Ushauri wangu katika mahusiano yaliyovunjika

doh!.......

kyabushaija.........

ok ok!naomba nianze upya kuisoma hii thread
 
hehehe tizama avatar ya sasa keshatubadilishia sasa hivi atudounload tuu kwenye cpu hehehe...kazi kweli kweli... haya ok tunong'onezane wenyewe tuu yee usimwambie umeskia ee??
kumbeeehhhh,ndo maana kapoa sana siku hizi,kadada ka valentine kanamtunza...l.o.l....simwambii,ntakuwa namchora tu.....!
 
babu nishainunua mawani yako lakini sijapata wasaa inshallah iko njiani..maandishi haya wayamudu kusoma ??..
Mawani yangu imepasuka upande mmoja...naogopa makengeza. Waweza nitumia nyingine?

Si unajua tena:
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S%20465.gif
true love never die
A%20S%20465.gif
A%20S-heart-2.gif
A%20S-heart-2.gif
 
hehehe tizama avatar ya sasa keshatubadilishia sasa hivi atudounload tuu kwenye cpu hehehe...kazi kweli kweli... haya ok tunong'onezane wenyewe tuu yee usimwambie umeskia ee??

nimeiona my dear,nimemwambia kuwa hata aweke nini sihami JF,inatisha eti eeeh?mi chichemi tena...l.o.l
 
Nashukuru sana sister kwa ushauri wako,mungu akuzidishie zaidi busara ili uzidi kutuelimisha!!
 
Uzi mzuri sana Michelle,nimejifunza mengi once again....Watu kipindi cha nyuma walikuwa na busara mno hata michango mizuri ukisoma unanufaika na mengi tofauti na siku hizi....Big up!!!
 
Last edited by a moderator:
Natumai wote ni wazima......

Katika siku zangu chache hapa Jamii Forums na hasa jukwaa la Mapenzi na Urafiki nimegundua jambo ambalo naona ni vizuri nikasema navyoliona;

Ukisoma katikati ya mistari ya baadhi ya threads zetu utagundua kuwa kuna baadhi yetu tumekuwa na mahusiano yasiyo mazuri na yaliyotuumiza sana na pengine kutufanya tujione hatuna thamani au wanaume wote/wanawake wote ni wabaya........

Kuna baadhi ya watu wanatafuta wapenzi au wenzi wa maisha wa jinsia tofauti,lakini hiyo chuki aliyonayo au dharau inakuonyesha wazi kwamba huyo mtu bado hajasamehe au kumuondoa Yule aliyemuumiza kwenye akili yake,kwa hiyo anatafuta pa kupunguzia maumivu yake au frustrations zake,mara wanawake hawaeleweki,wanaume wote waongo,wanawake wanapenda hela tu.......

Ushauri wangu:
Tuwe tunachukua muda baada ya kuvunjika au katika kipindi kigumu cha mahusiano,kutafakari yale tuliyokutana nayo,wapi tulikosea au wapi tulitendewa visivyo na tujiulize kwa nini?

Pili,kukimbilia uhusiano mwingine hakutakuondolea maumivu au chuki uliyonayo,you are likely to be hurt again even more,take time to heal,upone vidonda vyako then urudishe imani kuwa wapo wanawake/wanaume wazuri na unaweza kuwa nao,jiamini na kuwa mvumilivu,maisha si lelemama,na hauko peke yako uliyokutana na hali hiyo.

Tatu,tuepuke kuwaumiza wasiostahili,unakuta mtu kaumizwa na mwanamke/mwanaume anatafuta msichana au mvulana anamdanganya kuwa anampenda kumbe ili aweze kulala nae na baadaye anamfanyia vituko na kumuacha kwa kuwa hakuwa na nia tangu mwanzoni,Hii ni dhambi na roho ya mtu inayolia kwa ajili yako ni laana.Tuepuke sana kuwaliza watu wasiostahili.Tuwe wazi,mwambie you are just passing time.....

Take enough time to deal with your emotional works and heal your wounds, have a honest conversation with yourself before starting a new relationship.

Keep up loving yourself, keep up the faith and just be happy...... Exhale, embrace, enjoy and if you’re finding it tough today, remember this day shall pass and don’t get hijacked by your feelings.......Life is not a fairytale!!!!


Point tupu.

I salute you mama Michelle.
 
Back
Top Bottom