tuhuma anazo. Kwenye undumilakuwili, tuhuma anazo. Kwenye usaliti, tuhuma anazo.

Na sasa hadi kwenye ushirikina, tuhuma anazo.

Where there is smoke there is fire. Zitto hafai kuwa rais.

He is too polarizing.

Thanks for seeing this attitude of our so called hero!
 
Aondoke aondoke...hatutaki Ndumi la kuwili aliyoyafanya yanatosha
 
Zitto, zitto, zitto. Zitto ww ni mchawi, mchonganishi. ndumilakuwili, muuaji (tena wa halaiki-unaposema hata panya hatabaki) wa kutumia uchawi, mnafiki na mengi ya namna hiyo.

Achana na siasa zimekushinda; umechafuka hakuna sabuni ya aina yoyote ya kukuosha ndani ya siasa. Njoo nikupe kazi ya kufanya ila ukija na tunguli kiunoni kazi huna.

Nasema hivyo kwa sababu ww kwa utambulisho wako ww bila tunguli usimami. Kwenye interview lazima tukupekue. Upo tayari?
 
Siasa za kupenda sifa na umaarufu zinawamaliza vijana chipukizi! Pole yake diva na u fest ledi! Naona mambo yanakua magumu..nawatakia kila la kheri
 
kuanzisha chama ni shughuli pevu - awaulize wanasiasa wakongwe kama mrema kwa nini ameamua kufia TLP!!

huu ushauri ni wa kummalizia endapo ataufuata - cha msingi ni kumaliza tofauti hizi zote tangu zilipoanza enzi za kafulila hadi leo -- akimaliza basi yeye na vijana wenzake waje tujiandae kuchukua dola 2015.

ikifikia hatua ya kusemana live kama hivi ni nzuri kuliko ile kimya kimya maana ile inaua chama softly
 
Siko hapa kumuunga mkono
na utaona sijasema 'anafaa'
lakini kugombea urais ni haki yake ya kikatiba
sasa bora atoke huko Chadema afanye siasa where he will be more free
na Chadema watajipanga vizuri.......

Zitto hawezi kutoka Chadema wala hawezi kufukuzwa Chadema. Hizi ni kelele za kawaida tu.
 
Kweli nimeamini magamba ni kiboko. Wanawakaroga halafu haooooooooo wanapita katikati yenu wanaenda zao. Ile issue ya mabilioni ya mafisadi huko Uswisi iliyokuwa pioneered na Zitto ndio imeyeyuka kiaina hivyo. Ukombozi wa kweli wa hii nchi hautakuja kupitia vyama vya siasa I suspect. Sijui!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom