kweli huu ni ushauri wa bure kama ule wa
sigara ni hatari kwa afya yako kwa maelezo zaidi endelea kuvuta
hahahhahaa
kweli huu ni ushauri wa bure kama ule wa
sigara ni hatari kwa afya yako kwa maelezo zaidi endelea kuvuta
Kumekua na mtiririko mkubwa wa mada za wanaume humu wakilalamika kusalitiwa na kuachwa,sipendi kusikia mwanaume mwenzangu analia,hivyo nawasaidia kwa mawazo,fanyeni hivi.
1. Usiwe na mpenzi mmoja,jitahidi uwe na idadi nzuri za wapenzi kadri uwezavyo. Ukiwa na mmoja siku akikuacha lazima utateseka,kuna kabila moja wana msemo kua kua na kibuyu kimoja cha maji ni hatari,siku kikitoboka utapata shida.
2. Usipende,jiweke katika mazingiza ya kutopenda,usiwe na hisia za upendo na mwanamke yoyote hata kama ni mkeo,kama utampenda siku ukigundua anachepuka au atakuacha utaumia sana.
Hizo njia mbili ndio suluhisho pekee la kukuepushia na maumivu ya mapenzi,idadi kubwa ya wapenzi na kutopenda. Kumbuka kutumia kondom.
Jamani naomben msaada mm mbona nashindwa kupost mada hapa jf nisaidie huwa mnafanyeje ?
Itawezekana tu ili mradi ukumbuke kutumia mpira.
Jamani naomben msaada mm mbona nashindwa kupost mada hapa jf nisaidie huwa mnafanyeje ?
Jamani naomben msaada mm mbona nashindwa kupost mada hapa jf nisaidie huwa mnafanyeje ?
kwa hiyo unamshauri babaako asimpende mamaako?
Kumekua na mtiririko
mkubwa wa mada za wanaume humu wakilalamika kusalitiwa na
kuachwa,sipendi kusikia mwanaume mwenzangu analia,hivyo nawasaidia kwa
mawazo,fanyeni hivi.
1. Usiwe na mpenzi mmoja,jitahidi uwe na idadi nzuri za wapenzi kadri
uwezavyo. Ukiwa na mmoja siku akikuacha lazima utateseka,kuna kabila
moja wana msemo kua kua na kibuyu kimoja cha maji ni hatari,siku
kikitoboka utapata shida.
2. Usipende,jiweke katika mazingiza ya kutopenda,usiwe na hisia za
upendo na mwanamke yoyote hata kama ni mkeo,kama utampenda siku
ukigundua anachepuka au atakuacha utaumia sana.
Hizo njia mbili ndio suluhisho pekee la kukuepushia na maumivu ya
mapenzi,idadi kubwa ya wapenzi na kutopenda. Kumbuka kutumia
kondom.
Watoto wa mimba za mikesha ya mbio za mwenge unadhani wanawajuwa hata baba zao?
Such a hopeless person,pole sana
kwa hiyo unamshauri babaako asimpende mamaako?
mpira wa miguu au mikono au wa nini....?
Huo ni ushauri kwa vijana wenzako sio wanaume.