Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,105
- 165,328
hivi tulisema tunaanza sisi eehh, haya toa mwongozo šIla wakati tunasubiria mkeka usisahau tuna jambo letu liko pending
hivi tulisema tunaanza sisi eehh, haya toa mwongozo šIla wakati tunasubiria mkeka usisahau tuna jambo letu liko pending
Jamaa ni mwekezaji kabisaDaah mkuu inaonesha umetumia gharama kubwa sana
Lakini familia iliyomuoza ikarudi kwangu kwa msaada wa matibabu. Mi nilishasepa.Kama bibilia inavyosema tu "Ndoa na iheshimiwe na watu wote" bhasi kwakua clara alishaolewa usingerudisha mahusiano nae tena ila ungebaki kama mwanaume uliezaa nae tu na heshima iwepo...
ukiheshimu ndoa yako na yake pia ndipo heshima yako itakapo onekana na kuheshimika pia.... ila huku unapoelekea mkuu unaenda dhalilika na kushuka heshima
Ningeendelea Part VI lakini nangoja yaliyojiri.Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho....kikubwa aolewe ila uendelee kumega kama vp. Mchumba wake anakufaham?
Ulichoandika kweli kabisa.Dah! Hspa mbona haya ni maradhi ya kawaida kabisa kwa wanaume mkuu?
Huyo mzazi mwenzio anakupenda sema tamaa na gubu vimemponza. Tukirudi kwenye maadili huyo Mama yake Clara na Clara mwenyewe sio watu wa ndoa, wangelitambua hilo wala asingehangaika na ndoa, ingekua una mke asiye rasmi.
Wife hajawahi kushtukia hata kwa mbali tu kwamba umezama sehem kwa Clara?
Yaani haijawahi kabisa kukuletea tafran kwenye familia yako? Kama jibu ni ndio itabidi ufungue tuisheni tuje kupata somo.
Ntatoa ushauri baadae sasa hivi ngoja kwanza tumalize jambo na Evelyn Salt
Ulichoandika kweli kabisa.
Mpaka leo sielewi kwa nini Clara aliingia ndoa.
Kwa kawaida wanawake wakisha ingia matawi fulani kuolewa na mtu asiye na uwezo na yeye ni tegemezi, inakuwa ngumu.
Ila simlaumu mama kwa kunirudia kwa msaada wa matibabu.
Tungweza kumpoteza Clara na bado ingekuwa hasara kwangu na mwanangu.
Familia yangu bado haifahamu soo hili.
Dah....we bro nashukuru kwa kunielewa.Wewe tunakupa cheo cha ukufunzi! Wengine wakiwa hatua za awali kabisa, yani pale mwanzoni mwanzoni tu hali ya hewa inachafuka makao makuu kwa kukamatwa. Nashangaa wewe umeogelea mikasa yote hiyo na bado umevuka.
Sasa Jemedari, najua itakua ngumu sana kunielewa na sio rahisi (Hapa naongea kama mwanaume) haitakua kazi rahisi sana kukaa mbali na huyo mwanamke (Mzazi mwenzio.
Kwamba umeshakwepa mishale mingi sio kesi sana, ila nnachokuhakikishia, siku wife akigundua na ikaleta tafrani, hautakaa utulie na akili itakurudi. Ni fedheha sana watu wazima kuanza kukaa kukujadili kwa kesi ya michepuko. Na kitakachomuuma zaidi wife sio kuzaa mtoto, ni ile mnaendelea.
Kwa akili zetu wanaume zilivyo, hiyo hali ilivyo na ulivyomgharamia imeongeza sana intimacy kati yenu, sio rahisi kuzinduka kwa sasa ila inabidi ufanye maamuzi magumu. Hapo ulipo ukimuwaza Clara kidogo na mambo mliyopitia ni dakika moja tu unafunga safari kwenda kumuona.
Itakuathiri kwa muda kusitisha mahusiano na Clara, lakini utajenga msingi imara wa future yenu wote. Kumbuka hadi hapo Clara hana cha kupoteza kuendelea na wewe, hata huyo mme wake sifikirii anamjali au kuona ni tatizo. Lakini kwako vitu vingi vipo hati hati.
Pamoja na maongezi yote hayo...bado mpango wetu na Evelyn Salt uko pale pale.
Kama zipo hamna garama , shida inakuja huna kitu utaona kama miujiza kumbe kawaida tuDaah mkuu inaonesha umetumia gharama kubwa sana
Asante sana.Daah pole sana ndgu, wewe ni mkristo eeh?? Nadhani ungekua dini nyingine ungemuoa huyo bibie mke wa pili.
Mara ya kwanza nilidhani ni chai ila imenishawishi kuiamini na umeanzia mbali mkuu, sidhan km kuna mtu hataelewa hii situation yako.
Yote kwa yote na mimi naungana na jamaa hapo alosema fanya maamuzi magumu ua kumtema huyo mke wa mtu.
Hata kama mchizi wake hana kipande ila kumlia mkewe sio fresh kabisa na hata ivo mkeo akijua hilo varangati lake si la kitoto.
Kama ashapona na biashara zake zinaenda poa haina haja ya kuanza maisha mapya ya kujifichaficha ili mle vyenu huku mkiharibu ndoa zenu nyote 2.