Ushauri wangu kwenu Simba. Badilisheni na hapa pia

Guru Master

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
594
Haji Manara si msemaji mwenye akili. Ni kama Yanga nasi tuna watu wetu wachumia tumbo. Ndivyo alivyo Manara.

Ni kilaza sana na ameota mapembe akidhani yeye ni mkubwa au yupo sawa na Simba. Mi naifahamu Simba kabla ya Manara. Sikuwahi mfahamu Manara mpaka alipokuja Simba.

Lakini miaka yote nmekuwa nikimpinga kama ambavyo nlikuwa nampinga Jerry Muro. Manara hana uelewa mzuri. Si smart kichwani, ana mihemko, jazba na hasira.

Lakini kwa Simba ya kisasa anapaswa apatikane msemaji ambaye ni professional. Mwenye akili,mwenye kuufahamu mpira.

Bila hivyo sioni Simba ikiwa ya kisasa upande huo.
 
...
Mkuu mimi nilishaandika humu, Simba iachane na Manara haraka iwezekanavyo. Hana weledi na kazi yake. Huwezi kujivuna eti wewe umeleta mashabiki Simba na Yanga.

Mashabiki wa timu hizi wapo tu na utawaona wengi au wachache katika kipindi cha mafanikio tu. Wakati wa Manji Mashabiki wa Yanga walikuwa wanajitokeza kuliko wa Simba na sasa zama za Mo kwa ajili ya mafanikio mashabiki wengi wa Simba wanajitokeza.

Kwa watu welevu Manara anaichafua zaidi Simba kuliko anavyoitangaza. (Kwa Tanzania hizi klabu mbili hazihitaji kutangazwa na msemaji). Walau Bumbuli kidogo ana weledi.
 
Mi Simba lakini kwa manara imetosha mara agombane na waandishi mara atukane viongozi wake, sasa hapo ntawashangaa Simba kama watamuacha, masikio yamezidi kichwa.

Waweke pale mtu makini asiyeropoka. Wakati mwingine hua nahisi anatumwa na Yanga kudemage interest za Simba.
 
Nilipenda san hamasa zake. Lakini tatizo la watanzania mafanikio kidogo anajiona ana uwezo sawa au kuliko taasisi. Haji amekuwa kama limbukeni wa umaarufu. Nadhani muda wa kutafuta changamoto sehemu zingine ni sasa.

Ni kama anataka awe untouchable hivi, yeye nani asiguswe au kuhojiwa? Kama mwajiriwa na binaadam huwezi kuwa sawa muda wote. Kuna muda utatoka nje ya mstari mwajiri lazima afanye wajibu wake.

Akiguswa anapeleka taarabu insta,anakuwa kama mwanamke mwenye kiranga,kifinyo kidogo tu mtaa mzima anajua. Mdogo mwingi huponza kichwa...Akibaki bila Simba akili itamrudia
 
Sisi mashabiki wa Simba tuko pamoja na Manara a.k.a Bugatti anafanya kama soka la bongo lilivyo.
Mpira wa bongo sio smart ni patashika nguo kuchanika,na watu wa kwenye soka ni vichaa,viongozi wa soka vichaa,mashabiki vichaa,wawekezaji wa soka vichaa,wadhamini wa soka vichaa,wizara ya michezo vichaa.
 
Mimi aliniudhi sana aliposema sijui tarehe 8 ikipangwa mechi Simba ha-to-ki...ndio maana hata kusogezwa mbele tu kwa mechi yanga waligoma kisa kudhani Simba ina mkono kwenye hilo.

Kilichoniudhi ni kutaka kutuaminisha kuwa uwekezaji wa wachezaji si kitu ila hizo tarehe ndizo zenye maana.Jambo hilo lilinifanya nipoteze hamasa kwa timu yangu Simba.Maana mimi naamini katika uwekezaji uwanjani kuliko uchawi.Kama wanautumia basi wajue watapoteza wapenzi wengi mno.Hakuna mtu aliye tayari kushangilia mashindano ya ndumba badala ya soka
 
Haji Manara si msemaji mwenye akili. Ni kama Yanga nasi tuna watu wetu wachumia tumbo. Ndivyo alivyo Manara.

Ni kilaza sana na ameota mapembe akidhani yeye ni mkubwa au yupo sawa na Simba. Mi naifahamu Simba kabla ya Manara. Sikuwahi mfahamu Manara mpaka alipokuja Simba.

