Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,440
Kumbe nyote mawili ni malevi na mapuuzi makubwa.Nilikuwa mitungi
Kumbe nyote mawili ni malevi na mapuuzi makubwa.Nilikuwa mitungi
Hata Mchagga ni mswahili pia.Hii ishu ikaushie kma anekufa kumbuka ww ndio mtu wa mwisho kua nae ni msala utakuja kunyongwa hivi hivi kua makini huyo demu ni pepopesa mzee inaelekea apo mmekutana mswahili na mchagga patamu apo.
Hafikiiii uswahili wa mswahili huyoHata Mchagga ni mswahili pia.
"...usicheze na mchagga kwenye masilahi...", ni kauli ya kifalla na ya kimaku sana. Wachaga ni wabantu wa kawaida sanaaaaMtu hawezi kuruka akiwa amekaa labda kama ilikua pick-up, huyu jama baada ya kukereka na mlevi mwezie akamua kumsukuma nje ili afe gari lake lipone kuuzwa,
Huyu mchagga angekua anataka ajari mwenyewe asinge mruhusu kuendesha gari vizuri angepigana nae kwenye stearing ili agonge wapate ajari wote, lakini cha kuruka akiwa ameka hapana, tena kumbuka gari zina Central lock mlevi asinge weza kufungua mlango kirahisi bila yeye kuzuia na lock tena, huyu jamaa kaua au alifanya jaribio la kuua huyu manzi wa mchagga, anda wakili wakukutetea, mwenzio kasha pona hilo deni, kwa kifo au kua maututi hospitali atavumiliwa na vikoba, usicheze na Mchagga kwenye masirahi
Atammalizaje? Faler tu huyo mchaggaKaka huyo akipona anakuja kukumaliza wewe..jiandae tu
Amefanya nini kwani? Mbona mnamhukumu?Hakuna mwanaume wa Kaskazini Kama wewe.
Acha Dada zao wakuonee tuu Kwa ushamba wako.

Mambo yalienda kombo mpaka nikapiga chini shule !! Demu nae alikuja kuniacha vibaya sana !! Ila Yolanda ulipo hadi leo nakuchukia !!! Nakuombea Utasa...Sasa rafiki kitendo cha yeye kuruka wakati wewe unaendesha gari ni kesi tayari sasa wewe unaongelea kesi gani tena labda awe hajaumia kabisa kitu ambacho akiwezekaniHabar wakuu, naombeni ushauli wakubwa
Nimechanganyikiwa sana, mimi nina mwanamke wangu mchaga, najua ananipenda sana na huwa ananisaidiaga mambo mbalimbali madogo madogo
Sasa tangu wiki iliyopita analalamika kwamba anadaiwa milioni 2.5 yaan milioni mbili na nusu, kwamba alikopa mwaka jana na alikuwa anatumia na mwanaume wake kabla ya mimi, sasa naona wiki yote hii hana raha.
Na mimi kwasasa sina hiyo hela, akanishawish tuweke gari langu bond mil.3 ili yeye alipe kule baada ya mwezi mmoja analudusha, halafu lile gari tutauza hela nyingine tutafungulia biashara ya baa mimi nikakubali kishingo upande sana
Kila siku naona hana raha, mpaka leo tumetoka tuneenda sehemu tumekula tumekunywa, mara kaanza nisiongee na mtu mara hivi vituko kibao
tukapanda gari tukaondoka njiani vituko mara hivi kugombana akafikia kauli mimi naruka, me nikasema kama mwanamke kweli ruka hapo nipo speed 40 ghafla nikaona mtu kafungua mlango wa gari karuka kweli, nikasikia yowe moja tuuuh
me kiukweli sikusimama kabisa maaana nilipata hasira mpaka nikafika home, mpaka sasa sijui hali yake maana sasa 6 usiku ndo imetokea tena karuka kwenye lami
Maswali :
Najiuliza huyu mwanamke Ana strees zake za madeni anataka kunipa kesi ya mauaji au ndo wivu ?
Hata kama wivu mbona tunagombanaga sana haijawahi tokea hii
Ushauri wenu ndugu zangu
Acha ujinga, kwani wanaojiuza hawapo?Mleta mada nakushauri piga nyeto mambo ya wanawake ni too complicated hasa ukiwa huna pesa.