Bonge moja la ushauri,take thisTatizo you love people to a point they don't deserve, ebu jaribu kujipenda wew ivo uone matokeo,
Hahahahaa....welcome to the world! Zile series za kikorea kwa hapa Bongo hazi-apply kabisa mkuu.
Ila pole sana aise, hii ndiyo dunia yetu. Cha muhumu chukulia poa tu, but next time ukiona mambo hayasomeki wewe anza kujiondoa mapema taratibu taratibu ili maji yakimwagika isiwe pigo sana.
Utasahau tu....endapo ukidhamiria.
Huwa najisikia uchungu sana mdada akiumizwa na mapenzi, pole sana mkuu cha kufanya jitahidi upunguze mawasiliano nae vitu vinavyokukumbusha kuhusu yeye km inawezekana vichome moto,jione una thamani maana hapo unajiona hufai tyr, ipe nafsi yako thamani na upendo km ukiumia sana ruhusu machozi yatoke,
The good thing is that, you are now making progress kwa sababu bila kupitia hiyo hali huwezi kujifunza. So, move on mkuu. Kuwa busy na ishu zako za maana things will be very fine soon na utampata
I believe So Mkuu thanx so much[emoji1317]
Usijali mdogo angu...yatapita tu. Wengine tuliraruriwa mioyo wakati wa chakula cha usiku (dinner), hahahaha.....usichezee hii mida kupata broken heart!Asante sana Nassen