Ushauri wenu, nimejeruhiwa sana na mapenzi

Ushauri wenu, nimejeruhiwa sana na mapenzi

Hilo ni funzo kwako,, Wakati mwingine usizame mwili mzma mpenz ingiza ukucha tu siku ukaona havielewk unasepa zako kizungu. Ila kwasasa hakuna dawa vumilia utazoeaaa
 
usirudie kumpa binadamu moyo...mpe Mungu tu moyo wako ndiko kuna uzima

Mithali 4:23

Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.

Proverbs 4:23

Keep your heart with all diligence, For out of it is the wellspring of life.
 
You cant advise a woman in love hadi siku atakapotendwa, here comes that day ya kukubali kupokea ushauri.

Next time follow your heart but take your brain with you.
 
Pole lonelygal ... hauko peke yako wenye hali kama yako tupo. Solution ni kusahau yaliyopita na kuganga yajayo.
 
usirudie kumpa binadamu moyo...mpe Mungu tu moyo wako ndiko kuna uzima

Mithali 4:23

Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.

Proverbs 4:23

Keep your heart with all diligence, For out of it is the wellspring of life.

Noted with thanx
 
Watu wasio julikana wame kula vitu visivyo julikana na kuacha....pole siku nyingine usi zame kichwa kichwa mkuu.
 
Sikuwahi kujua kama mapenzi yanaweza jeruhi kiasi hiki aisee, kiasi cha kuona dunia imesimama. Nilikuwa tu nasikia na kusoma tu kama hadithi. Dah mtu uliyempa Moyo wako kwa dhati kabisa yeye anakuchukulia poa khaaa sijui inawezekanaje jamani.

Hata siamini Mungu tu anipe nguvu niweze muondoa akilini ili nisonge mbele. Maana nampenda sana hadi nashindwa kuelewa sababu tu. Usithubutu kukutwa na hali hii katika maisha yako, ni uzoefu mchungu mno.

Hivi huwa kuna uwezekano kuwa na uhusiano halafu mmoja wenu awe tu malaika asimkosee mwenzie kabisa? Akimkosea mwenzie kosa tu dogo mawasiliano yanakatika? Lakini wakati huo yeye anakukosea sana tu na unamsamehe bila kujali kwa vile tu unampenda?

Kama unajua hauko serious kwanini sasa usababishe shida kwa mwenzio kiasi hiki jamani? Kwanini jamani drama hizi. Sina majibu sahihi nina maumivu makali mno! Njooni mnisaidie nitokeje hapa please.

Mmmh ama kweli kuishi kwingi kuona mengi, nimeamini hata kivuli chako chaweza kukusaliti siku moja. Nimeamua kusema huku labda naweza pata nafuu kwa kutoa nyongo hii ila siyo rahisi kabisa.

Naombeni nasaha zenu
Pole sana, asikwambie mtu hyo ktu inauma unatamani had upasuke kwa maumivu
 
Hali kama hii ikukute huna cha kufanya(biashara),kazi au chochote cha kukuingizia kipato halafu uwe kwenye mtaa wenye fitina,masengenyo na umbea tena familia isiwe na sapoti yoyote juu yako,yaani umegeuzwa house boy/girl aiseeeeeee haahhahaa unaweza dhani shetani ndiye aliyeumba ulimwengu...Mungu aturehemu kwakweli.

Pole mrembo.
 
Umeona eeenh acha kabisa!Amen Rehema za Mungu zinatutosha
 
Back
Top Bottom