Ushauri wangu katika mahusiano yaliyovunjika

Magriit thinkaz habari senyu binafsi na kwa ujumla?

Hivi wikiendi ilikuwaje?

Mlikunywa responsibly? Mliplay safe sex?

Haya muambieni babu. leo hapa tunadiskasi nini hasa hasa.......mjukuu mmoja aniletee notibuku yangu huku chumbani.
 
Kama hizi "theories" zako zingekuwa kweli kusingekuwa na raha duniani.Kumbuka kwamba mahusiano yaliyo mengi hapa duniani huwa ni ya PILI au TATU na kuendelea - Mabikira wenye miaka 18 na kuendelea wamebaki wachache sana duniani! Kwa asilimia kubwa 99% ya watu waliopo kwenye mahusiano ni matokeo ya mafarakano yaliyopita!

Kwahiyo, ukianza kutafakari kwanini uliumizwa, unaweza ukaishia kwenye kutafakari maisha yako yote au, kama trend ninavyoinona sasa hivi, unaweza "ukaokoka".

The rule of thumb is:

Ukiumizwa, tafuta mwingine, endelea na maisha. Ukianza kutafakari unaongeza nafasi kubwa ya kukutana na idadi kubwa ya walioumizwa.

= = =

Have a nice working day
 
@Kyabushaija
Aisee we mtu!

Kwa hiyo Michelle akinigonga nahamia kwa LD naye akinigonga nakamata Keren akiniletea za kuleta nakamata Dena Amsi huyu naye aspoelewaka nashika Festiledi, kisipoeleweka natafuta mwanajamiiwani nisipomwelewa napigia simu Wiselady nisiponogewa naweka Prata ndani na hapo bado wapo kina JS, Maty et el Damn! Hivi nani alileta hii kitu inaitwa UKIMWI?
 
Asprin
Hapa tumepeana ushauri tu Babu,kwamba tuwe tunatulia pale tunapokutana na matatizo kwenye uhusiano.....na si kutafuta njia za haraka haraka za kukwepa kukabiliana na matatizo tuliyonayo na ambazo wakati mwingine zinaumiza watu.....Babu hajambo? kuna jambo unanidai...
 
Last edited by a moderator:
Babu kuna mjukuu mpya umemuona unamnyemelea nini?

Hupendi Kimey? babu ana namna ya kusihi na sisi,hutasikia hata siku moja mjukuu analalamika kanyimwa haki yake....l.o.l
habari yako binafsi?
 
Asprin
Babu sisi hapa tunafurahia ushauri wa aunt Michelle! Naona hiyo mtu ina tatizo kidogo. Naona hao ndo wanaondelea kuumiza wengine!
Mzima lakini Babu? Naamini ulifurahia weekend yako vizuri na bibi yetu nakutakia siku njema!
 
Last edited by a moderator:
Aisee we mtu!

Kwa hiyo Michelle akinigonga nahamia kwa LD naye akinigonga nakamata Keren akiniletea za kuleta nakamata Dena Amsi huyu naye aspoelewaka nashika Festiledi, kisipoeleweka natafuta mwanajamiiwani...nisipomwelewa napigia simu Wiselady nisiponogewa naweka Prata ndani na hapo bado wapo kina JS, Maty...et el............Damn! Hivi nani alileta hii kitu inaitwa UKIMWI?[/QUOTE]penye red,hilo ndo swali huwa najuuliza,nauchukia huu ugonjwa ni basi tu!
 
I appreciate you for this usefull post ingawa ni theoretically posibo but practically i hope time is the best healler of heart break.
 
@Kyabushaija
Siishi kwa theories mimi,wala siwezi na nilichoshauri ni kitu kimetukuta wengi tu na ndo maana watu tunajutia baadhi ya maamuzi yetu...kwamba tulifanya decision za haraka haraka hakuna sehemu nimesema mtu asiwe na uhusiano baada ya aliokuwa nao kuvunjika nilichoshauri,ni mtu achukue muda kuelewa na kukubali kilichotokea,asamehe na ajiandae na kujiamini kwamba sasa anaweza kuanza uhusiano mwingine.

Hata kama umekuwa na mahusiano mia moja,narudia as long as you live keep learning how to live kila siku lazima tujifunze na makosa na ukikwepa hili,utaishia kuwa unaendele kufanya kosa lile lile na pengine kuumiza watu.

Kuokoka si kitu kibaya,hakuna mikono salama na yenye amani kama ya Mungu kama kujiuliza kutakupeleka huko,nafikiri una bahati sana sina sehemu nimesema mtu asiwe na uhusiano tena naona unaniongezea maandishi kwa tafsiri yako binafsi.

Walioumizwa wako wengi tu,na si kitu cha ajabu kuachana na kukutana na aliyeumizwa,hawana label,lakini ukiwa katika hali ya utulivu kifikra inakuwa vizuri hata kumsaidia mwenzio kupona na ku-move on.
 
Asprin
Mkuu,

Hapo tupo pamoja when the going get tough.The tough get going!

Usipoteze muda kutafakari mahusiano yanapokwenda mrama Chukua Daladala nyingine endelea na safari itakusaidia kuepuka foleni na kuchelewa kwenye shughuli zako!

BTW: Utafitifi unaonyesha kuwa UKIMWI umefikia hatua ambayp kitaalamu inaitwa "RECESSIVE"!
 
Last edited by a moderator:
Asprin
Huyo akili yake na roho yake nishaisoma siku nyingi muache aendelee kusikiliza muziki wa kikongo tu.l.o.l:wink2:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom