Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Ushauri: Zitto aanzishe Chama chake kingine...

Status
Not open for further replies.
Wapi Kafulila? huyu huyu Zitto ndio aliyemvuruga kijana huyu aliyekuwa mzuri tu sasa kwishney!
 
Last edited by a moderator:
Hana ubavu huo, haya makelele anapiga kwa kuwa yuko ndani ya chama. Akiondoka ndani ya CDM kitu pekee anachoweza kushinda ni ubunge wake, na kwa kuwa ni jimbo liloiloko kijijini, ingekuwa ni mbunge kama wa Ubungo hata jimbo hapati
 
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde hama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.

Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.

Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.

Mimi naona this way it is better kwa kila mtuZitto na CHADEMA pia.

Mkuu The Boss...kuna mambo mawili hapa;

-Zitto Mwenyewe: kulingana na admission aliyoionesha Zitto hapa kwenye jukwaa la siasa wakati wa mahojiano yake na jF pamoja na wakati mwingine (karibuni...) alipotoa michango yake mbalimbali, ni wazi kuwa amegundua kuwa njia aliyokuwa akitaka kuifuata, ya usaliti na kutafuta ufalme haiwezi kufanikiwa tena...ni kama ameamua kujirudi hivi, si vibaya akapewa nafasi ya pili

-Sisi Watanzania: ninajisikia vibaya kusema hili ninalolisema lakini sina jinsi, inabidi niliseme tu...sisi waTanzania (mtu alisema sisi black race jumla tuko hivi) ni wasahaulifu wa haraka sana..mfano kama tusipomfanya Zitto chochote sasa, come 2020, tutakuwa tunamuona kama dhahabu,..tutakuwa tumeshasahau kila kitu tunachokisema sasa
 
Last edited by a moderator:
Aibu tupu kwa vijana wa chama hiki kutishana uchawi ,masonic party shall never take authority from noble tanzanians to lead this innocent nation
 
ZZK keshasema yeye atafia CDM! Mbona mnamlazimisha kuhama chama au kuanzisha chama kingine?
 
Pole zitto,mti wenye matunda mengi ndo unaopigwa mawe siku zoteee...Zitto usiwasikilize watu hawana nia njema juu yako wala hawana shukran kwa kazi uliyoifanya....,maana mengi ni ww zitto umetufanya tujue ila hawaoni haya...komaa hapo hapo CDM.

Hana nafasi cdm tena Ni shiriki ki Imani ya dini
 
..What I can say Zitto, ame play Role kubwa kuifanya CHEDEMA kukomaa whether ni msaliti au sio msaliti! Chadema sio exception party kilihitaji kupitia hapo kinapopitia hata kama sio kwa mgongo wa Zitto!

That is a growth cave CDM isingeweza kutohitaji!

Kama ataondoka au hata ondoka ... In a positive way .. ameijenga CDM in negative way ameisaliti, amekuwa kinyume na mitizamo ya wanachama wenzake...yeye mweneywe anasema hayuko radhi kulamba visigino!!

Haya si maendeleo? Huu msigano ni hasi kwa ukomavu wa chama?
 
Hivi asipogombea urais atakufa??

Au bila kugombea urais basi maisha yatakuwa yamefikia tamati?
 
watanzania wataalamu wa kujadili mambo bila hata ya kufikiri.........huyu ben katoa mada, kaandika....na hata mie naeza nikaandika chochote na nikakitengenezea mazingira ya kuwa na UHALISIA japo sio KWELI. tupime habari zetu za kiintanent za Afrca ndipo tujadili mambo. yasije yakaja yale ya mike tyson..wengine juzijuzi walijigamba wana facts zao za kiaina leo wako wapi? mitandao ya africa inatumiwa kiaina. I support no body in this. si ZZK au BEN au wachangiaji wanaoibukia mada oovyoovyo
 
Bila kujali kwamba tuhuma za Ben Saanane na wengine ni kweli au sio kweli naona ni busara kwa Zitto now ajitoe CHADEMA na aunde hama chake ambacho yeye atakuwa mwenyekiti na ataweza kukusanya washabiki wake wote waliopo CCM na CHADEMA na kwingineko.

