Ushauri: Yule Mkurugenzi wa Dodoma ayejaribu kuonyesha anajua kuliko Rais afutwe kazi. Katika utumishi wa umma, hiyo ni insubordination

Kuna watu wabinafsi sana, hawajui kuwa hilo jengo litatumiwa na walemavu, wazee na wagonjwa waliovunjika mifupa.
Wanadhani hawa wote watakuwa na uwezo wa kukwea ngazi
Pia mkurugenzi amemfahamisha vzr raisi kua hilo jengo phase one inakamilika kwenye hio ghorofa ya kwanza na hawataweka lift kwenye hio phase one, ila pia halitaishia hapo litaendelea na phases nyingine, baadae wanaweza kuongeza ghorofa ya pili, ya tatu na kuendelea kulingana na uhitaji wa wakati husika, hapo umuhimu wa hilo jengo kua lift haukwepeki.
 
Huyu ndugu ameonyesha utovu wa nidhamu.

Katika utumishi wa umma hiyo tunaita insubordination, kufanya mambo yanayomdhalilisha kiongozi wako.

Mkurugenzi, baada ya kuona Mh. Rais anaelekea kusimamia msimamo fulani, sisi katika utumishi wa umma lazima ubalansi msimamo wako ili kiongozi wako asidhalilike, unaweza kusema "tutafanyia kazi mkuu" "tutaliangalia" "ntaongea na wataalamu wangu" halafu mkikutana pembeni ndio unampa makavu.

Huu ni unafiki ambao ni halali katika utumishi wa umma, na bila unafiki huu, huwezi kudumu katika kazi za umma, unafiki wa aina hii ni silaha kuu kwa watumishi wa umma.

Sasa basi, kwa kuwa yule mkurugenzi aliamua kuidhalilisha ofisi ya Rais na Rais mwenyewe, ni vyema basi wale walioajiriwa kwa ajili ya kuwafitini na kuwa-frustrate watumishi kwenye misimamo hii waingie kazini mara moja.

Kwanza waanze na umri, anaonekana ni mzee sana, hafai kuwa kwenye utumishi na atakuwa kadanganya umri, pili hiyo tenda ya malift ifuatiliwe mpaka nywele, tatu, mamia ya watu wa CAG waende hapo kila wiki kumkagua.

Takukuru pawe nyumbani kwake, kila siku mahojiano, akaunti zake zifungwe, watu wa usalama wamchimbe hata maisha yake binafsi, kama kuna sehemu aliteleza, waanzie hapo.
Huu uzi wa kipuuzi sana. Uliambiwa na nani kwamba Rais huwa anataka unafiki na wanafiki. Hiyo ni taalum na lazima kusimamia taaluma na utaalam.

Badala ya kumpongeza Kwa ujasiri na kujieleza vizuri we unadai afukuzwe kazi. Ningekuwa na uwezo wa kukuombea laana, ningekuombea. Hufikirii hata familia yake we unawaza heshima ya mtu mmoja tu. Afrika tutaendelea kwa shid sana.
 
Kama wanaona lift ni anasa si itungwe sheria kuwa majengo yote ya umma yasiwe ya ghorofa, na ikibidi yajengwe kwa tope
 
Huyu ndugu ameonyesha utovu wa nidhamu.

Katika utumishi wa umma hiyo tunaita insubordination, kufanya mambo yanayomdhalilisha kiongozi wako.

Mkurugenzi, baada ya kuona Mh. Rais anaelekea kusimamia msimamo fulani, sisi katika utumishi wa umma lazima ubalansi msimamo wako ili kiongozi wako asidhalilike, unaweza kusema "tutafanyia kazi mkuu" "tutaliangalia" "ntaongea na wataalamu wangu" halafu mkikutana pembeni ndio unampa makavu.

Huu ni unafiki ambao ni halali katika utumishi wa umma, na bila unafiki huu, huwezi kudumu katika kazi za umma, unafiki wa aina hii ni silaha kuu kwa watumishi wa umma.

Sasa basi, kwa kuwa yule mkurugenzi aliamua kuidhalilisha ofisi ya Rais na Rais mwenyewe, ni vyema basi wale walioajiriwa kwa ajili ya kuwafitini na kuwa-frustrate watumishi kwenye misimamo hii waingie kazini mara moja.

Kwanza waanze na umri, anaonekana ni mzee sana, hafai kuwa kwenye utumishi na atakuwa kadanganya umri, pili hiyo tenda ya malift ifuatiliwe mpaka nywele, tatu, mamia ya watu wa CAG waende hapo kila wiki kumkagua.

Takukuru pawe nyumbani kwake, kila siku mahojiano, akaunti zake zifungwe, watu wa usalama wamchimbe hata maisha yake binafsi, kama kuna sehemu aliteleza, waanzie hapo.
Wachawi wa awamu ya tano. Mnapenda kunyanyasa watu.
 
