Ushauri wangu katika mahusiano yaliyovunjika

Na unajua deni hili lina riba? Weekend haikuwa njema, bila ya wewe around, siku huwa haiendi

Mi mzima mpendwa, eye hujambo? Nawe pia uwe na siku njema....nilikumisi sana wikiendi asee.

Babu... mimi mzima kwa kweli. Yes...weekend bila babu around ilikuwa imepooza.
Asante sana.
 
Babu..sisi hapa tunafurahia ushauri wa aunt Michelle! Naona hiyo mtu....ina tatizo kidogo. Naona hao ndo wanaondelea kuumiza wengine!
Mzima lakini Babu? Naamini ulifurahia weekend yako vizuri na bibi yetu...nakutakia siku njema!

Keren_Happunch;

Endelea kutafakari, kesho na kesho kutwa, nitakuona kwenye TV kwa Kakobe, Lwakatare, Mzee wa Hammer, Nabii Kyabushaija, e.t.c au naweza pia kukuta unakesha Hill-Tek au Standard Ubungo au Baracuda Tabata au Meeda Sinza!
 
Aisee we mtu!

Kwa hiyo Michelle akinigonga nahamia kwa LD naye akinigonga nakamata Keren akiniletea za kuleta nakamata Dena Amsi huyu naye aspoelewaka nashika Festiledi, kisipoeleweka natafuta mwanajamiiwani...nisipomwelewa napigia simu Wiselady nisiponogewa naweka Prata ndani na hapo bado wapo kina JS, Maty...et el............Damn! Hivi nani alileta hii kitu inaitwa UKIMWI?[/QUOTE]penye red,hilo ndo swali huwa najuuliza,nauchukia huu ugonjwa ni basi tu!

Ngoja mwenyewe aje akusikie
 
huyo akili yake na roho yake nishaisoma siku nyingi.....muache aendelee kusikiliza muziki wa kikongo tu....l.o.l:wink2:

Endeleeni kutafakari.... Tutakuwa tunakutana baa tu! halafu mnaaza kutu-hadithia maumivu ya mahusiano yenu wakati mnakunywa Amarula kwa "bill zetu" .. Tafakarini tu!
 
i appreciate you for this usefull post ingawa ni theoretically posibo but practically ................
i hope time is the best healler of heart break.

It has worked for some of us....you know what is theoretically to you is nor theoretical to me.....we differ.....and there is nothing hard if you have reasons to do what you are doing and strong convictions that what you are doing is right for you and others tooo!!thanks!
 
Mkuu,

Hapo tupo pamoja ... When the going get tough.. The tough get going!

Usipoteze muda kutafakari mahusiano yanapokwenda mrama .. Chukua Daladala nyingine endelea na safari ... itakusaidia kuepuka foleni na kuchelewa kwenye shughuli zako!

BTW: Utafitifi unaonyesha kuwa UKIMWI umefikia hatua ambayp kitaalamu inaitwa "RECESSIVE"!

Aisee we mutu:A S 13::A S 13::rain::rain:
 
Michele wewe na mama Terry mnaundugu? duh!!! uko juu dada, umenigusaaaaaaaaaaa
 
Keren_Happunch;

Endelea kutafakari, kesho na kesho kutwa, nitakuona kwenye TV kwa Kakobe, Lwakatare, Mzee wa Hammer, Nabii Kyabushaija, e.t.c au naweza pia kukuta unakesha Hill-Tek au Standard Ubungo au Baracuda Tabata au Meeda Sinza!

Wewe mbona hueleweki??!!! POLE. BTW, naitwa Keren_Happuch, na sio Happunch. Good day!
 
Endeleeni kutafakari.... Tutakuwa tunakutana baa tu! halafu mnaaza kutu-hadithia maumivu ya mahusiano yenu wakati mnakunywa Amarula kwa "bill zetu" .. Tafakarini tu!

Heaven forbid.....wewe ni nani nikueleze shida zangu? maisha yamenifundisha si kila binadamu anayepumua aweza kuwa msaada wakati wa shida,mi kwanza mtu wa kwenda kumueleza shida bar si type yangu.....keep dreaming,mimi yote kwa Mungu wangu,nikishindwa sana nina mama na kaka na dada na marafiki wachache wenye busara.......na si kila aendaye bar ana shida na offer za kitoto eti amarula......watu hela ipo,kulipa tunalipa wenyewe....
 
Michelle kumbe huna babu? Au babu yako sina busara? Agrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
 
Michele wewe na mama Terry mnaundugu? duh!!! uko juu dada, umenigusaaaaaaaaaaa
hata mimi kanigusa sana nikikumbuka nilivyohandle mkasa flani.Namwongezea degree ya Heteroreconcilliation in Planet Love
 
Heaven forbid.....wewe ni nani nikueleze shida zangu? maisha yamenifundisha si kila binadamu anayepumua aweza kuwa msaada wakati wa shida,mi kwanza mtu wa kwenda kumueleza shida bar si type yangu.....keep dreaming,mimi yote kwa Mungu wangu,nikishindwa sana nina mama na kaka na dada na marafiki wachache wenye busara.......na si kila aendaye bar ana shida na offer za kitoto eti amarula......watu hela ipo,kulipa tunalipa wenyewe....

Sawa Michelle, Nakuaminia ndugu (he/she)!

Saikolojia inatufundisha hivi ".. maisha yamenifundisha si kila binadamu.." maana yake ni tofauti sana na maana iliyokusudiwa
Saikolojia inatufundisha hivi ".. watu hela ipo, kulipa wenyewe.." maana yake ni tofauti sana na maana iliyokusudiwa

BTW - Angalia usifyatue herufi za keyboard yako - Kyabushaija has got so many "voices"!
 
Heaven forbid.....wewe ni nani nikueleze shida zangu? maisha yamenifundisha si kila binadamu anayepumua aweza kuwa msaada wakati wa shida,mi kwanza mtu wa kwenda kumueleza shida bar si type yangu.....keep dreaming,mimi yote kwa Mungu wangu,nikishindwa sana nina mama na kaka na dada na marafiki wachache wenye busara.......na si kila aendaye bar ana shida na offer za kitoto eti amarula......watu hela ipo,kulipa tunalipa wenyewe....

Dada Michelle...hebu achana na huyu ndugu! Asikuharibie siku yako bana! Remember, never argue with............! Have a blessed day!
 
Back
Top Bottom