Ushauri wenu, nimejeruhiwa sana na mapenzi

Ushauri wenu, nimejeruhiwa sana na mapenzi

Pamoja na ushauri watu lakini kusema la ukweli usiombe mapenzi yakukanyage mpaka kuja kuzoea cha moto utakuwa umekihudhuria kikamilifu. Ushauri pendeni kiasi hawa watanzania wenzangu hugeuka kila baada ya dk chache
 
Asante sana
tuliza akili yako na upumzishe moyo na mambo ya mapenzi...kosa kubwa sasa ni kupata rebound boyfred bila kujipa muda wa kuponyesha jeraha lako...ukidhani ndio atakua dawa kwa haya unayopitia...wazungu husema u r ua own master...kumkabidhi mwanaume moyo wako na hajui kuujali ni kujitafutia maumivi..jifunze kupenda kwa step sio kwenda mazima...ni kamwe vitenda huongea zaidi ya maneno...action speak lounder than words.
life is full of wonderful things sio lazima uzipate kwa mwanaume jiweke busy na issue zingine maisha yasonge mbele.
 
STOP complaining and RISE AGAIN, hata kama wakulabua watu 200, don't WORRY one day YES
 
Fanya kuudanganya moyo wako hiv........ muite, myazungumze, nyenyekea umsogeze na muwe kama mmeshapatana, ukiona maumiv yako yamepoa fanya ujitoe haraka kwa kasi ya 250km/hr af kaanze maisha mapya.
Angalizo... ucje ukajsahau kujtoa na ukjtoa usimsubir arud kukutafuta
 
Sikuwahi kujua kama mapenzi yanaweza jeruhi kiasi hiki aisee, kiasi cha kuona dunia imesimama. Nilikuwa tu nasikia na kusoma tu kama hadithi. Dah mtu uliyempa Moyo wako kwa dhati kabisa yeye anakuchukulia poa khaaa sijui inawezekanaje jamani.

Hata siamini Mungu tu anipe nguvu niweze muondoa akilini ili nisonge mbele. Maana nampenda sana hadi nashindwa kuelewa sababu tu. Usithubutu kukutwa na hali hii katika maisha yako, ni uzoefu mchungu mno.

Hivi huwa kuna uwezekano kuwa na uhusiano halafu mmoja wenu awe tu malaika asimkosee mwenzie kabisa? Akimkosea mwenzie kosa tu dogo mawasiliano yanakatika? Lakini wakati huo yeye anakukosea sana tu na unamsamehe bila kujali kwa vile tu unampenda?

Kama unajua hauko serious kwanini sasa usababishe shida kwa mwenzio kiasi hiki jamani? Kwanini jamani drama hizi. Sina majibu sahihi nina maumivu makali mno! Njooni mnisaidie nitokeje hapa please.

Mmmh ama kweli kuishi kwingi kuona mengi, nimeamini hata kivuli chako chaweza kukusaliti siku moja. Nimeamua kusema huku labda naweza pata nafuu kwa kutoa nyongo hii ila siyo rahisi kabisa.

Naombeni nasaha zenu
kosa ni nn,kama umefumaniwa unagegedwa hakuna msamaha kwani ukianza kula nyama ya mtu huwezi acha
 
You need to persevere that pain. Do not let it go easily. Dawa ya maumivu ni maumivu yenyew kuyaruhusu, lia adi moyo utulie.

The seed to germinate it must die first! Do not avoid anger, do not refrain from pain...

Only time will swap away everything, forgetting will come at a right moment.

Keep being his slave until you can manage yourself. Don't get it hasty, take slow but I'm sure you will die and live again and again.

This is what they call AFFECTION
 
Acahana nae kifunza tu uyo. Wapo kibao wanaojielewa lkn kuwa na mipaka ktk maisha usiyumbishwe kama hivi.
ila komaa tu kama hii ndo mwanzo next time utakuwa imara zaid
Ilo ni jambo la kawaida
 
Back
Top Bottom