Ushauri wenu, nimejeruhiwa sana na mapenzi

Ushauri wenu, nimejeruhiwa sana na mapenzi

Pole sana na hayo huwa yanatokea hivyo sio kwamba yameanzia kwako.

Simama fanya mambo mengine ya msingi na wala usijione mnyonge kwa sababu siku zote kuteleza sio kuanguka fanya kama umeteleza tu.

Asante emmyta
 
ONLY TIME CAN MAKE YOU STRONG!!

"Doin' Just Fine"

There was a time when I thought life was over and out
When you went away from me
My dying heart made it hard to breathe
Would sit in my room
Because I didn't want to have to go out
And see you walking by
One look and I'd break right down and cry
Now you say that you've made a big mistake
Never meant to take your love away
But you can save your tired apologies
'Cause it may seem hard to believe
But

[Chorus:]
I'm doin' just fine
Getting along very well
Without you in my life
I don't need you in my life
I'm doin' just fine
Time made me stronger
You're no longer on my mind

You were my earth
My number one priority
I gave my love to only you
Anything you'd ask of me
I would do
But somewhere down the road
You felt a change in the weather
And told me that you had to journey on
A kiss in the wind and your love was gone (long gone)
Now you say you never meant to play your games
Girl, don't you know it's far too late
Because you let our love just fall apart
You no longer have my heart

[Chorus]

When you said goodbye
I felt so all alone
There were times at night I couldn't sleep
My heart was much too weak to make it on my own
Baby after all the misery
And pain you put me through
So unfair to me girl
You're no longer my world
And I ain't missin' you at all

[Chorus]

See baby when you walked away
You didn't think that it would end up this way
But I knew you'd be coming 'round someday
Just as sure as my name is Wanya

[Chorus]

That's true dear thanx alot!
 
Usijali mdogo angu...yatapita tu. Wengine tuliraruriwa mioyo wakati wa chakula cha usiku (dinner), hahahaha.....usichezee hii mida kupata broken heart!

Nakuelewa sana Asante
 
Mapenzi hayana guarentee ndugu, na siku zote kwenye mapenzi mpende mtu anaekupenda ila ukilazimisha mapenzi utalia kilio cha samaki.
Nimekujibu ki ujumla sababu umeelezea maumivu unayopata bila kuelezea nini kimetokea hadi ukafikia hiyo hali uliyonayo

Asante [emoji1317]
 
Sikuwahi kujua kama Mapenzi yanaweza jeruhi kiasi hiki aisee,kiasi cha kuona dunia imesimama! nilikuwa tu nasikia na kusoma tu kama hadithi!dah Mtu uliyempa Moyo wako Kwa dhati kabisa yeye anakuchukulia poa khaaa sijui inawezekanaje jamani! Hata siamini Mungu tu anipe nguvu niweze muondoa akilini ili nisonge mbele!Maana Nampenda sana hadi nashindwa kuelewa sababu tu!!Usithubutu kukutwa na hali hii ktk maisha yako,ni uzoefu Mchungu mno!

Hivi huwa kuna uwezekano kuwa na uhusiano halafu mmoja wenu awe tu Malaika asimkosee mwenzie kabisa?akimkosea mwenzie kosa tu dogo mawasiliano yanakatika ?Lakini wakati huo yeye anakukosea Sana tu na unamsamehe bila kujali Kwa vile tu unampenda? Naombeni uzoefu wenu ktk hili?

Kama unajua hauko serious Kwa nini sasa usababishe shida Kwa mwenzio kiasi hiki jamani?kwa nini jamani drama hizi!Sina Majibu sahihi nina maumivu makali mno! Njooni mnisaidie nitokeje hapa please!
Mmmh ama kweli kuishi kwingi kuona mengi!Nimeamini hata kivuli chako chaweza kukusaliti siku moja!

Nimeamua kusema huku labda naweza pata nafuu Kwa kutoa nyongo hii Ila siyo rahisi kabisa!naombeni nasaha zenu

Pole sana. Unajua ukiwa ndani ya nyumba huwezi kujua adha wanazozipata wanaolala nje na siku zote wanaoteseka na kuumia ni wenye mapenzi ya dhati.
Mambo ya kufanya ili uondokane na hili
-Kubaliana na kilichotokea (usipokubali huwezi kumove on) na samehe (siyo kwa ajili ya kurudiana no kwa ajili ya kutafuta afya na furaha ya moyo wako).
-Futa kila kitu chakwe picha, video n.k na pia mblock kweny mawasiliano na usisikilize nyimbo za mapenz na pia sehemu ambazo mlikuwa mnatembelea acha kwenda.
-kuwa busy naposema kuwa busy uwe busy kweli km unakazi au hauna tafuta kitu cha kufanya kitakachokuweka busy muda wote hii itakunyima nafasi ya kufikiria. Mfano. Unatoka kazini saa 11 jion, fanya shughuli za nyumban km kupiga deki, kufua n.k mpaka usiku saa 4 hivi hii itakufanya uchoke na ukichoka mawazo ya kumuwaza mtu yanafutika. Ukilala utashangaa umeamka asubuhi na kwenda kazini
-Epuka kukaa pekee yako angalia movie siyo za mapenzi na music vile vile, kuwa na marafiki wenye mtazamo mpana wa kimaisha na hudhurie nyumba za ibada huko utapata mafundisho yatakayokujenga.
-Usilipe kisasi kwa namna moja au nyingine na chonde chonde usijiingize kweny mapenz kwa sasa (utaumia ww kumbuka huo ni mwili wako) siku moyo wako ukiwa tayari ndiyo uiingie sasa ila kaa miezi km 3 hivi sasa mdogo wangu.
Pole sana
 
