Ushauri wenu kwa huu mtihani

Ushauri wenu kwa huu mtihani

Aiseee wewe ni muuaji unayechipukia au mkomavu kabisa,
Umemsukuma mtoto wa wenyewe nje ya gari iliyokua speed 40, kadondokea kwenye Lami kapiga yowe moja ukamuacha hapo agongwe na magari mengine ili ionekane kama ni ajali,

Una roho chafu sana, akifa huyo mwanamke kivuli chake kitakutesa sana.
Sasa me nimefanyaje
 
Nilikuwa mitungi
mkuu umefanya kosa kubwa ulipomwacha kwenye lami, huyo mwanamke hafai kabisa, ukipita huo msala achana naye kabisa,yeye bado ana mawasiliano na jamaa yake wa zamani halafu yeye ndo anakushauri uuze gari yako? Una uhakika gani anakutapeli ili akipata hela akuache ?.

Unakuta mwanamke anaingia kwenye vikoba na mikopo kibao hakujulishi ,akizidiwa ndo anaanza mikakati ulipe wewe,huo ni ujinga ,achana kabisa na huyo mwanamke ukiendelea naye atakuletea stress zaidi ya hiyo.
 
Habar wakuu, naombeni ushauli wakubwa

nimechananykiwa sana, mimi nina mwanamke wangu mchaga, najua ananipenda sana na huwa ananisaidiaga mambo mbalimbali madogo madogo
Sasa tangu wiki iliyopita analalamika kwamba anadaiwa mil.2.5 yaan million mbili na nusu, kwamba alikopa mwaka jana na alikuwa anatumia na mwanaume wake kabla ya mimi, sasa naona wiki yote hii hana raha.
namimi kwasasa sina hiyo hela, akanishawish tuweke gari langu bond mil.3 ili yeye alipe kule baada ya mwezi mmoja analudusha, halafu lile gari tutauza hela nyingine tutafungulia biashara ya baa mimi nikakubali kishingo upande sana

kila ck naona hana raha, mpaka leo tumetoka tuneenda sehem tumekula tumekunywa, mara kaanza nisiongee na mtu mara hivi vituko kibao
tukapanda gari tukaondoka njian vituko mara hiv kugombana akafikia kauli mimi naluka, me nikasema kama mwanamke kweli ruka hapo nipo speed 40 ghafla nikaona mtu kafungua mlango wa gari karuka kweli, nikasikia yowe moja tuuuh
me kiukweli sikusimama kabisa maaana nilipata hasira mpaka nikafika hom, mpaka sasa sijui hali yake maana sasa 6 uck ndo imetokea tena kaluka kwenye lami

Maswali :

Najiuliza huyu mwanamke Anastrees zake za maden anataka kunipa kesi ya mauwaji au ndo wivu ?

Hata kama wivu mbona tunagombanaga sana haijawah toke hii

Ushauli wenu ndugu zangu
Maybe mimi naona tofauti. Personally sidhani kama una kosa bwana baharia. Coz we mwenyewe umesema tangu mmetoka out alikua ameshaanza visa kibao tu. Na pia hata source ya huzuni yake ni mwanaume mwingine n.k. huyo manzi hana kichaa. Sasa anatishia kuruka kwa minajili gani? Maana kuruka nje ya gari linalotembea sio kitu cha utani. Ye aliamua kuruka kwa mambo yake mwenyewe. Bora umemtema. Maana mtu mzima hatishii nyau, anakaa chini mnayajenga. Temana nae. Faken
By the way jus know gari ulikua unaenda kueka bondi kwa jamaa yake and yeye ndo angelinunua af baadae ungechomwa moto kama yule jamaa wa dar
 
Nasisitiza pia, huyu kiumbe sio wa kuonea huruma ata robo. Mkuu kwa ili sasa aongozwe na akili na sio hisia. Huyo binti anamset.
 
Sio Ushauli ni Ushauri
Sio Kuluka -Kuruka

Matumizi ya R na L nadhani tungeanzia hapo lakini isiwe kesi nisije shushiwa matusi bure , ngoja tusubiri wakupe huo Ushauli
Sio "analudisha"
Ni "Anarudisha"
 
Hongera sana,ulikosea kitu kimoja,alivyoruka ungesimama urudi reverse ummalizie kabisa,maana usipomuwahi huyo,atakuwahi wewe,stupid!
 
anadaiwa mil.2.5 yaan million mbili na nusu, kwamba alikopa mwaka jana na alikuwa anatumia na mwanaume wake kabla ya mimi,
Ulitakiwa umzabe kofi moja la maana😂😂
namimi kwasasa sina hiyo hela, akanishawish tuweke gari langu bond mil.3 ili yeye alipe kule baada ya mwezi mmoja analudusha, halafu lile gari tutauza hela nyingine tutafungulia biashara ya baa mimi nikakubali kishingo upande sana
Wewe pia ni tatizo, ulikubalije kitu ambacho huwezi kukifanya. Hapo wewe ni wakupigwa makofi
ghafla nikaona mtu kafungua mlango wa gari karuka kweli, nikasikia yowe moja tuuuh
me kiukweli sikusimama kabisa maaana nilipata hasira mpaka nikafika hom, mpaka sasa sijui hali yake maana sasa 6 uck ndo imetokea tena kaluka kwenye lami
👏👏👏👏

After all piga chini huyo mwanamke anajua weakness yako, kama umekubali kuuza gari ukiendelea atakushauri mkauze na nyumba ya wazazi wako pia
 
Hongera sana,ulikosea kitu kimoja,alivyoruka ungesimama urudi reverse ummalizie kabisa,maana usipomuwahi huyo,atakuwahi wewe,stupid!
Kesi, kwanza naona mpaka sasa simu yake haipatikani
 
Back
Top Bottom