Ushauri wana JF: Mke wangu hataki kuzaa

Ushauri wana JF: Mke wangu hataki kuzaa

Wana JF wenzangu naomba ushauri,

Najua kuna wataalamu wengi wa ushauri. Nifanyeje mwenzenu mke wangu hataki kuzaa, yeye anataka tendo la ndoa tu.

Nimejaribu kumuuliza kwanini hataki kuzaa? Anajibu yeye hataki habari za kusumbuka na visepe na nepi.

Nifanyaje na mimi nataka mtoto?
Una mke wa ajabu kupata kutokea. ..

Miaka 30 mwanamke hana mtoto yet she is relaxed !!! Itakuwa hana uwezo wa kuzaa /hana kizazi . .

Mtoto mtamu jamani Mweee
 
kumbuka uliapa kwenye shida na raha
Sharia zetu ni kuwa kama mwanamke/ mwanaume alijijua ana tatizo akamficha mwenzie then likija kugundulika uamuzi ni kuwa hiyo ndoa ni batili /haipo .
 
Mahusiano ya mwaka 1. Ndoa ina miaka 3
Pole sana. Kwa kipindi chote hicho cha miaka 3 ndani ya ndoa hajawahi kushika ujauzito hata mara moja??

Je?! Mnatumia aina yoyote ya uzazi wa mpango? Kama hapana... This is very alarming.... Something is not right somewhere. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.
 
Kuna ulazima wa kutest mitambo kabla ya kuweka ndani, ikitiki unaoa, hii inasaidia kuondoa usumbuf kama anaoupata mtoa mada
 
Kwahiyo anataka kuwa mke wa starehe tu mkuu mwambie unaenda kuzaa nje
 
Nashukuru, ingawa uvumilivu umeanza kunishida.
Kama wewe ni mkristo mtakuwa mlipitia mafundisho ya ndoa kabla ya ndoa yenu. Lengo kuu la ndoa ni "Procreation" - uzazi. Kama mlifunga ndoa akijua kabisa hana uwezo wa kuzaa kutokana ma hitilafu mwilini mwake na akakuficha hilo, basi ndoa yenu ni batili toka awali. Na kama ni mzima, hana hiari ya kukataa mwenyewe kuzaa bila concesus yako. Mi nakushauri uwashirikishe wasimaizi wa ndoa yako, ikishindikana muone mchungaji/padre kwa suluhisho zaidi.
 
Asante kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom