NILHAM RASHED
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 1,622
- 43
mmmm cpu tafadhal badilisha picture yako tangu jana silali naogopa kutafunwa lool...
Ni ushauri mzuri sana, tena sana
Ila tatizo ni wagonjwa wenyewe wako tayari kumezahizo dawa??
Mi nadhani hawa WAGONJWA watapita na kuziangalia tu hizi dawa bila kumeza