Ushauri wangu kwa wanaume

Ushauri wangu kwa wanaume

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,151
Reaction score
20,065
Kumekua na mtiririko mkubwa wa mada za wanaume humu wakilalamika kusalitiwa na kuachwa,sipendi kusikia mwanaume mwenzangu analia,hivyo nawasaidia kwa mawazo,fanyeni hivi.

1. Usiwe na mpenzi mmoja,jitahidi uwe na idadi nzuri za wapenzi kadri uwezavyo. Ukiwa na mmoja siku akikuacha lazima utateseka,kuna kabila moja wana msemo kua kua na kibuyu kimoja cha maji ni hatari,siku kikitoboka utapata shida.

2. Usipende,jiweke katika mazingiza ya kutopenda,usiwe na hisia za upendo na mwanamke yoyote hata kama ni mkeo,kama utampenda siku ukigundua anachepuka au atakuacha utaumia sana.

Hizo njia mbili ndio suluhisho pekee la kukuepushia na maumivu ya mapenzi,idadi kubwa ya wapenzi na kutopenda. Kumbuka kutumia kondom.
 
Kila ushaur una chembe ya hekima ndan yake,mfano huu kw mbaaaali san ukifany analyss utagundua vichache KUA MAKINI..
 
Huu ushuzii or sorry ushauri changanya na akili zako.
 
kweli huu ni ushauri wa bure kama ule wa

sigara ni hatari kwa afya yako kwa maelezo zaidi endelea kuvuta
 
Kumekua na mtiririko mkubwa wa mada za wanaume humu wakilalamika kusalitiwa na kuachwa,sipendi kusikia mwanaume mwenzangu analia,hivyo nawasaidia kwa mawazo,fanyeni hivi.

1. Usiwe na mpenzi mmoja,jitahidi uwe na idadi nzuri za wapenzi kadri uwezavyo. Ukiwa na mmoja siku akikuacha lazima utateseka,kuna kabila moja wana msemo kua kua na kibuyu kimoja cha maji ni hatari,siku kikitoboka utapata shida.

2. Usipende,jiweke katika mazingiza ya kutopenda,usiwe na hisia za upendo na mwanamke yoyote hata kama ni mkeo,kama utampenda siku ukigundua anachepuka au atakuacha utaumia sana.

Hizo njia mbili ndio suluhisho pekee la kukuepushia na maumivu ya mapenzi,idadi kubwa ya wapenzi na kutopenda. Kumbuka kutumia kondom.

Bush Lawyer.
 
Kama matairi ya mbele mawili ya mbele yanatembea basi ktk spidi ile2 hata matairi ya nyuma ya gari yatatembea!!!

Don't try to fight Emotions!!!!!
 
Back
Top Bottom