Ushauri wangu katika mahusiano yaliyovunjika

Gurudumu
Mmmmhhh i think hilo la kusumbua lina-apply both sides,hata wanaume wapo ambao wakijua uko single wana-take advantage ya emotional vulnerability yako kuja kuleta longolongo zao,ni wewe usimame imara na ujue unalofanya human beings are opportunistic.

Kuhusu hilo la chemistry si kila mwanamke anayekufuata kama ilivyo kwa mwanaume anahitaji long term relationship ambayo inahitaji chemistry to sustain,some of them need some fun,and some just a fling ni wajibu wako pia kupima na kuamua as hawakulazimishi.
 
Last edited by a moderator:
Nailyne

Asante sana my dear,kwa kufafanua unajua hata watu wanaoenda nje ya ndoa hii mada inawagusa watu wanatofautiana ndani ya ndoa au kuna matatizo,mtu anaona option ni kwenda kutafuta kimada.

hatatui tatizo kwa namna hiyo na hili ni hatari kwa sustainability ya ndoa na familia kwa baadhi ya watu,matatizo mengine yangeweza kutatuliwa na wanandoa wenyewe.

Ila watu wanaamua kukomoa sijui kukwepa tatizo kwa kwenda nje ya ndoa its good to have time to reflect on relationships and heal and above all do the best to maintain the relationships among married people.
 
Last edited by a moderator:
amen,,niko mpenzi smtyms napenda kusoma zaidi nikiguswa na sred ndo nasema kama hv

mmhhh nimeupenda huo utaratibu my dear,na nitauiga kwa maslahi yangu binafsi......The beauty of GOD is beyond description:lol:
 
michelle,
Emotion is a result of hormones and neurons which do things like control timing of body functions, anger, fight or flight, horniness and other things.

"Emotional reactions are automatic not volitional and as such they are exempt from moral judgment. One cannot judge himself for things which are not under his direct control....There is no such thing as a “bad” emotion. All emotions are good, in that they provide one with evidence about his automatized value judgments."

Michelle,these people fail to identify the root of their psychological problems. It is not the emotion that is wrong, but the automatized judgment associated with it. It is only immoral if one pretends the problem does not exist....

Michelle this is the post of the day.....blessings!
 
AIZAK

AIZACK,this thread will help the those who will read it seriously to identify the roots of their psychological problems and make better decisions before starting new relationships.....i have managed to controll my emotions and i believe we can all control the reactions of our emotions.t

Thanks!
 
Last edited by a moderator:
Michelle
well said Michelle,

My take to those eaten by negative emotions watch your own emotions. They are signals that tell you something about what is happening in the inner you. This can be very useful as we often do not realize what is going on in that deep, dark subconscious inside of us.

There are more negative emotions than positive emotions. We can feel fear, anger, shame, hate, and yet beyond a basic happiness and joy, there are few other positive feelings.

A reason for this is because most emotions are designed to keep us alive. They signal warnings and prompt us to act, from running away to avoiding others to fighting back.

Be all blessed.
AIZAK
 
Last edited by a moderator:
AIZAK
Thats so true and thats why we have lots of bitter people,saddists and people who have lost hope Be blessed too.

Thanks AIZACK!
 
Last edited by a moderator:
Kabla ya kuingia katika mahusiano ni vema kumtanguliza Mungu maana mke mwema anatoka kwa Bwana, mume mwema vile vile. Ukienda kwa mbali utaona kuwa hatakuwa mke au mume kabla kwanza ya kuwa mchumba, na kabla yake mpenzi. Watu wengi wanaanza kuomba Mungu pale tu wanapotaka kuoa na wanasahau kuwa hata "demu" bomba anatoka kwa Bwana.
 
Crucifix
Kweli kabisa,Mungu ni wa kumtanguliza katika kila hatua nimeipenda hiyo ya hata "demu bomba hutoka kwa bwana".
na mimi Ninakuombea ubarikiwe na Mungu hadi ushangae.
 
Last edited by a moderator:
Ushauri mzuri michell ila hiyo sentensi "katika siku zangu chache hapa jamii forum..."
imenistua sana. Nilifikiri unataka kuaga.
Naomba uwe mshauri wangu ila sina cha kukulipa aunt michell
 
Ushauri mzuri michell ila hiyo sentensi "katika siku zangu chache hapa jamii forum..."
imenistua sana. Nilifikiri unataka kuaga.
Naomba uwe mshauri wangu ila sina cha kukulipa aunt michell

ha ha ha ha Husninyo,siku ya kuondoka sitaaga na siku ya kurudi nitarudi tu kimya kimya....l.o.l
ushauri ni bure kabisa my dear,anytime.....!!!!:hand:
 
Back
Top Bottom