Ushauri: Yule Mkurugenzi wa Dodoma ayejaribu kuonyesha anajua kuliko Rais afutwe kazi. Katika utumishi wa umma, hiyo ni insubordination

Tena huyu si ajabu anahujumu uchumi,huwezi kulazimisha vitu vya anasa na visivyo na maana kwenye project za maendeleo,lift kwenye majengo ni mambo ya anasa na haina maana.
Akamatwe na awekwe lokapu kwa ubadhilifu wa Mali ya umma
Siku Mkeo au Dada yako watakapopata uchungu wa kuzaa, Umevunjwa mwili na Bodaboda au Gari, umempata stroke/ heart attack ndio utajua maana ya Lift Hospital
Poor Comment🤪🤪
 
Huyu ndugu ameonyesha utovu wa nidhamu.

Katika utumishi wa umma hiyo tunaita insubordination, kufanya mambo yanayomdhalilisha kiongozi wako.

Mkurugenzi, baada ya kuona Mh. Rais anaelekea kusimamia msimamo fulani, sisi katika utumishi wa umma lazima ubalansi msimamo wako ili kiongozi wako asidhalilike, unaweza kusema "tutafanyia kazi mkuu" "tutaliangalia" "ntaongea na wataalamu wangu" halafu mkikutana pembeni ndio unampa makavu.

Huu ni unafiki ambao ni halali katika utumishi wa umma, na bila unafiki huu, huwezi kudumu katika kazi za umma, unafiki wa aina hii ni silaha kuu kwa watumishi wa umma.

Sasa basi, kwa kuwa yule mkurugenzi aliamua kuidhalilisha ofisi ya Rais na Rais mwenyewe, ni vyema basi wale walioajiriwa kwa ajili ya kuwafitini na kuwa-frustrate watumishi kwenye misimamo hii waingie kazini mara moja.

Kwanza waanze na umri, anaonekana ni mzee sana, hafai kuwa kwenye utumishi na atakuwa kadanganya umri, pili hiyo tenda ya malift ifuatiliwe mpaka nywele, tatu, mamia ya watu wa CAG waende hapo kila wiki kumkagua.

Takukuru pawe nyumbani kwake, kila siku mahojiano, akaunti zake zifungwe, watu wa usalama wamchimbe hata maisha yake binafsi, kama kuna sehemu aliteleza, waanzie hapo.
Wewe hujielewi kabisaaa!,sasa kwa taarifa yako taifa letu kimekosa watu wanao jiamini na kujitambua kama yule.Mbona alimjibu vizuri sana mzee baba?,wewe hujui umuhimu wa lift kwenye jengo la hospitali?.Acha ushabiki.
 
Lifti nilazima, na nihitaji la muhimu kwenye jengo la ghorofa lenye matumizi ya tiba ( hospital) Kuna wagonjwa waliozidiwa, na walemavu.
 
Huyu ndugu ameonyesha utovu wa nidhamu.

Katika utumishi wa umma hiyo tunaita insubordination, kufanya mambo yanayomdhalilisha kiongozi wako.

Mkurugenzi, baada ya kuona Mh. Rais anaelekea kusimamia msimamo fulani, sisi katika utumishi wa umma lazima ubalansi msimamo wako ili kiongozi wako asidhalilike, unaweza kusema "tutafanyia kazi mkuu" "tutaliangalia" "ntaongea na wataalamu wangu" halafu mkikutana pembeni ndio unampa makavu.

Huu ni unafiki ambao ni halali katika utumishi wa umma, na bila unafiki huu, huwezi kudumu katika kazi za umma, unafiki wa aina hii ni silaha kuu kwa watumishi wa umma.

Sasa basi, kwa kuwa yule mkurugenzi aliamua kuidhalilisha ofisi ya Rais na Rais mwenyewe, ni vyema basi wale walioajiriwa kwa ajili ya kuwafitini na kuwa-frustrate watumishi kwenye misimamo hii waingie kazini mara moja.

Kwanza waanze na umri, anaonekana ni mzee sana, hafai kuwa kwenye utumishi na atakuwa kadanganya umri, pili hiyo tenda ya malift ifuatiliwe mpaka nywele, tatu, mamia ya watu wa CAG waende hapo kila wiki kumkagua.

Takukuru pawe nyumbani kwake, kila siku mahojiano, akaunti zake zifungwe, watu wa usalama wamchimbe hata maisha yake binafsi, kama kuna sehemu aliteleza, waanzie hapo.
Umeandika u.pumbavu.
Sasa watu walisoma hadi kuwa na ma PhD sababu gani?
 
