Ushauri wana JF: Mke wangu hataki kuzaa

Ushauri wana JF: Mke wangu hataki kuzaa

Wana JF wenzangu naomba ushauri,

Najua kuna wataalamu wengi wa ushauri. Nifanyeje mwenzenu mke wangu hataki kuzaa, yeye anataka tendo la ndoa tu.

Nimejaribu kumuuliza kwanini hataki kuzaa? Anajibu yeye hataki habari za kusumbuka na visepe na nepi.

Nifanyaje na mimi nataka mtoto?

Muulize anataka kuzaa na nani?
 
Hapo pagumu, kwa nini hataki kuzaa?! Mie najua ndoto ya kila mwanamke ni kuwa na familia, miaka mitatu yote?! Starehe kala za kutosha, huyo atakuwa na shida au ni maelekezo ya mganga wake!!!

We mwambie utazaa nje kama hataki kuzaa, jibu lake litakupa mwanga. Kama hana shida we zaa tuu nje huko atie akili
 
Una uhakika anashika mimba lakini, isije kuwa anajua tatizo lake alafu anakuzuga tu hapo mda uende
Hilo nalo neno my fimily friend mume ana tatizo wameahangaika hospital wakaambiwa wanaweza zaa lakin kwa bahati tu coz ana low spm count wameish 8yr mke kabeba mimba kazaa wanalea ila baada ya hapo wala hawahangaiki tena hasa mume hana habari km anatatizo na mke a nataman watoto zaid so ndoa hizi saa zingine mmoja anafunika ndoto za mwingine kwa maratizo yake ye kajikubali hazai mwenzio anataka watoto huu ni mtihan eti
 
Hapo pagumu, kwa nini hataki kuzaa?! Mie najua ndoto ya kila mwanamke ni kuwa na familia, miaka mitatu yote?! Starehe kala za kutosha, huyo atakuwa na shida au ni maelekezo ya mganga wake!!!

We mwambie utazaa nje kama hataki kuzaa, jibu lake litakupa mwanga. Kama hana shida we zaa tuu nje huko atie akili
Nashukuru nitafanyia kazi
 
mi mwenyewe nimepanga nikizaa huyu ndo top,maana siyo mateso haya kwakweli.Tunaowazaa wenyewe ndo nyie kutwa kusengenya wanawake.mxuuuw!
 
Wana JF wenzangu naomba ushauri,

Najua kuna wataalamu wengi wa ushauri. Nifanyeje mwenzenu mke wangu hataki kuzaa, yeye anataka tendo la ndoa tu.

Nimejaribu kumuuliza kwanini hataki kuzaa? Anajibu yeye hataki habari za kusumbuka na visepe na nepi.

Nifanyaje na mimi nataka mtoto?
Oa aliye tayari kuzaa....
 
Ukristo kitu gani? Ni wakristo wangapi wameoa mke zaidi ya mmoja? Je wakristo wangapi wana watoto Nje ya ndoa? Kwani atakuwa wa kwanza?

Hiyo siyo sababu ya yeye kuzaa nje mkuu.
 
Back
Top Bottom