Chapota
Member
- Oct 25, 2017
- 96
- 53
Wana JF wenzangu naomba ushauri,
Najua kuna wataalamu wengi wa ushauri. Nifanyeje mwenzenu mke wangu hataki kuzaa, yeye anataka tendo la ndoa tu.
Nimejaribu kumuuliza kwanini hataki kuzaa? Anajibu yeye hataki habari za kusumbuka na visepe na nepi.
Nifanyaje na mimi nataka mtoto?