Pole sana mpendwa Kwa Hilo gumu,Jitie nguvu usonge mbele,with time utakuwa sawa,Watu huwa hawajui tu thamani za wenzao!pole sana
 
I know how you are going through
i have been there
Its tough ...
first, find a place and be alone, cry as much as you can, and tell yourself that it will.be your last cry for him, release all the pain and make sure ukiondoka hio sehem unaacha all the pains and all the memories hapo,
Then secondly msamehe ..for all he has done, msamehe
Thirdly, dispose anything about him, nguo, zawadi, namba ya simu yan kila kitu,
Mwisho, move on my friend, be happy, kwan ameondoka na upendo wako ? Upendo wako bado unao, yeye ndo ame loose,
so be happy, and ikiwezekana find a trip usafiri hata nenda national parks, au hotel zile ziko sehem za national parks, kaa hata wiki, unainjoi tu alone, mara ya kwanza iwe alone, then badae uwe na friends wako, usiharakishe kupata mtu kwa sasa, give yourself time, LOVE i mean true love will find you one day, your man is just out there waiting for you, you just have to be patient, pia always thank God you never know Mungu kakuepusha na nini.
Am sure you will be alright, utaniambia.
 
Pole sana. Unajua ukiwa ndani ya nyumba huwezi kujua adha wanazozipata wanaolala nje na siku zote wanaoteseka na kuumia ni wenye mapenzi ya dhati.
Mambo ya kufanya ili uondokane na hili
-Kubaliana na kilichotokea (usipokubali huwezi kumove on) na samehe (siyo kwa ajili ya kurudiana no kwa ajili ya kutafuta afya na furaha ya moyo wako).
-Futa kila kitu chakwe picha, video n.k na pia mblock kweny mawasiliano na usisikilize nyimbo za mapenz na pia sehemu ambazo mlikuwa mnatembelea acha kwenda.
-kuwa busy naposema kuwa busy uwe busy kweli km unakazi au hauna tafuta kitu cha kufanya kitakachokuweka busy muda wote hii itakunyima nafasi ya kufikiria. Mfano. Unatoka kazini saa 11 jion, fanya shughuli za nyumban km kupiga deki, kufua n.k mpaka usiku saa 4 hivi hii itakufanya uchoke na ukichoka mawazo ya kumuwaza mtu yanafutika. Ukilala utashangaa umeamka asubuhi na kwenda kazini
-Epuka kukaa pekee yako angalia movie siyo za mapenzi na music vile vile, kuwa na marafiki wenye mtazamo mpana wa kimaisha na hudhurie nyumba za ibada huko utapata mafundisho yatakayokujenga.
-Usilipe kisasi kwa namna moja au nyingine na chonde chonde usijiingize kweny mapenz kwa sasa (utaumia ww kumbuka huo ni mwili wako) siku moyo wako ukiwa tayari ndiyo uiingie sasa ila kaa miezi km 3 hivi sasa mdogo wangu.
Pole sana

Asante sana Kwa hekima !barikiwa
 
Pole sana mpendwa Kwa Hilo gumu,Jitie nguvu usonge mbele,with time utakuwa sawa,Watu huwa hawajui tu thamani za wenzao!pole sana

Dah huwezi tu kuelewa!asante sisy2
 
ONLY TIME CAN MAKE YOU STRONG!!

"Doin' Just Fine"

There was a time when I thought life was over and out
When you went away from me
My dying heart made it hard to breathe
Would sit in my room
Because I didn't want to have to go out
And see you walking by
One look and I'd break right down and cry
Now you say that you've made a big mistake
Never meant to take your love away
But you can save your tired apologies
'Cause it may seem hard to believe
But

[Chorus:]
I'm doin' just fine
Getting along very well
Without you in my life
I don't need you in my life
I'm doin' just fine
Time made me stronger
You're no longer on my mind

You were my earth
My number one priority
I gave my love to only you
Anything you'd ask of me
I would do
But somewhere down the road
You felt a change in the weather
And told me that you had to journey on
A kiss in the wind and your love was gone (long gone)
Now you say you never meant to play your games
Girl, don't you know it's far too late
Because you let our love just fall apart
You no longer have my heart

[Chorus]

When you said goodbye
I felt so all alone
There were times at night I couldn't sleep
My heart was much too weak to make it on my own
Baby after all the misery
And pain you put me through
So unfair to me girl
You're no longer my world
And I ain't missin' you at all

[Chorus]

See baby when you walked away
You didn't think that it would end up this way
But I knew you'd be coming 'round someday
Just as sure as my name is Wanya

[Chorus]
 
Fanya kupotezea fungua moyo kwa mambo mapya mengin, mwisho utajua u were fool to give them all ur attention

You forget a taste of cocacola if you drink pepsi,[/QUOTE

Kwa kweli nilikuwa hivo na kuzidi!BIGstallion[emoji1317]
 
Back
Top Bottom