Tena huyu si ajabu anahujumu uchumi,huwezi kulazimisha vitu vya anasa na visivyo na maana kwenye project za maendeleo,lift kwenye majengo ni mambo ya anasa na haina maana.
Akamatwe na awekwe lokapu kwa ubadhilifu wa Mali ya umma

Mkuu embu vuta picha wewe huna miguu then unaambiwa upande ngazi mzee amejibu kwa weledi na taratibu ndio zinataka hivyo yeye kosa lake ni nini
 
Nashukuru kuna watu bado wapo wenye misimamo ya taaluma zao, wale wanaoamrishwa watoe hela zikanunue ndege halafu zinakamatwa sijui wanafeli wapi
 
Nyie mnamlaumu bure mleta uzi, yote aliyosema ni kinyume chake , Fasihi tamu sana
 
Huyu ndugu ameonyesha utovu wa nidhamu.

Katika utumishi wa umma hiyo tunaita insubordination, kufanya mambo yanayomdhalilisha kiongozi wako.

Mkurugenzi, baada ya kuona Mh. Rais anaelekea kusimamia msimamo fulani, sisi katika utumishi wa umma lazima ubalansi msimamo wako ili kiongozi wako asidhalilike, unaweza kusema "tutafanyia kazi mkuu" "tutaliangalia" "ntaongea na wataalamu wangu" halafu mkikutana pembeni ndio unampa makavu.

Huu ni unafiki ambao ni halali katika utumishi wa umma, na bila unafiki huu, huwezi kudumu katika kazi za umma, unafiki wa aina hii ni silaha kuu kwa watumishi wa umma.

Sasa basi, kwa kuwa yule mkurugenzi aliamua kuidhalilisha ofisi ya Rais na Rais mwenyewe, ni vyema basi wale walioajiriwa kwa ajili ya kuwafitini na kuwa-frustrate watumishi kwenye misimamo hii waingie kazini mara moja.

Kwanza waanze na umri, anaonekana ni mzee sana, hafai kuwa kwenye utumishi na atakuwa kadanganya umri, pili hiyo tenda ya malift ifuatiliwe mpaka nywele, tatu, mamia ya watu wa CAG waende hapo kila wiki kumkagua.

Takukuru pawe nyumbani kwake, kila siku mahojiano, akaunti zake zifungwe, watu wa usalama wamchimbe hata maisha yake binafsi, kama kuna sehemu aliteleza, waanzie hapo.

Wakiwepo watu wanaofanana nawe katika nchi ni tatizo kubwa.
Mtu anaingilia taaluma za watu na anataka watu waaribu ili awatumbue?

Mimi naunga mkono yule jamaa, tabia kama hizi zikiendekezwa itafika mahali kiongozi wa kisiasa hasiye na taaluma ya utabibu akawapangia madaktari matibabu ya kuwapa wagonjwa.

Tuone maandiko yanasemaje katika Biblia:

Mithali 26
1 Kama theluji wakati wa joto, na mvua wakati wa mavuno; Kadhalika heshima haimpasi mpumbavu.

2 Kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu.

3 Mjeledi kwa farasi, lijamu kwa punda, Na fimbo kwa mgongo wa mpumbavu.

4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

5 Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.

6 Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara.

7 Miguu yake achechemeaye huwa dhaifu; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu.

8 Kama mfuko wa vito katika chungu ya mawe; Kadhalika mtu amheshimuye mpumbavu.

9 Kama mwiba uingiao katika mkono wa mlevi; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu.

10 Fundi stadi hufanyiza vitu vyote; Bali amwajiriye mpumbavu ni kama awaajiriye watu wapitao.

11 Kama vile mbwa arudiavyo matapiko yake; Kadhalika mpumbavu afanya upumbavu tena.

12 Je! Wamwona mtu mwenye hekima machoni pake mwenyewe? Afadhali kumtumaini mpumbavu kuliko yeye.

17 Mtu apitaye na kujisumbua kwa ugomvi usio wake; Ni kama mtu ashikaye mbwa kwa masikio yake.

18 Kama mtu mwenye wazimu atupaye mienge, Na mishale, na mauti;

19 Ndivyo alivyo amdanganyaye mwenzake, Na kusema, Je! Sikufanya mzaha tu?

20 Moto hufa kwa kukosa kuni; Na bila mchongezi fitina hukoma.

21 Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, Na kama kuni juu ya moto; Ndivyo mtu mgomvi achocheavyo uadui.

22 Maneno ya mchongezi ni kama vitoweo. Nayo hushukia pande za ndani za tumbo.

23 Midomo ijipendekezayo pamoja na moyo mbaya Ni kama kigae kilichofunikizwa taka za fedha.

24 Achukiaye huficha chuki kwa midomo yake; Naye huweka akiba ya hila moyoni mwake.

25 Anenapo maneno mazuri usimsadiki; Kwa maana ana machukizo saba moyoni mwake.

26 Ingawa chuki hufunikizwa kwa hila; Uovu wake utadhihirika mbele ya kusanyiko.

27 Achimbaye shimo atatumbukia mwenyewe; Naye abingirishaye jiwe litamrudia.

28 Ulimi unenao uongo huwachukia wale uliowajeruhi; Na kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu.
 
Huyu ndugu ameonyesha utovu wa nidhamu.