Lakini miaka yote nmekuwa nikimpinga kama ambavyo nlikuwa nampinga Jerry Muro. Manara hana uelewa mzuri. Si smart kichwani,ana mihemko,jazba na hasira.

Lakini kwa Simba ya kisasa anapaswa apatikane msemaji ambaye ni professional. Mwenye akili,mwenye kuufahamu mpira.

Bila hivyo sioni Simba ikiwa ya kisasa upande huo.
Mwenye yale mabadiriko ya Senzo alipokuwa Simba ile nafasi ilikuwa ameshapata Gift
Mana vyeti viliongea.

Ila baada figisufigisu manara akarudishwa tena.
 
Sisi mashabiki wa Simba tuko pamoja na Manara a.k.a Bugatti anafanya kama soka la bongo lilivyo.
Mpira wa bongo sio smart ni patashika nguo kuchanika,na watu wa kwenye soka ni vichaa,viongozi wa soka vichaa,mashabiki vichaa,wawekezaji wa soka vichaa,wadhamini wa soka vichaa,wizara ya michezo vichaa.
kichaa wewe baba tusije tukachanganyana kwenye makundi yasiyoeleka tafadhali
 
manara sio professional na ndio sababu ya haya yote. akae pembeni aletwe mtu mwenye profession ya maswala ya habari. kinacholeta hamasa ni timu kufanya vizuri uwanjani na sio porojo za kwenye instagram na interview zenye manufaa binafsi.
 
Haji Manara si msemaji mwenye akili. Ni kama Yanga nasi tuna watu wetu wachumia tumbo. Ndivyo alivyo Manara.

Ni kilaza sana na ameota mapembe akidhani yeye ni mkubwa au yupo sawa na Simba. Mi naifahamu Simba kabla ya Manara. Sikuwahi mfahamu Manara mpaka alipokuja Simba.

Lakini miaka yote nmekuwa nikimpinga kama ambavyo nlikuwa nampinga Jerry Muro. Manara hana uelewa mzuri. Si smart kichwani, ana mihemko, jazba na hasira.

Lakini kwa Simba ya kisasa anapaswa apatikane msemaji ambaye ni professional. Mwenye akili,mwenye kuufahamu mpira.

Bila hivyo sioni Simba ikiwa ya kisasa upande huo.

Hakuna usasa kwenye Mpira wa Tanzania na huo usasa ndio umewafanya Azam mpaka Leo hata kombe la mapinduzi ni ishu kupata na Wana kila kitu

Manara ana mchango wake mkubwa tu, so lazima apate heshima yake

Na kama Haji ataondoka Simba Kwa ajili ya babra then babra atakuwa na wakati mgumu Sana kuiendesha simba
 
Mkuu mimi nilishaandika humu, Simba iachane na Manara haraka iwezekanavyo. Hana weledi na kazi yake. Huwezi kujivuna eti wewe umeleta mashabiki Simba na Yanga.

Mashabiki wa timu hizi wapo tu na utawaona wengi au wachache katika kipindi cha mafanikio tu. Wakati wa Manji Mashabiki wa Yanga walikuwa wanajitokeza kuliko wa Simba na sasa zama za Mo kwa ajili ya mafanikio mashabiki wengi wa Simba wanajitokeza.

Kwa watu welevu Manara anaichafua zaidi Simba kuliko anavyoitangaza. (Kwa Tanzania hizi klabu mbili hazihitaji kutangazwa na msemaji). Walau Bumbuli kidogo ana weledi.
Bumbuli naye ni hopeless hamna kitu pale. Bumbuli ni Manara mnyonge. Hovyo tu naye
 
Hakuna usasa kwenye Mpira wa Tanzania na huo usasa ndio umewafanya Azam mpaka Leo hata kombe la mapinduzi ni ishu kupata na Wana kila kitu

Manara ana mchango wake mkubwa tu, so lazima apate heshima yake

Na kama Haji ataondoka Simba Kwa ajili ya babra then babra atakuwa na wakati mgumu Sana kuiendesha simba
Manara hana mchango simba. Mnajidanganya na kumdanganya. Hamna kitu pale. Mnawezana naye mashabiki msio na elimu.
 
Back
Top Bottom