OPTIMUS TZ
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 391
- 65
simjibii mwanasiasa Zitto Kabwe, bali najaribu kuelezea jinsi ninavyoona!
Tatatizo liko hivi (nafikiri) Zitto anataka kuendelea mbele katika siasa lakini tatizo anatoka familia ya kimaskini kama watz wengi tulivvyo, na ukweli ni kwamba kama huna pesa hakuna mafanikio katika siasa, huo ndio ukweli wenyewe! Sasa swali linakuja atapata wapi pesa? Kuna mawili aidha mtu au kikundi cha watu kimpe ili afanikishe azma yake ya kisiasa au yeye
mwenyewe atafute, lakini atafute wapi kwao sio matajiri?
Kwa hiyo njia pekee na raisi iliyobaki kuzunguka huko huko serikalini kwa watu wa CCm kufanya nao dili na mwishowe kupata pesa ambayo sasa anaweza kuitumia kukamilisha mipango yake ya kisiasa, lakini hiyo haiji bure ina bei pia na bei yake ndio kama hiyo anayoilipa sasa , na huu ni mwanzo mengi yatakuja kwa maana piga ua garagaza anahitaji PESA kama anataka kutimiza azma ya kusonga mbele kisiasa!
Ok, ila anakula wapi na ananawa wapi? kula TISS na kwa magamba ili aongoze CDM? asahau.......muda si mrefu atakuwa kijiwe kimoja na Amani Kabour aliyetaka kuLa kunako pishi kama ZITO!