Ushauri wana JF: Mke wangu hataki kuzaa

Ushauri wana JF: Mke wangu hataki kuzaa

Hii nayo kali...
Hataki mtoto kisa anaogopa nepi!?!?
Mwambie hajaja kutalii hapo.
 
Kama wewe ni mkristo mtakuwa mlipitia mafundisho ya ndoa kabla ya ndoa yenu. Lengo kuu la ndoa ni "Procreation" - uzazi. Kama mlifunga ndoa akijua kabisa hana uwezo wa kuzaa kutokana ma hitilafu mwilini mwake na akakuficha hilo, basi ndoa yenu ni batili toka awali. Na kama ni mzima, hana hiari ya kukataa mwenyewe kuzaa bila concesus yako. Mi nakushauri uwashirikishe wasimaizi wa ndoa yako, ikishindikana muone mchungaji/padre kwa suluhisho zaidi.
Ushauri huu siuafiki maana akienda kwa Padre atamkula tu. Atafute mtoto na Mke wake kama hataki (ambayo ni haki yake kikatiba) naye atumie haki yake ya kujiamulia apendalo azae Nje bila kupoteza wakati ati usuluhishi
 
Una mtoto?

Watoto.

Sioni kwanini unahoji maswali yote haya.My point was,"Wakristo/watu wengine kuzaa nje sio sababu ya kumshauri nayeye azae nje".Kuna mambo mengi tuu yanafanywa na watu ambayo siyo sahihi na kamwe hayahalalishwi ati kwasabab wengine wanafanya/wameshafanya .....
 
Watoto.

Sioni kwanini unahoji maswali yote haya.My point was,"Wakristo/watu wengine kuzaa nje sio sababu ya kumshauri nayeye azae nje".Kuna mambo mengi tuu yanafanywa na watu ambayo siyo sahihi na kamwe hayahalalishwi ati kwasabab wengine wanafanya/wameshafanya .....
Nilitaka kujua kama una watoto. Hivyo huwezi kuwa mshauri mzuri kwa mtu ambaye hana mtoto. Aidha kwa vile hujawahi kukosa mtoto ndani ukaamua kupata nje, hivyo huwezi kuwa mshauri mzuri. Kwa vile hujui machungu na raha ya kutokuwa na mtoto wa kwako wa kibailojia.
 
Wana JF wenzangu naomba ushauri,

Najua kuna wataalamu wengi wa ushauri. Nifanyeje mwenzenu mke wangu hataki kuzaa, yeye anataka tendo la ndoa tu.

Nimejaribu kumuuliza kwanini hataki kuzaa? Anajibu yeye hataki habari za kusumbuka na visepe na nepi.

Nifanyaje na mimi nataka mtoto?

Hilo tendo la ndoa si ndiyo linaleta mtoto au unavaa soksi?
 
Mleta mada kuna baadhi ya facts umeshindwa kuzi disclose hapa Kwenye baraza Kwa hiyo ushauri sahihi kuupata ni mashaka
 
Kama ni kweli,kama! Basi sio kwamba hutaki,ni kwamba mgumba.halafi wewe jiongeze,mwanamke anakuambia eti hataki kushika nepi na wewe unakariri hataki kuzaa.
 
Hamna kitu hapo, utapoteza mbegu zako bure. Angalia utaratibu mwingine.
 
Au anamatatizo ambayo anashindwa kukuambia hivyo anazuga kwamba hataki kuzaa. Jaribu kuongea nae ikishindikana, mwenzangu angalia ustaarabu mwingine. Maana its better kama ingejulukana kama hawazi kuzaa, ila sababu ni mzima buheri wa kizazi anakataa kuzaa, mzalie nje kwa kweli, akili itamkaa sawa.
 
Back
Top Bottom