Katika utumishi wa umma hiyo tunaita insubordination, kufanya mambo yanayomdhalilisha kiongozi wako.

Mkurugenzi, baada ya kuona Mh. Rais anaelekea kusimamia msimamo fulani, sisi katika utumishi wa umma lazima ubalansi msimamo wako ili kiongozi wako asidhalilike, unaweza kusema "tutafanyia kazi mkuu" "tutaliangalia" "ntaongea na wataalamu wangu" halafu mkikutana pembeni ndio unampa makavu.

Huu ni unafiki ambao ni halali katika utumishi wa umma, na bila unafiki huu, huwezi kudumu katika kazi za umma, unafiki wa aina hii ni silaha kuu kwa watumishi wa umma.

Sasa basi, kwa kuwa yule mkurugenzi aliamua kuidhalilisha ofisi ya Rais na Rais mwenyewe, ni vyema basi wale walioajiriwa kwa ajili ya kuwafitini na kuwa-frustrate watumishi kwenye misimamo hii waingie kazini mara moja.

Kwanza waanze na umri, anaonekana ni mzee sana, hafai kuwa kwenye utumishi na atakuwa kadanganya umri, pili hiyo tenda ya malift ifuatiliwe mpaka nywele, tatu, mamia ya watu wa CAG waende hapo kila wiki kumkagua.

Takukuru pawe nyumbani kwake, kila siku mahojiano, akaunti zake zifungwe, watu wa usalama wamchimbe hata maisha yake binafsi, kama kuna sehemu aliteleza, waanzie hapo.

Mkuu yule ni Boss wa TBA ambao ofisi yao ipo Dar
 
Attachments

  • TBA HQ Dsm.png
    TBA HQ Dsm.png
    57.4 KB · Views: 1
Tena huyu si ajabu anahujumu uchumi,huwezi kulazimisha vitu vya anasa na visivyo na maana kwenye project za maendeleo,lift kwenye majengo ni mambo ya anasa na haina maana.
Akamatwe na awekwe lokapu kwa ubadhilifu wa Mali ya umma
Lift ni kwaajili ya watu ambao ni mahututi hawawezi kupanda ngazi, au wale wanaotumia wheelchairs, sijui umeelewa hapo?! Au nirudie?!
 
Duniani watu wanaojua na wenye uelewa mkubwa always huwa na doubts

ila sasa wajinga wajinga wengi huwa kifua mbele na wanajiamini sana na hii ndo tuliyonayo nchi hii

Hapo juu unasema hata kiongozi mkubwa akikosea unafiki utumike sio

halafu ndo mnataka tufike mbali (uchumi wa viwanda)

sasa tukipata kiongozi wa hovy halafu wasaidizi wake wakawa wanafiki si ndo mwanzo wa kuliangamiza taifa?
Wasiojua mambo wanakuwaga na confidence kichizi!
 
Huyu ndugu ameonyesha utovu wa nidhamu.

Katika utumishi wa umma hiyo tunaita insubordination, kufanya mambo yanayomdhalilisha kiongozi wako.

Mkurugenzi, baada ya kuona Mh. Rais anaelekea kusimamia msimamo fulani, sisi katika utumishi wa umma lazima ubalansi msimamo wako ili kiongozi wako asidhalilike, unaweza kusema "tutafanyia kazi mkuu" "tutaliangalia" "ntaongea na wataalamu wangu" halafu mkikutana pembeni ndio unampa makavu.

Huu ni unafiki ambao ni halali katika utumishi wa umma, na bila unafiki huu, huwezi kudumu katika kazi za umma, unafiki wa aina hii ni silaha kuu kwa watumishi wa umma.

Sasa basi, kwa kuwa yule mkurugenzi aliamua kuidhalilisha ofisi ya Rais na Rais mwenyewe, ni vyema basi wale walioajiriwa kwa ajili ya kuwafitini na kuwa-frustrate watumishi kwenye misimamo hii waingie kazini mara moja.

Kwanza waanze na umri, anaonekana ni mzee sana, hafai kuwa kwenye utumishi na atakuwa kadanganya umri, pili hiyo tenda ya malift ifuatiliwe mpaka nywele, tatu, mamia ya watu wa CAG waende hapo kila wiki kumkagua.

Takukuru pawe nyumbani kwake, kila siku mahojiano, akaunti zake zifungwe, watu wa usalama wamchimbe hata maisha yake binafsi, kama kuna sehemu aliteleza, waanzie hapo.
Kumbe ndo maana sekta binafsi inafanya vizuri kwa sababu Hanna unafiki kazini!!....unasifia unafiki!!?nchi haiwezi endelea kamwe kama utumishi wa uma unaendeshwa hivi
 
Back
Top Bottom