Wakati Fulani Penzi linapopotea ,,hatupaswi kuinamisha vichwa vyetu ndani ya bwawa LA Huzuni .,Muhimu ni kuinua vichwa vyetu na kuitazama mbigu kwasababh huko ndo Myoyo yetu ilovunjwa huenda kutibiwa nakurudi kua km moyo wamtoto mchanga.
Maisha nilazima yaendelee ,, hatupaswi kuruhusu changamoto km izi ziweze kuturudisha nyuma eti tusipende tena au tusifanye maisha yetu.Baadhi yawatu huja maishan mwetu Kutumaliza ,,nakatika muda wote hupretend km wanakupenda nakukufanya wewe usijue km ni fake love .. But wat is important ?. Tukubali kushindwa ?. Hupaswi kumjutia ,,jutua muda wako ulopoteza naufurahie sasa umepata nafasi yakujifunza nahatimaye Siku moja uwe namtu sahihi!!!.
Usihisi amekuacha ,,sema " mapenzi yametuacha " he will never be with you ,,and you will never be with him .
So what next ?.... Fanya maisha ,jipe nafasi ,,tuliza moyo ,,nenepa ,,Fanya pesa,, tafuta furaha ..mapenzi yatakuja tu yakweli.
Pole sana sababu unamoyo wa kupenda sana ila umeumizwa,,usivunje moyo ,,wala isikufanye ukapunguza upendo wako kwa mwanamme utakayempata .
IKIWA HUJUI UNAKOENDA ,,UNAPASWA USITUMIE SPIDI KUBWA SANA KWENDA HUKO USIKOJUA ....unaweza ukaanza safar kwakukimbia nasipidi kubwa lkn sababu hujui umbali wake ,,Basi utachoka ,,nawenzako watakupita ".
UKIWA HUJUI UNAKOENDA ,,ANZA SAFAR NA MWENDO MDOGO MDOGO YAAAAN POLE POLE .
SOMETIMES YOU ACCEPT THAT SOME PEOPLE CAN ONLY BE IN OUR HEART BUT NOT IN OUR LIFE .
love you lonelygal.