Ushauri wenu kwa huu mtihani

Ushauri wenu kwa huu mtihani

Mkuu kuna mchongo hapo unachongewa na nakuona kamavile umeshajaa kwenye 18, hapo kuna watu wawili yaani mdai na huyo mkeo, huyo mwanamke anataka hiyo 2.5 ikawe mtaji wake mtakapo achana (mtaachana baada ya muda mfupi sana), halafu hiyo bar mtakayofungua itafilisika baada ya muda mfupi sana. halafu mtaachana urudi tena hapa jukwaani kutafuta ushauri, jiongeze mkuu
 
Nahisi jamaa alijua utani tu, kuwa mwanamke wake alikua anatania kuwa naruka sasa amekutana na aliejitoa ufahamu akaruka kweli , its happen mna hasira sana wanawake mnaweza fanya maajabu ili uaminiki kwenye mapenzi
Yah mkuu exactly nilijua utani
 
Back
Top Bottom