Napinga gharama kubwa za matumizi yasiyo ya lazima kwa viongozi wa Serikali hasa kutumia magari ya kifahari yenye kubwia mafuta

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Nov 30, 2022
607
553
Habari,

Nikiwa mmoja wa vijana wenye uchungu na nchi za Afrika napinga gharama kubwa za matumizi yasiyoya lazima kwa viongozi wa serikali hasa kutumia magari ya kifahari yenye kubwia mafuta.

Ni wakati sasa wa kuungana na kuyachoma moto yote iwapo hayatauzwa ndani ya mwezi mmoja kwa mnada ili fedha zitakazopatikana zijenge madarasa na kununulia madawa mahospitalini.

Tutakachoweza kusamehe ni magari ya Mh Rais tu mengine yote tutayachoma hapa Tanzania na kila mkoa iwapo hayatauzwa ndani ya kipindi hicho.

Huwezi kudai katiba mpya ndani ya ubadhirifu na wakati huohuo haoahao wanaotuandalia katiba mpya wanazunguka na mav8.

NO.

USHAURI:
Rais Samia anzisha bohari/kitengo cha magari kila mkoa ili kiongozi yoyote anayetaka kusafiri aombe gari kwa appointment huko na kama safari siyo ya muhimu anyimwe gari hii itawarekebisha.
 
Magari ya serikali wakati wa mwalimu ndiyo yanayotakiwa.
Unatoa notes kwenye keyboard, which means wewe ni keyboard worrier. Njoo barabarni na Bango lako shinda hapo upigwe jua ili ujue what means when we say mind your own business.
 
Unatoa notes kwenye keyboard, which means wewe ni keyboard worrier. Njoo barabarni na Bango lako shinda hapo upigwe jua ili ujue what means when we say mind your own business.
Huu uzi siyo wako binti umedandia tu tafata bwana kwingine siyo humu jf
 
Huu uzi siyo wako binti umedandia tu tafata bwana kwingine siyo humu jf
Pole,mimi nina watoto watatu na.mmoja wa nje wanne na bado nimepewa ofa ya kuzaa mwingine na mwanamke mwingine na message naweza nikascreenshot na kukutumia ukitaka.

Hivyo ujumbe wa kuniita she waambie hao mashi kesho siku yao.In fact ujumbe wangu ni kuwa Watanzania hatutaki changes, cc hanges is a straggle against defeat.
 
Screenshot_20230224-190858.jpg
 
Wewe na hao wanawake wenzio ni SHE
 
Back
Top Bottom