the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Hawa jamaa wapo vizur..wana home theatre pia zakibabeKuna jamaa wapo Sinza wanajiitwa Amazing Life Style wanauza TV za aina mbalimbali na brand tofauti tofauti kwa bei nafuu sana, nimenunua TV mbili toka kwao na hazina shida yoyote mpaka sasa, pia ni waaminifu..ukiwa Dar unatoa oda wanakuletea mpaka ulipo ndio unawapa pesa, na hata mikoani wanasafirisha.. Wacheki instagram AMAZINGLIFESTYLETZ uone bidhaa zao na ujiridhishe
Mkuu kuna kitu jamaa yangu fulani anatak nimshauri kuhusu TV LED za LG ni model ipi nzuri kwa sasa pia n bei ziko na rate ngapi,pia ni mhz ngapi inafaa kwa kuchezea game,na akitaka aifanye kuwa SMART ni kitu kifaa gani atafute.ahsantehsmart tv haihusuani n.
tv ziko nyingi sana ataje yeye budget yake. kwa games angalau 60hz ila ikizidi 100 ni vyema zaidi. kama Hana pc kali au ana console ambazo nyingi wamezi cap kwa 30fps tv yoyote inafaa.Mkuu kuna kitu jamaa yangu fulani anatak nimshauri kuhusu TV LED za LG ni model ipi nzuri kwa sasa pia n bei ziko na rate ngapi,pia ni mhz ngapi inafaa kwa kuchezea game,na akitaka aifanye kuwa SMART ni kitu kifaa gani atafute.ahsanteh
Yeye anahitaji TV mpya ila iwe brand ya LG LED sio smart inch 32 bei ambyo itakayokuwa reasonable ndo option kwaketv ziko nyingi sana ataje yeye budget yake. kwa games angalau 60hz ila ikizidi 100 ni vyema zaidi. kama Hana pc kali au ana console ambazo nyingi wamezi cap kwa 30fps tv yoyote inafaa.
akitaka aifanye kuwa smarr tv box yoyote ya android au windows inafaa.
kama hataki 32 inch sweet spot ni 43 inch around 900,000 mpaka 1,100,000 inakuwa ni full HD na pia ni smart.Yeye anahitaji TV mpya ila iwe brand ya LG LED sio smart inch 32 bei ambyo itakayokuwa reasonable ndo option kwake
ultra HD ni resolution tu so tv inaweza kuwa UHD na vile vile ikawa LED
nina toshiba 40"nyoko kinomaLG,SAMSUNG na SONY hizo ndo TV brands zinazoeleweka na hata ukiziweka ndani unaeleweka kwamba unajua unachokifanya.SINGSUNG,TCL,ZEC,BRUHM tupa kule.
Tv hutengenezwa kulast longer or life time!miaka miwili ninya warant tu lakini tv onatarajiwa kuanza kuleta ungese baada ya miaka 15 au 20 tena hapo watoto wamevunja remote au buton wamezivunja nk mpaka sasa watu wana tv functional za mwaka 1970 black and white kibongo bongo zile philip hotel ni za miaka ya 85 mpaka 1990 na zipo mitaani !Mi natumia hisense - led ni sana, ina miaka miwili haijawahi nisumbua na si ghari sana unaweza kuimudu
bei? maana ni inch 22 tu, na ni mpya au used?Msaada Wa Hii Samsung TV Ubora Wake Na Ikiwa Ni Original
Model : LE22S81B
Model Code : LE22S81BX/XEC
Type No : JA22EO
Wataalam Ushauri Wenu
Hii kauli yako ilikuwa na nguvu mwaka 2009-2014...Samsung ni bora zaidi sony.
Sasa life span ya miaka 6 kwa tv unaona ni ndogo hio ulitaka mpaka iote ndevu au?Mkuu niliinunua hiyo TV 2012 JULY pale mlimani city juzi imebuma...
ilianza kujigawa Kati yaani chini inaonesha rangi ya kijani juu blue Mara mda mwingine rangi yote inavurugika kabisa in short ni kero tu nimejaribu mafundi wee wapi nimeamua iweka kando tu...
Hazina shida, anaenunua TCL ya kishamba ndio atasema sio full hdTCL zinashida gani wakuu?
Sasa life span ya miaka 6 kwa tv unaona ni ndogo hio ulitaka mpaka iote ndevu au?
Sasa life span ya miaka 6 kwa tv unaona ni ndogo hio ulitaka mpaka iote ndevu au?
Sasa life span ya miaka 6 kwa tv unaona ni ndogo hio ulitaka mpaka iote ndevu au?
Ooh kumbe 2012-2015 ni miaka 6?Sasa life span ya miaka 6 kwa tv unaona ni ndogo hio ulitaka mpaka iote ndevu au?
500k to 550k INCH 32 LED bajeti yakekama hataki 32 inch sweet spot ni 43 inch around 900,000 mpaka 1,100,000 inakuwa ni full HD na pia ni smart.
kwa 32 inch ambazo sio smart anapata around laki tano.
jumia ni nzuri kwenye kuangalia model za tv
LG TV, Audio & Video - Buy online | Jumia Tanzania