Nilijua ana danga na bado nikawa nae

TALL WA MTAA

Member
May 10, 2022
31
69
Habari za humu familia kubwa ya wana Jf:

Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu mwaka 2016 nilikutana na dada nikiwa nafanya mazoezi ufukweni (coco-beach) tuka share mawili matatu hakuwa na simu lakini akaomba namba yangu nimtajie then atanipigia.

Yule dada kweli baada ya week alipiga simu na akaja kwangu na hapo penzi jipya likazaliwa na kipindi hicho nilikua kwenye ajira kampuni X hapo dar, mpenzi wangu yeye hakuwa na kazi na isitoshe hakuwa mtanzania kabisa ni mtu kutoka Africa ya kati kaingia kama mkimbizi tu.

Sikuwa na budi kuanza life mpya na yule dada na akaomba tufanye mchakato apate uraia na kweli tume pigana kapata uraia lakini kwa ubini wa majina yangu na hapo sasa nikajua alivyo zaidi.

Kwanza akasema yeye anadanga lakini na wazungu amabao hawapo Tanzania na wana mpatia pesa ya kutosha na kweli 1m au 3m kwa mwezi zilikuwa zinatumwa kwake na kadai kama nitakuwa mwelewa tufanye maisha na kazi niache kwa madai mshahara ni mdogo ambayo nilikuwa napata kama 400k kwa mwezi.
Kazi nimeacha kununua gari tena kwa majina yangu nikawa naendesha uber na bolt nikawa napata 60k kwa siku sio mbaya biashara ikiwa mbovu sana sikosi 30k faida.

Nime fanya ile kazi kama mwaka akasema hii kazi pia haikulipi mwaka 2021 akasema unatakiwa uende chuo sasa lakini nje ya nchi kutokana na matokeo ya kidato cha sita yalikuwa mazuri tu katumia wakala nikapata chuo nje ya nchi kwa mwaka $3600 pamoja na kula na hostel fees.

Gari akauza tukatumia kuongeza pesa ya Ada nikaja chuo nchi za watu kusomea IT(information Technology).
Lakini baada ya kufika huku chuo hata mwezi haujaisha akawa kwenye mahusiano na jamaa mhuni tu pale bongo na kasema hili ni game wewe endelea na masomo najua nacho kifanya.

Baada ya mwezi akasema nisipige sm wala kutuma sms ila nimtafute Snapchat kwa madai jamaa aliye nae kaachana na mke wake sababu yangu hivyo na mimi nime mwambia mimi na wewe hatupo kwenye mahusiano.

Huduma ikawa inasua sua ya pesa ya matumizi na mwezi ulopita kasema lasimi mimi na yeye basi.
Nimeleta story hii kwa ushauri tu nifanye nini sababu kazi iliyo kuwa inanipatia pesa niliacha kwa jeuri, Gari likauzwa na chuo sija maliza naombe ushauri wana JF hii ni true story na nipo kwenye hii situation hadi sasa.

IMG_6586.jpg
 
Kwanza pole pili umebaki na muda gani kuhitim kozi yako?? Je huna ndugu wa kukushika mkono angalau ukamaliza chuo?? Nijibu kwanza kisha tuongee kiume sasa pia weka waz nchi uliyopo mkuu tukusaidie angalau jinsi ya kuishi kulingana na mazingira

Ndugu hakuna mkuu mimi ndio familia ilikuwa inaona nina uelekeo kidogo hata wa kutoa pesa ya kula
 
Habari za humu familia kubwa ya wana Jf:

Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu mwaka 2016 nilikutana na dada nikiwa nafanya mazoezi ufukweni (coco-beach) tuka share mawili matatu hakuwa na simu lakini akaomba namba yangu nimtajie then atanipigia.

Yule dada kweli baada ya week alipiga simu na akaja kwangu na hapo penzi jipya likazaliwa na kipindi hicho nilikua kwenye ajira kampuni X hapo dar, mpenzi wangu yeye hakuwa na kazi na isitoshe hakuwa mtanzania kabisa ni mtu kutoka Africa ya kati kaingia kama mkimbizi tu.

Sikuwa na budi kuanza life mpya na yule dada na akaomba tufanye mchakato apate uraia na kweli tume pigana kapata uraia lakini kwa ubini wa majina yangu na hapo sasa nikajua alivyo zaidi.
Kwanza akasema yeye anadanga lakini na wazungu amabao hawapo Tanzania na wana mpatia pesa ya kutosha na kweli 1m au 3m kwa mwezi zilikuwa zinatumwa kwake na kadai kama nitakuwa mwelewa tufanye maisha na kazi niache kwa madai mshahara ni mdogo ambayo nilikuwa napata kama 400k kwa mwezi.
Kazi nimeacha kununua gari tena kwa majina yangu nikawa naendesha uber na bolt nikawa napata 60k kwa siku sio mbaya biashara ikiwa mbovu sana sikosi 30k faida.
Nime fanya ile kazi kama mwaka akasema hii kazi pia haikulipi mwaka 2021 akasema unatakiwa uende chuo sasa lakini nje ya nchi kutokana na matokeo ya kidato cha sita yalikuwa mazuri tu katumia wakala nikapata chuo nje ya nchi kwa mwaka $3600 pamoja na kula na hostel fees.
Gari akauza tukatumia kuongeza pesa ya Ada nikaja chuo nchi za watu kusomea IT(information Technology).
Lakini baada ya kufika huku chuo hata mwezi haujaisha akawa kwenye mahusiano na jamaa mhuni tu pale bongo na kasema hili ni game wewe endelea na masomo najua nacho kifanya.

Baada ya mwezi akasema nisipige sm wala kutuma sms ila nimtafute Snapchat kwa madai jamaa aliye nae kaachana na mke wake sababu yangu hivyo na mimi nime mwambia mimi na wewe hatupo kwenye mahusiano.
Huduma ikawa inasua sua ya pesa ya matumizi na mwezi ulopita kasema lasimi mimi na yeye basi.
Nimeleta story hii kwa ushauri tu nifanye nini sababu kazi iliyo kuwa inanipatia pesa niliacha kwa jeuri, Gari likauzwa na chuo sija maliza naombe ushauri wana JF hii ni true story na nipo kwenye hii situation hadi sasa.

View attachment 2628979
Vodacom-Mwanza- Kiseke
 
Ok

Wewe ni mwanaume pambana angalia namna utafanya huko uwe unapiga kazi yoyote upate kitu ,, wakati huo ukiendelea na chuo usijali vyakawaida tu mwamba ,, alimradi upo hai komaaa mpka mwisho ,,,

N.B kwa namna yoyote usije ukaacha chuo ,, na ikatokea ukaacha usirudi nyuma huku komaa huko huko ,, utatoboa tu mbona

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Asante sana kiongozi kwa ushauri huu.
 
Pole sana Changamsha Akili huko huko ulipo hutakosa pa kutokea.....ila Hii story ni ya kweli??? Kama ni ndio iweke kiuhalisia omba msaada na usiogopwe kuchekwa wala aibu
Mungu atakusaidia kuna sababu ya wewe kuwa huko wakati huu

True na nipo hii situation kwa sasa na Asante sana kwa ushauri
 
Back
Top Bottom