Ushauri wenu, dunia naona mviringo!

Sawa tusubiri hiyo part VI, ila kiukweli kama jamaa kajua lazma imuume kichizi.

Na si ajabu huyo mwanamke ashaanza kumuonesha dharau coz anajua wewe upo na unampenda.
 
Soma hadithi yote kwanza mkuu!
 
Mwenzenu kanogewa na shape ya clara
 
Kwa kweli Clara ligi nyingine.
Aliniambia kuna siku, kuna lijamaa likamfuata akitembea barabarani, muda mrefu tu akiomba wawe wapenzi.
wewe umenogewa tu

mtoto wa kike kufuatwa barabarani kawaida

ila nakuhurumia.......maana mkeo akijua.....itakuwa world war III, au atagongwa mpaka na bodaboda........
 
wewe umenogewa tu

mtoto wa kike kufuatwa barabarani kawaida

ila nakuhurumia.......maana mkeo akijua.....itakuwa world war III, au atagongwa mpaka na bodaboda........
Siyo rahisi mkuu.
Niko vizuri.
 
Hapo ndipo watu wengi, hasa wanawake wanashindwa kuwaelewa wanaume.
Mke wangu si kwamba simpendi la hasha.
Wote nawapenda na nina enjoy company zso.
Tofauti ya wanawake , wanaweza kuwa na uhusiano na mwanaume mmoja tu, hadi wakosane.
Utawapendaje wanawake wawili, siye tunaye mmoja tu, ni full matatizo.
 
Mkuu kila la kheri mimi nakuelewa sana na hawa wapiga ramri kuwa siku ikitokea hivi achana nao maisha ni kuifurahisha π‘π‘Žπ‘“π‘ π‘–
 
umeanza thread na mke wa mtu, unamaliza na mke wa mtu...
kilichobaki nawewe utakuwa mke wa mtu soon!
 
Mkuu kila la kheri mimi nakuelewa sana na hawa wapiga ramri kuwa siku ikitokea hivi achana nao maisha ni kuifurahisha π‘π‘Žπ‘“π‘ π‘–
Umenena mkuu huyu dada nimemtoa mbali!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…