Badala ya kumtesa mtu hivi, na kuishia kuidhalilisha taasisi ya urais zaidi, kumchafua rais zaidi kwa kumuonesha mtu wa visasi na asie shaurika ni bora tu amwite amuambie naomba uandike kwa hiyari yako barua ya kuomba kustaafu.

Mbinu kama hizi nilizoita za mabavu (BRUTE FORCE methods) na unsophisticated kwenye thread ya wapanga mbinu wa CCM na CDM manatabirika sana na mbinu zenu za kizamani ndio zinamchafua Mheshimiwa Raisi.
Washauri kama wewe ni hatari kumzunguka mtu muhimu kama huyo raisi wetu kipenzi.
Atachafuka zaidi kimataifa.

Najua yule mzee wa TBA hajakumbuka mzemo mmoja THE BOSS ALWAYS IS RIGHT, angeitikia sawa tutaenda kupitia upya mcihoro ya usanifu na kuleta majibu ndani ya siku 7 kumstahi Boss lakini baadae angetuma kwa Boss kimya kimya maelezo ya kitaalamu kumkumbusha sheria, taratibu, faida na hasara za kuweka lift kisha mzee angeona ukweli.
Kwa rais huyu, hakuna jema. Atafurahia sana, na wapambe hushangilia, anapodhalilisha mtu hata pasipo na makosa. Jengo halikuanza kujengwa siku rais anapouliza umuhimu wa lifti. Wataalanu waliupitia mchoro nsvhengo karibu linakamilika, leo ndio mtu anakurupuka kutoka usingizini na hataki lifti!
 
Umaskini mbaya sana
Tena huyu si ajabu anahujumu uchumi,huwezi kulazimisha vitu vya anasa na visivyo na maana kwenye project za maendeleo,lift kwenye majengo ni mambo ya anasa na haina maana.
Akamatwe na awekwe lokapu kwa ubadhilifu wa Mali ya umma
 
Mimi sioni tatizo,wabomoe Hilo jengo,uchorwe mchoro mpya usio na lift Kisha ujenzi uanze,tatizo liko wapi?
 
Badala ya kumtesa mtu hivi, na kuishia kuidhalilisha taasisi ya urais zaidi, kumchafua rais zaidi kwa kumuonesha mtu wa visasi na asie shaurika ni bora tu amwite amuambie naomba uandike kwa hiyari yako barua ya kuomba kustaafu.

Mbinu kama hizi nilizoita za mabavu (BRUTE FORCE methods) na unsophisticated kwenye thread ya wapanga mbinu wa CCM na CDM manatabirika sana na mbinu zenu za kizamani ndio zinamchafua Mheshimiwa Raisi.
Washauri kama wewe ni hatari kumzunguka mtu muhimu kama huyo raisi wetu kipenzi.
Atachafuka zaidi kimataifa.

Najua yule mzee wa TBA hajakumbuka mzemo mmoja THE BOSS ALWAYS IS RIGHT, angeitikia sawa tutaenda kupitia upya mcihoro ya usanifu na kuleta majibu ndani ya siku 7 kumstahi Boss lakini baadae angetuma kwa Boss kimya kimya maelezo ya kitaalamu kumkumbusha sheria, taratibu, faida na hasara za kuweka lift kisha mzee angeona ukweli.
KWANINI nayeye hakuanza kwa kujitafakari na kuwatuma wataalamu ?.wakati mwingine njia mpya ya uongozi na yenye tija uanza kwa mtafaruku. Msomi halisi haogopi challenge....matumaini yangu JPM ni msomi halisi..hivyo haiwezi kumkwaza.
 
Tena huyu si ajabu anahujumu uchumi,huwezi kulazimisha vitu vya anasa na visivyo na maana kwenye project za maendeleo,lift kwenye majengo ni mambo ya anasa na haina maana.
Akamatwe na awekwe lokapu kwa ubadhilifu wa Mali ya umma
We kwel ndezi,iv unajua adha wanayopata mama waja wazito,vilema,na watu waliozidiwa wkt wa kupandshwa kweny stairz za kawaida?kama waliona haifai kuweka lift bora wangejenga jengo la kawaida,watu ka nyie n hasara kwa tz,bora baba yako angeku dump kwny ndom
 
Ushauri: Yule Mkurugenzi wa Dodoma ayejaribu kuonyesha anajua kuliko Rais afutwe kazi. Katika utumishi wa umma, hiyo ni insubordination

Ifike mahali mambo ya uwanjani aachiwe refa mwenyewe tusiyadandie
 
Kuna watu ni wajinga kweli, sasa haya yote unayotaka huyo mtu afanyiwe ni kwa maslahi ya nani na yanaongeza tija gani kwa nchi yetu?
Majitu yenye roho mbaya kama wewe yanaishia kutumika tu mpaka yanazeeka kwani mnachijua ni kujipendkeza tu.
Mwenzako katumia akili wewe unataumia tumbo.
 
Back
Top Bottom