Kumekua na mtiririko mkubwa wa mada za wanaume humu wakilalamika kusalitiwa na kuachwa,sipendi kusikia mwanaume mwenzangu analia,hivyo nawasaidia kwa mawazo,fanyeni hivi.
1. Usiwe na mpenzi mmoja,jitahidi uwe na idadi nzuri za wapenzi kadri uwezavyo. Ukiwa na mmoja siku akikuacha lazima utateseka,kuna kabila moja wana msemo kua kua na kibuyu kimoja cha maji ni hatari,siku kikitoboka utapata shida.
2. Usipende,jiweke katika mazingiza ya kutopenda,usiwe na hisia za upendo na mwanamke yoyote hata kama ni mkeo,kama utampenda siku ukigundua anachepuka au atakuacha utaumia sana.
Hizo njia mbili ndio suluhisho pekee la kukuepushia na maumivu ya mapenzi,idadi kubwa ya wapenzi na kutopenda. Kumbuka kutumia kondom.
Hakuna ushauri hapo
Mm! Idadi kubwa ya wapenzi? Hpn, na ukimwi je? kwanza utawahudumiaje? Unajua kuwa na mw'mke (sio mke) ni gharama? Tafuta wa kukupenda kwa dhati na wewe umpende kwa dhati mtaishi tu
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
yatabaki maneno tu hayo..... usifanye mchezo na emotions wewe.... utakuja kupenda mpaka unaugua shauri yako.... ngoja mie nifate moyo unasemaje....
Ukimpenda mkeo kwa dhat hakuach.
mm mwenyewe nashangaa eti me unatoswa afu unaumia?? wkt ndio kakulahsishia kupata mwngne..afu me uliekamilika huwezi kua na dem mmoja bana....at least 4 ni vzr zaid
mweeeeee majanga haya michepuko ya halalishwa mchana kweupeee
Good,very good. Mwanaume kumiliki mpenzi au mke mmoja ni kujitakia presha ya bure,tena kama unampenda ndio utawahi kufa.
Doooo unahalarisha michepuko, we unaowangapi mkuu