Ushauri wenu, dunia naona mviringo!

Ushauri wenu, dunia naona mviringo!

Ha ha!
Jamani mbona nakula Clara tu miaka yote!
Ila mwamba inabidi Clara apate cheo kingine tofauti na alichonacho kwa Sasa. I can imagine Mme Halali wa Clara yupo kwenye Hali mbaya Sana, Lazima Hana amani na ndoa yake.

Na wewe unao uwezo wa kumfanya Clara abaki kwenye ndoa yake hata Mambo ya talaka yakasahaulika. Do something good. Endelea kumfaidi mkeo tu.
 
Daaah, so sad, Jamaa katafta hera mpaka ameambulia ugonjwa uliompelekea kufa richa ya kumpata mtoto mzuri but hakumfaidi si hivyo tu hata kizazi nacho hakifanyi kazi end of the day mke anachukuliwa na watu wengine,
𝐌𝐧𝐚𝐨𝐭𝐚𝐧𝐠𝐚𝐳𝐚 𝐡𝐮𝐦𝐮 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐓𝐚𝐟𝐭𝐚 𝐡𝐞𝐫𝐚 𝐣𝐢𝐟𝐮𝐧𝐳𝐞𝐧𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐬𝐭𝐨𝐫𝐲 𝐡𝐢𝐢. 𝐌𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐭𝐮 𝐮𝐤𝐢𝐨𝐚 𝐮𝐧𝐚 𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐚𝐮 𝐮𝐬𝐢𝐰𝐞 𝐧𝐚𝐳𝐨 𝐤𝐮𝐚𝐜𝐡𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐤𝐨𝐩𝐚𝐥𝐞 𝐩𝐚𝐥𝐞 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐞𝐧𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐲𝐚𝐩𝐨 𝐩𝐚𝐥𝐞 𝐩𝐚𝐥𝐞,
𝐯𝐢𝐣𝐚𝐧𝐚 𝐰𝐞𝐧𝐳𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐮𝐬𝐢𝐝𝐚𝐧𝐠𝐚𝐧𝐲𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚 𝐮𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐭𝐚𝐟𝐭𝐚 𝐡𝐞𝐫𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐚 𝐧𝐢 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐚𝐲𝐞 𝐡𝐮𝐮 𝐧𝐢 𝐮𝐣𝐢𝐧𝐠𝐚 𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐰𝐚𝐧𝐠𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐫𝐚𝐦𝐢𝐢.
 
Dah! Hspa mbona haya ni maradhi ya kawaida kabisa kwa wanaume mkuu?

Huyo mzazi mwenzio anakupenda sema tamaa na gubu vimemponza. Tukirudi kwenye maadili huyo Mama yake Clara na Clara mwenyewe sio watu wa ndoa, wangelitambua hilo wala asingehangaika na ndoa, ingekua una mke asiye rasmi.

Wife hajawahi kushtukia hata kwa mbali tu kwamba umezama sehem kwa Clara?
Yaani haijawahi kabisa kukuletea tafran kwenye familia yako? Kama jibu ni ndio itabidi ufungue tuisheni tuje kupata somo.

Ntatoa ushauri baadae sasa hivi ngoja kwanza tumalize jambo na Evelyn Salt
Kwa hiyo mtumishi wa Bwana unataka twisheni?
 
Halafu tukishauri hapa mtu aachane na habari za single parent tunaonekana hatujui kitu.... single parent ni mpenzi wa mtu
Ni kwa sababu ya dini, lakini penzi huwa lipo palepale na maisha huwa yanaendelea kama ilivyokuwa kwa mababu zetu.
 
Hao singo maza huwa wanapasha viporo na kina nani? Singo faza hawapashi? Msemage tu wazazi wenza huwa wanapasha viporo
Dogo kafunga ndoa na mke wa mtu, pana ndoa hapo wakati mke ana mtoto wa mtu?

Tunarudi kulekule, single mother huwa wanapasha viporo na wazazi wenzao
 
Sijasoma habari yako ni ndefu mno. Lakini nikushauri kitu "kama Dunia unaiona ni Mviringo basi nikuambie tu kua wewe unaiona dunia katika Uhalisia wake yaani unaiona dunia sahihi bila matatizo. Kama ungeiona dunia ni Pembetatu au kama Tofali aisee hapo kungekua na tatizo kubwa sana.

Ningekushauri the other way out. Kwa sasa huna tatzo nami sina cha kukushauri
 
Muache mkeo, umuoe Clara
Hapo ndipo watu wengi, hasa wanawake wanashindwa kuwaelewa wanaume.
Mke wangu si kwamba simpendi la hasha.
Wote nawapenda na nina enjoy company zso.
Tofauti ya wanawake , wanaweza kuwa na uhusiano na mwanaume mmoja tu, hadi wakosane.
 
Clara ni mrembo kweli ila tatizo ni maali akili zake zilipo.
IMG_20220110_105915.jpg
 
Back
Top Bottom