Ushauri wana JF: Mke wangu hataki kuzaa

Ushauri wana JF: Mke wangu hataki kuzaa

Mahusiano ya mwaka 1. Ndoa ina miaka 3
Ulipaswa kujua mnaenda kutengeneza familia kubwa kiasi gani kabla ya kuwekeana ahadi mbele ya kanisa.

Mvumilie tu huna jinsi. ..ila usiache kumkumbushia hitaji lako la kukuza familia kwa upole na upendo.

Usiache kautafiti kutoka kwa watu wanaomzunguka ili upate kujua kilichomsibu huko nyuma mpaka kufukia hapendi kuwa mama.

Pole na kila la Kheri.
 
%100 YA WANAWAKE WANAO OGOPA KUZAA UJUE HAO WANAMARADHI
SIKU HIZI HUJIFUNGUI WALA HUPOKELEWI KLINIK BILA YA KUPIMWA NGOMA
NI AMRI ANAPWA MKE NA MMEWE WOTE
SASA HUYO ANAHOFIA KUPIMWA NDIO MAANA HATAKI KUZAA
ushauri wangu MBEBANE WOTE WAWILI KUELEKEA ANGAZA KILA MMOJA AKAMHAKIKI MWENZIE
AKIKUBALI USISAHAU KUNI TAG MKUU
 
asante
 
Duuh, huyo mkeee, hawara?? Kwa maana hiyo hata kumma hakupi, au unapewa kwa masharti
 
%100 YA WANAWAKE WANAO OGOPA KUZAA UJUE HAO WANAMARADHI
SIKU HIZI HUJIFUNGUI WALA HUPOKELEWI KLINIK BILA YA KUPIMWA NGOMA
NI AMRI ANAPWA MKE NA MMEWE WOTE
SASA HUYO ANAHOFIA KUPIMWA NDIO MAANA HATAKI KUZAA
ushauri wangu MBEBANE WOTE WAWILI KUELEKEA ANGAZA KILA MMOJA AKAMHAKIKI MWENZIE
AKIKUBALI USISAHAU KUNI TAG MKUU
Bila shaka
 
Wanajf wenzangu naomba ushauri. Najua kuna wataalamu wengi wa ushauri. Nifanyeje mwenzenu mke wangu hataki kuzaa, yeye anataka tendo la ndoa tu. Nimejaribu kumuuliza kwa nini hataki kuzaa? Anajibu yeye hataki habari za kusumbuka na visepe na nepi. Nifanyaje nami nataka mtoto?
Ni Mkeo wa Ndoa au Mchumba sugu?
 
Sio mke huyo Bali hao ni wale wa kustarehe. Ulipaswa umweleze kwanza lengo lako la kuoa kabla. Cha msingi oa mke wa Pili kwa ajili ya Watoto huyo Bado sana. Ila usimwache. Na umweleze kabisa kua unaoa mke wa Pili kwa ajili ya kupata Watoto. Tena u mwambie unataka angalau Watoto 6 na kuendelea asilete upuuzi. Kama hawezi basi avumilie au aondoke kwa hiyari yake.
Asimwache vipi? Kwani kaoa ili afanye nae starehe au waanzishe family. Amwache aende akastarehe vizuri huko mbele. Kwanini ajiwekee mzigo wa kutunza wanawake wawili tena mmoja asie na faida nae.
 
Asimwache vipi? Kwani kaoa ili afanye nae starehe au waanzishe family. Amwache aende akastarehe vizuri huko mbele. Kwanini ajiwekee mzigo wa kutunza wanawake wawili tena mmoja asie na faida nae.
Anaonekana anampenda sana Ndo mana. Siunajua ukipenda bana. Hata ukiona chongo utaita kengeza. Ila uamuzi ni wake.
 
Mna watoto wangapi?sio mtu unawatoto kibao bado unamchosha mwenzako...wenzako siku wanashinda mitandaoni kwahiyo akili zao zipo kwenye uchi na maziwa...wamedanganywa kuvilinda hivo,vibaki vdg hivo hivo ndo mume hatachepuka...au ulimtesa wkt ana mimba za mwanzo
 
Asimwache vipi? Kwani kaoa ili afanye nae starehe au waanzishe family. Amwache aende akastarehe vizuri huko mbele. Kwanini ajiwekee mzigo wa kutunza wanawake wawili tena mmoja asie na faida nae.
Wakristo hawaruhusiwi kuachana mzigua 90. Soma vizuri comment yake. Sio kwamba nimetoa kichwani. Unamshauri MTU kulingana na uelekeo wake.
 
Back
Top Bottom