Sioni ni vipi Zitto anaweza kugombea urais kwa kupitia CHADEMA sio tu 2015 lakini mwaka wowote ule.....CHADEMA will never be the party for him to vie for the presidency..hii now iko waazi mno.

Na Zitto lengo lake kuu ni kugombea urais...basi ni bora ajipange now.

Mimi naona this way it is better kwa kila mtuZitto na CHADEMA pia.

Kwani ni lazima kila mtu awe rais, mbona una mawazo finyu wewe?
 
Unashangaa Ushirikina na mtu katoka kigoma?
huoni kasema 'ameaga' kwao?
huwahui watu wa kighoma kumbee?

.. I wish Zitto couldn't have written this in his own post!!
.. I can simply say He overreacted to the situation
... haijakaa vizuri!!
.. Its a bit very low for Him!!
 
daaah,tht is bongo politics,but what I think is the party to held the internal meeting too knw the truth nd the party members should be told the truth nd from there the party constitution have to take its party accordingly
 
tatizo la zitto, ni sifa za kijinga kutokana na kuwa ni mwenye uwezo wa kujenga hoja bungeni na nje ya bunge basi kaona kwamba yeye ndio kila kitu! mara oooh nagombea uraisi mara oooh mwaka 2015 sigombei ubunge! unajidanganya! dr slaa ni noma!huzunguki na M4C,sasa unataka kuwa kibalaka wa nep! sifa za kijinga!
Zitto hana lolote. Kama alivyosema mchangiaji mmoja, Zitto nje ya Chadema ni muflisi. Je unajua hata hizo ''hoja'' unazosema anajua kuzijenga ni kazi anayotafuniwa na TISS halafu yeye anafanya kumeza tu? Vyote vinafanyika chini ya uangalizi wa Kikwete kwa sababu maalum. Yeye hajui hata huko TISS kuna watu wameshakerwa na huu upumbavu wa kushughulika na vitu vya kishambega na kuacha mambo ya msingi. Hata CCM kwenyewe kuna watu wanamwona Kikwete anatumia nguvu na resources nyingi kumlinda huyu kigagula bila faida kwa taifa bali kwa malengo yake binafsi ya kisiasa. Kikwete tangu Dr Slaa amkosekose kwenye uchaguzi wa 2010 hajiamini kabisa. Ni kwa vile tu matokeo yalifanyiwa kazi lakini japo Dr hakushinda lakini karibu ngoma ingekuwa droo. Hili linawatisha sana sana CCM kuelekea 2015 na hasa Kikwete ana wasiwasi urais usije kuangukia kwa mtu atakayemletea matatizo kwa kufukua madhambi yake.
 
Pole zitto,mti wenye matunda mengi ndo unaopigwa mawe siku zoteee...Zitto usiwasikilize watu hawana nia njema juu yako wala hawana shukran kwa kazi uliyoifanya....,maana mengi ni ww zitto umetufanya tujue ila hawaoni haya...komaa hapo hapo CDM.

Sikutaka kuchangia ila imebidi ili kuweka mambo sawa , ujanja wa dagaa mchele ni baharini tu , huyo Zitto akitoka Cdm hawa akina kikwete wanaomtuma wote hatawaona , muulize Lamwai .
 
Jepesi abebeki arudi mwandiga tu akalime mawese na kuvua dagaa ziwa tanganyika au akaanzishe shule katubuka,mwanga hadi kasulu,kibondo na kigoma mjini achilia mbali buzebazeba.....
 
..kuna mahali kama nakumbuka vizuri ZZK alisema hatagombea tena ubunge; sina pia uhakika kama ni jimboni kwake tu au popote pale nchini; dalili zinaonesha kuwa anayomipango dhabiti kuhusu siku zake za usoni; anajua anachokifanya; TUSUBIRI TUTAONA KWA VITENDO VYAKE MWNYEWE!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom