Ushauri wangu kwa Zuberi Zitto Kabwe

Zitto amejinyea na sasa anazidi kujipaka kinyesi kwa kufuta na mikono

Kinyesi sio jasho, ufutaji wake shurti uchutame, na utumie maji!!!

What is this Zitto?
 
Zitto anaendelea kuni-dissapoint! Bodi imemsimamisha MD kupisha uchunguzi. Uchunguzi haujanza kamati ya Bunge inataka kuingilia kati - kwa maslahi ya nani? Aliyesimamisha au aliyesimamishwa? Acha usanii dogo! Mkandara uko sahihi, huyu akitaka kusurvive kwenye siasa afuate ushauri wako.

Kingine, eti anakuja na hadithi za 'ikithibitika najiuzulu uenyekiti'. Sikiziliza, huwa wanakaa pembeni kupisha uchunguzi, ndio political maturity hiyo. Huo ujinga kwamba kuna watu wanavizia huo uenyekiti ni kiini macho tu, tunakumbuka wewe, Mrema na Cheyo mlivyochaguliwa kuongoza hizo kamati na hakuna lolote lililobadilika. Kwa hali ya Bunge letu haiwezekani kwa mpinzani wa kweli kuchaguliwa kuongoza kamati hizo, zitaongozwa na vibaraka tu.
 
Zitto anaendelea kuni-dissapoint! Bodi imemsimamisha MD kupisha uchunguzi. Uchunguzi haujanza kamati ya Bunge inataka kuingilia kati - kwa maslahi ya nani? Aliyesimamisha au aliyesimamishwa? Acha usanii dogo! Mkandara uko sahihi, huyu akitaka kusurvive kwenye siasa afuate ushauri wako.

Kingine, eti anakuja na hadithi za 'ikithibitika najiuzulu uenyekiti'. Sikiziliza, huwa wanakaa pembeni kupisha uchunguzi, ndio political maturity hiyo. Huo ujinga kwamba kuna watu wanavizia huo uenyekiti ni kiini macho tu, tunakumbuka wewe, Mrema na Cheyo mlivyochaguliwa kuongoza hizo kamati na hakuna lolote lililobadilika. Kwa hali ya Bunge letu haiwezekani kwa mpinzani wa kweli kuchaguliwa kuongoza kamati hizo, zitaongozwa na vibaraka tu.
Nadhani alisema kuliko wajumbe wengine waguswe,ni bora ajiuzulu,kwa maana hiyo,amejitolea kafara,hilo linaweza kuharibu matokeo ya uchunguzi endapo wajumbe hao watapata bangusilo.
 
Mambo yote hyanayohusiana na Zitto yametengenezwa na CCM ili wanaCHadema mzidi kukosa matumaini naye na kwa kufanya hivyo mtagawanyika. Zitto ana watu wanaomwamini sana na ambao wanajua fika kwamba ndani ya Chadema kuna mtandao vile vile..

.

Difference kati ya good leader na great leader: A good leader anajua 'madhaifu yake, lakini a greater leadera anajua namna ya kukabiliana na madhaifu yake.

Matatizo ya Zitto hayatoki nje ya Zitto. CCM au watu wengine wowote wamegundua udhaifu wake uko wapi na wakautumia, lakini yeye ndiye aliruhusu hayo yatokee maana kwa bahati mbaya alikuwa amekazana kuangalia kwingine badala ya kujiangalia mwenyewe. Na kama kuna kitu cha kurekebisha basi Zitto anatakiwa akubali, ndani ya nafsi yake madhaifu yake kama binadamu, na mojawapo ni kutotumia nguvu kubwa kupanda ngazi ya Maslow na kwa haraka. It will be very sad kuona Zitto anazidiwa ujanja wa siasa za kizamani toka CCM.
 
I have nothing more to say about Zitto, kwamba kila kitabu na zama zake sasa zama za Zitto zimekwisha ni wakati sasa wa kuzalisha Product mpya kwa ajili ya 2015. huyu yeye na Kafulila wanaruhusiwa kwenda kuanzisha chama chao.
 
Mkandara asante sana.

All the well wishers knows that Zitto is a prodigal son. Now what he need most is not to trade fire with fire. He simply need to pause and consider his ways.

Mh. Zitto. ambitions are all too natural traits for us all, none here is telling you anything to the contra. Neither do Mkandara or me or anyone really intends herein to lecture you brother.

What some of us perceives (may be wrongly) is when you foster your ambitions as the political absolutes. When you define things in a ruthless contrast to what CHADEMA manifests. Those two things really put you in direct jeopardy position.

It's obviously a sorry state to be in, so the quick it ends the better.

Bwana Reagan, it is very good what you are saying/commenting. Before you or any person becomes ambitious must decide a way through which you can channel your efforts towards the end. Just like what Makandara is puting it that when some one is for opposition, should NEVER try to sing the song of the rulling party ! what the said Mh. ZZK is trying to do, is to look for what others call "cheap popularity" which is in its real sense becomes "Very expensive" kama hivi unavyoona sasa.
 
M

Mkandara,

Upinzani wa kupinga kila kitu umepitwa na wakati.

Halafu kazi ya kamati sio kukosoa sera za Chama. Hii kamati ya POAC wanachofanya wao ni kama Auditing zaidi kuingia deep na kuainisha makosa ya kiutendaji na kushauri sasa unaposema afanye kazi za POAC kama mwanasiasa wa upinzani hapo sikubaliani na wewe labda useme wapinzani wakatae kabisa hata kuingia kwenye hizo kamati.

Kipindi cha Impeachment ya rais Clinton kule marekani walijitokeza hata wabunge wa Republicans wakaokoa jahazi wakati ilikuwa ni fursa nzuri ya kumtoa Clinton wao wachukue nchi. Siasa haziendi hivyo mazee.
Mkuu unazungumza kwa sababu UNAJUA siasa au unasema tu kwa sababu unafikiria ndivyo ilivyo?.

Hivi lini Kuvote impeachment ni sera ya chama?. Hapa inatazamwa haki kutokana na ushahidi sio swala la kusimama nyuma ya chama kwa sera. Kama scandal hii iliyopo leo kama kutakuwepo na trial na kina Msafiri wakasimamishwa kizimbani, sio lazima Chadema wote wavote Guilty ili kumwondoa Msafiri ktk Ubunge hata kama wanaamini hakufanya makosa..

Tofautisha kabisa kutumikia sera za chama kingine na kuvote, halafu pia mtumishi wa serikali (awe member wa CDM) kuitumikia serikalini..Ni todfauti kabisa na Mwanasiasa kutumikia sera za chama tawala. Umesema kazi ya POAC ni kama Auditing zaidi kuingia ndani sio. Nini maana ya Auditing? hivi kweli unaweza Ku audit kazi ambazo hazijafanyika bali ziko ktk mipango ya kuanza? Auditing unapitia mikataba na kujaribu kuwezesha uwekezaji nchini? Au watu hu audit kazi inayofanyika..Kamati yake ni external auditors sio internal uaditors..
 
Nakumbuka kuyasoma haya maneno kule kwa michuzi mwezi uliopita. Ni maneno mazito ambayo mwenyewe unaweza kuyarejea. Zitto kama kijana angejaribu kupitia ushauri kama huu

"Mr. Kabwe, you will agree with me that we are a generation that has been given so much, and so much is expected of us. We are expected to be wiser beyond our years; we are expected to be the supermen of our times, practically providing ideas and solutions to some of our most pressing needs and problems. We must therefore very careful not to be swayed by the populist discourse. Our leadership skills must be unquestionable; we must be highly disciplined, keen and patient when handling issues this delicate. Else, we are going to brand ourselves as power hungry, selfish, and self-centered humans that will stop at nothing in order to get public attention and sympathy" - John Mashaka
 
Mkandara,

Nakuunga mkono sana katika ushauri wako huu.Huku tunakoelekea i kuzuri.siasa za maridhiano kabla chama cha upinzani hakijaingia madarakani zinafifisha nguvu ya kuipinga na kuishinikiza serikali.

Ukifanya kazi ya maridhianao na serikali hiyo unataka irekebishe makosa halafu nafasi yako ya upinzani inakuwa irrelevant.mimi ni muumini wa falsafa ya mwanamapinuzi wa ufaransa na Ulaya napoleo bonaparte kwamba 'never interrupt your enemy when he's making mistakes'

Pia tujikite sana katika itikadi.kama kuna chama tunatakiwa kushirikiana nacho kama wapinzani ni vyama vingine vyenye sura ya radical reform katika focus yake na sio chama tawala.Simaanishi upinzani wa kupinga kila kitu but pia upinzani wa kuipongeza serikali katika mabo kadhaa lakini kimkakati.Siyo pongezi zinazokuondolea justification yako ya struggle na kuwashawishi wananchi waiondoe serikali hiyo madarakani.sifia kisera,walime kisera kwa akiba kubwa ya hoja ulizojiwekea kupambana na chama hasimu
 
Too much of Zitto of late.

