Ushauri wana JF: Mke wangu hataki kuzaa

Ushauri wana JF: Mke wangu hataki kuzaa

Na kweli hapo keshapata neno lake la ku slope nalo kila akiombwa kuzaa anatumia hiyo kauli, Wanawake navyowajua wanavyopenda kuzaa mapema wakimpata mtu anayeelewaka jamani
Kabisa Wanawake wakishampata MTU wakaridhika naye kila kitu ,huwa wanashika mimba fasta
 
Achan nae kama hataki kuzaaa wakaz gn tafuta alie tiyar kukuzalia yeye kama hataki aende akajiuze maana wanunuaji wengi hawataki watoto
 
Wakristo hawaruhusiwi kuachana mzigua 90. Soma vizuri comment yake. Sio kwamba nimetoa kichwani. Unamshauri MTU kulingana na uelekeo wake.
Wanaachana kwa sababu fulani. Akipeleka hilo shauri hata kanisa watabariki. Au basi tuseme atengane nae aoe mwanamke mwingine ndoa ya kiserikali ila huyo slay queen amtoe kabisa kwenye maisha yake.
 
Sio ataki kuzaa mara nyengine wewe ndo huna mbegu, umebaki kulima shamba hali yakuwa huna mbegu, nipe mimi ni pande, nina mbegu bora sana
 
Pole sana...
Jaribu kumwambia wewe unahisi utakua na tatizo la kizazi ndiyo maana unahangaika kutaka mtoto, kwa hiyo muende hospitali mkacheki...

Msikilize majibu yake...

Cc: mahondaw
 
Wanaachana kwa sababu fulani. Akipeleka hilo shauri hata kanisa watabariki. Au basi tuseme atengane nae aoe mwanamke mwingine ndoa ya kiserikali ila huyo slay queen amtoe kabisa kwenye maisha yake.
Honestly me simuachi... Natafuta shoo ya nje inayojielewa naipa kila kitu maisha yanaendelea, na tunazaa... Yule wa ndani namuweka wazi ila akiniambia kitu siambiliki, mpaka aikimbie ndoa mwenyewe... Kama kujishtaki atajishtaki yeye kanisani, by then me ntakua nimeshaukonga moyo wangu...
 
Kwahiyo unataka kumkomoa mkuu?
 
Kwahiyo unataka kumkomoa mkuu?
Simkomii, Mzigua... Mahusiano is a two way traffic... Not about what she wants, its about all of us as family.... That will be settling the score, si kukomoana...
Ningemuelewa sana huyo mke kama angekuja na hoja ya idadi ya watoto, but not visepe... [HASHTAG]#NyambafKabisa[/HASHTAG]
 
Una uhakika anashika mimba lakini, isije kuwa anajua tatizo lake alafu anakuzuga tu hapo mda uende
 
Back
Top Bottom