Ushauri wenu kwa huu mtihani

Ushauri wenu kwa huu mtihani

Habar wakuu, naombeni ushauli wakubwa

nimechananykiwa sana, mimi nina mwanamke wangu mchaga, najua ananipenda sana na huwa ananisaidiaga mambo mbalimbali madogo madogo
Sasa tangu wiki iliyopita analalamika kwamba anadaiwa mil.2.5 yaan million mbili na nusu, kwamba alikopa mwaka jana na alikuwa anatumia na mwanaume wake kabla ya mimi, sasa naona wiki yote hii hana raha.
namimi kwasasa sina hiyo hela, akanishawish tuweke gari langu bond mil.3 ili yeye alipe kule baada ya mwezi mmoja analudusha, halafu lile gari tutauza hela nyingine tutafungulia biashara ya baa mimi nikakubali kishingo upande sana

kila ck naona hana raha, mpaka leo tumetoka tuneenda sehem tumekula tumekunywa, mara kaanza nisiongee na mtu mara hivi vituko kibao
tukapanda gari tukaondoka njian vituko mara hiv kugombana akafikia kauli mimi naluka, me nikasema kama mwanamke kweli ruka hapo nipo speed 40 ghafla nikaona mtu kafungua mlango wa gari karuka kweli, nikasikia yowe moja tuuuh
me kiukweli sikusimama kabisa maaana nilipata hasira mpaka nikafika hom, mpaka sasa sijui hali yake maana sasa 6 uck ndo imetokea tena kaluka kwenye lami

Maswali :

Najiuliza huyu mwanamke Anastrees zake za maden anataka kunipa kesi ya mauwaji au ndo wivu ?

Hata kama wivu mbona tunagombanaga sana haijawah toke hii

Ushauli wenu ndugu zangu
Dah utanisamehe sana ila nimecheka mno. Kuruka kwenye gar
 
Sawa anaweza kutoa but jamaa kasema alikua speed arobain ktk argument zao kwa speed hiyo ni rahisi kusimamisha gar kabla hata hajaruka
Mkuu alikuwa anatishia me naruka mimi nikamjibu kama mwamke kweli ruka nashangaa mtu kafanya kweli, mimi kama mm sikushtuka sana wala nini sikaamua mwenyewe bhana. Nikaskia yowe moja tuuh baada yakuruka

me kwanza mlango ukajifunga nikaendelea nasafari yangu
 
Nimejikuta nimeshtuka ... mbona hiyo nikama kesi BUDA ... yani mtu karuka usiku na hujui yupo katika haligani na inawezekana alijulikana kuwa unaishi naye? Are you serious? Tena haya uliyo andika hapa ni ushahidi tosha ... kuwa makini
 
Tayari huyo mwamba ataenda kunyea debe, watu wote pale bar tumemwona na tunamfahamu!😁😁😂😂😂
 
Hii mada mi nilitaka kukupa ushauri mzuri, lakini nilivyoona umeingiza neno uchaga katika mada yako, ndo hapo nlipoamua nikupuuze. Tuwe na utaratibu wa kuandika uzi bila kushirikisha au kuchafua makabila yetu, iwe ya ndani au ya nje ya Tanzania. Kitendo alichofanya huyo mwanamk kinaweza kufanywa na mtu wa kabila lolote hapa nchini. Moods huu ni utaratibu wa hovyo unaopaswa kupigwa vita, na ikiwezekana kuachwa kuandikwa hapa jamvini.
 
Makasiriko haya baba ake nimekuskia
 
Back
Top Bottom