But anyway, can someone present this quote to him in person before tonight's dinner?
 
ungeweka na mwandishi au sosi ya hayo maneno. kweli ni maneno yenye wosia. nyepesi kichwa ngumu sana vitu kama hivi hasikii. anapenda sifa balaa
 
mi naona anapewa coverage ambazo hazina msingi...just leave the guy the hell alone,shibuda karopoka wakina slaa wanamuangalia tu and am glad they are doing the same to this big headed politician.
 
Umesema ukweli hapa labda ndio maana sometimes inakuwa shida sana katika kujua au watu wengine kujua hasa kila anasimamia kitu gani watu walio mbali sana na masuala ya siasa hivyo lazima Zitto afuate ushauri wako
 
Zitto baada ya hili swaga la rushwa kupita, natabili atarudi kwa kasi sana ktk kuiwajibisha hii serikali ya ccm, baada ya kesho kutoa tamko kwa waandishi wa habari tutarajie yule Zitto wa Buzwagi 1997-1999

Wengi wanamfahamu Zitto wa Buzwagi, mie bahati nilisoma kipindi akiwa serikali ya wanafunzi DARUSO mwanzoni mwa miaka ya 2000, naukumbuka vizuri mgomo wa mwaka 2000 mpaka chuo kilipofungwa miezi miwili, kisha tukarudishwa. Ushiriki wake katika mgomo ule akiwa kama Waziri mmojawapo wa serikali ya wanafunzi ulikuwa na walakini kiasi tulimuona msaliti (japo si sana kama aliyekuwa Rais wa serikali ya wanafunzi), all in all, Zitto ni OPPORTUNIST and SELFISH kwa wasiomjua. Anatumia nafasi yeyote aipatayo kwanza kujiimarisha binafsi then chama baadae. He has never changed since then
 
Difference kati ya good leader na great leader: A good leader anajua 'madhaifu yake, lakini a greater leadera anajua namna ya kukabiliana na madhaifu yake.

Matatizo ya Zitto hayatoki nje ya Zitto. CCM au watu wengine wowote wamegundua udhaifu wake uko wapi na wakautumia, lakini yeye ndiye aliruhusu hayo yatokee maana kwa bahati mbaya alikuwa amekazana kuangalia kwingine badala ya kujiangalia mwenyewe. Na kama kuna kitu cha kurekebisha basi Zitto anatakiwa akubali, ndani ya nafsi yake madhaifu yake kama binadamu, na mojawapo ni kutotumia nguvu kubwa kupanda ngazi ya Maslow na kwa haraka. It will be very sad kuona Zitto anazidiwa ujanja wa siasa za kizamani toka CCM.
Sasa hapa ndipo mnapokosea nanyi.. Chama ni team players hakuna cha Zitto na matatizo yake. Anapoumizwa Zitto ni lazima myasikie machungu yake hata kama yeye ndio njia ya mkato..

Mpirani maadui wakijua namba tatu ndio njia ya mkato inatakiwa formation ya ulinzi ubadilike, namba saba anashuka kusaidia na namba sita vile vile anacheza zaidi half ya kushoto mnaposhambuliwa..Hii inasaidia kutofungwa magoli maana ushindi wa Soccer/Football hutokana kwanza na kutofungwa.

Halafu pia mkiwa na mshambuliaji mzuri sana lazima yeye atapewa maadui wengi zaidi na pengine hata kukwatuliwa atolewe nje ili oppositon team ipate kufanya wao mashambulizi.. Kumbuka Mechi ya Italia na France alipoondolewa Zidane.. Ilikuwa imepangwa japokuwa ni makosa ya Zidane, Italia ilikosa Ushindi..

Sasa mkisema haya maswala yanatokana na Zitto mwenyewe wakati ni player mzuri ktk team na hamna namba tatu mwingine au mshambuliaji kwa kiwango chake, well mtafungwa mengi sana na ndicho CCM wanakitaka.....Kumbuka tu huu ni ushauri wetu sote kwa sababu tunampenda sana..
 
Back
Top Bottom