Ushauri wana JF: Mke wangu hataki kuzaa

Ushauri wana JF: Mke wangu hataki kuzaa

Mke wa Mjomba wangu aligoma Kuzaa lakini hapo ALIKUA ASHAZAA WATOTO WANNE...mumewe analazimisha waendelee... Aunt akagomaaa..!! Aisee mjombaa sio mtuu dadekii... ALIENDAA NJEE AKOAA UPYA...UKAZAA WATOTO WATATU WENGINE... Aunt akakubali kubeba mimbaa lakini ilikuwa too late saa hizi Mjombaa kahama kabisaa kwakee...Yupo kwa mchepuko..
 
Mna watoto wangapi?sio mtu unawatoto kibao bado unamchosha mwenzako...wenzako siku wanashinda mitandaoni kwahiyo akili zao zipo kwenye uchi na maziwa...wamedanganywa kuvilinda hivo,vibaki vdg hivo hivo ndo mume hatachepuka...au ulimtesa wkt ana mimba za mwanzo
Akikujibu unitag
 
Kasema ye mkristo haruhusiwi kuacha mke. Angalia vizuri Ndo mana nikshauri ajitahidi kuvumilia. Nimedanganya Vipi hapo?
Ukristo kitu gani? Ni wakristo wangapi wameoa mke zaidi ya mmoja? Je wakristo wangapi wana watoto Nje ya ndoa? Kwani atakuwa wa kwanza?
 
Ukristo kitu gani? Ni wakristo wangapi wameoa mke zaidi ya mmoja? Je wakristo wangapi wana watoto Nje ya ndoa? Kwani atakuwa wa kwanza?
Ndo umwambie wewe maana nimemshauri ndo akasema hivyo. Angalia koment yake ya nyuma
 
Wana JF wenzangu naomba ushauri,

Najua kuna wataalamu wengi wa ushauri. Nifanyeje mwenzenu mke wangu hataki kuzaa, yeye anataka tendo la ndoa tu.

Nimejaribu kumuuliza kwanini hataki kuzaa? Anajibu yeye hataki habari za kusumbuka na visepe na nepi.

Nifanyaje na mimi nataka mtoto?
Labda umri wake Mdogo Na bado hajapevuka
Wewe tulia tu muda utafika atamtafuta Huyo mtoto Mpaka atachoka
 
Wana JF wenzangu naomba ushauri,

Najua kuna wataalamu wengi wa ushauri. Nifanyeje mwenzenu mke wangu hataki kuzaa, yeye anataka tendo la ndoa tu.

Nimejaribu kumuuliza kwanini hataki kuzaa? Anajibu yeye hataki habari za kusumbuka na visepe na nepi.

Nifanyaje na mimi nataka mtoto?
Tafuta mwingine uzae nae, huyo inawezekana alishafanya abortion hadi kizazi kime-expire. Ukimpata anayezaa hamia huko kabisa,yeye kama anataka tendo la ndoa tuu, tupo tayari kukusaidia kumpa hilo tendo.
 
Mwambie naenda kuzaa nje , alafu fanyia kazi atakachokujibu.

Usikute hazai huyo,anakuzengua tu na Western life!!.
Na kweli hapo keshapata neno lake la ku slope nalo kila akiombwa kuzaa anatumia hiyo kauli, Wanawake navyowajua wanavyopenda kuzaa mapema wakimpata mtu anayeelewaka jamani
 
Mke wa Mjomba wangu aligoma Kuzaa lakini hapo ALIKUA ASHAZAA WATOTO WANNE...mumewe analazimisha waendelee... Aunt akagomaaa..!! Aisee mjombaa sio mtuu dadekii... ALIENDAA NJEE AKOAA UPYA...UKAZAA WATOTO WATATU WENGINE... Aunt akakubali kubeba mimbaa lakini ilikuwa too late saa hizi Mjombaa kahama kabisaa kwakee...Yupo kwa mchepuko..

Daaah hii kiboko yao. Ni mkoa gani?
 
Tafuta mwingine huyo niachie mm mkuu mie kamwe sinto msumbua kuhusu kuzaa kwan mie ninao
 
Du linanihusu. Mi mume wangu ndo hataki tuzae. Kama vipi mleta uzi akikuruhusu kuzaa nje njoo kwangu tuyajenge ( just kidding). Ila pole mwaya
 
Wana JF wenzangu naomba ushauri,

Najua kuna wataalamu wengi wa ushauri. Nifanyeje mwenzenu mke wangu hataki kuzaa, yeye anataka tendo la ndoa tu.

Nimejaribu kumuuliza kwanini hataki kuzaa? Anajibu yeye hataki habari za kusumbuka na visepe na nepi.

Nifanyaje na mimi nataka mtoto?
Inawezekana ana matatizo ya uzazi, labda hashiki mimba huyo...

Mimi nina ushuhuda wifi yangu wakati anaolewa na kaka alidai hataki kuzaa anaogopa uchungu, mara hataki kunenepa. Kaka amelalamika kwa wazazi, wifi kaitwa na kuulizwa anadai hayupo tayari, akiwa tayari atazaa kumbe ana matatizo hashiki mimba. Toka 2010 alipoolewa, hajapata mtoto mpaka leo, baada ya kaka kutishia kumuacha aoe mke mwingine ndo akasema ukweli. Sasa hv ndo wanahangaika mahospitalini

So mchunguze vzr au hata kwa ndg na marafiki zake
 
Haya pole basi inabidi uvumilie tu mpaka atakapokuwa tayari. Hapo hakuna namna ila sikushauri kupata Watoto Nje. Vumilia kaka ufuate dini Yako inavyosema. Unaweza kabisa
Tatizo ni kuwa mwanamke akiamua kutozaa anaweza fanya hivyo bila hata kumshiriksha mume. We utajua mko kwenye harakati za kutafuta mtoto kumbe ye keshadunga sindano za kuzuia kitambo. Kaazi kweli kweli
 
Wana JF wenzangu naomba ushauri,

Najua kuna wataalamu wengi wa ushauri. Nifanyeje mwenzenu mke wangu hataki kuzaa, yeye anataka tendo la ndoa tu.

Nimejaribu kumuuliza kwanini hataki kuzaa? Anajibu yeye hataki habari za kusumbuka na visepe na nepi.

Nifanyaje na mimi nataka mtoto?
Samahani mkuu.... Nimefuatilia majibu yako katika uzi huu... Naomba kujua kitu, kitika kipindi chote cha miaka 4 hajawahi hata kunasa ujauzito wa bahati mbaya mkaamua kutoa?? Miaka minne hujawahi kumbahatisha? Maana katika mazingira ya kawaida, na miili yote iko sawa, mwanamke akikupa vizuri ndani ya miezi mitatu humkosi... Namaanisha nikisemacho...
 
Back
Top Bottom