Chukua LG mkuu 32 inch inauzwa 700,000/= ukiwa muongeaji hadi 680,000/= unapata nenda kwa benson kwa arusha ndo mtu.at least anaaminika because ni agent wa LGNimeamua kuachana na TV-chogo.... nataka kununua flat screen... wadau wenye kuzijua vizuri... je! aina gani ni nzuri? kwa hapa Arusha zinapatikana duka gani? bei yake tafadhali?
Asante mkuu!zipo kibao hela yako tu.
hii hapa ilikuwa milioni 5 ipo kwenye punguzo milioni 3.9
LG 55”- 3D SMART ULTRA HD TV 4K 55INCHES'' UF850T Tv
Asante mkuu!
Na je smart TV zote zinaanzia FHD hadi UHD? Na hizi 3D zikoje??
Asante kwa maelezo mazuri chief mkwawa.wewe ni mwalimu mzuri sana.
Nina swali,tuchukulie MTU kafata ushauri wako wa kununua TV box/cast akiwa anahitaji kupata 3D inakuaje?au ndo itabidi tu anunue screen ambayo ni 3D?
Mkuu umenijibu vizuri sana!smart tv haihusuani na resolution ya tv, smart tv inamaana tv yako inakuwa na operating system na kuweza kufanya task kama kuangalia video online, kuplay movies na interface nzuri nk.
mfabo wa operating system za tv ni kama tizen ya samsung, web os ya lg, firefox os ya mozilla na android tv ya google.
ila kwa uzoefu wangu mimi smart tv zinauzwa bei ghali sana, unaweza nunua tv ya kawaida then ukanunua na tv box/cast na kuifanya tv iwe smart bila gharama kubwa.
ukisema HD, FHD na UHD hizi ni resolution au kwa lugha rahisi ni idadi ya pixel ambayo tv yako inayo
HD- 1280x720. hapo inamaana kiupana kuna pixel 1280 na kiurefu pixel 720 ukizidisha hapo inamaana jumla tv ina pixel milioni moja
FHD- 1920x1080 ambayo ni pixel milioni 2
UHD- 3840x2160 ambayo ni roughly pixel milioni 8
kwa majina mengine hd ni 1 megapixel, fhd ni 2 megapixel na Uhd ni 8 megapixel
3d au 3 dimension ni ngumu sana kuielezea kwa maneno ila kiufupi unaona vitu kama reality, mfano kwenye movie mtu karusha kisu upande wako unaweza kuinama sababu unafeel kabisa kinakupiga wewe, ili uone 3d kwa tv itabidi uwe na miwani ambayo mara nyingi inakuja na tv.
Maelezo mazr yameenda shule..mimi nina RISING -LED.32' naulizia iyo tv box/cast inauzwa shingap kw dar?Mkuu umenijibu vizuri sana!
Na maelezo yako ndiyo niliyoyahitaji!
Asante sana
Jamani wakuu nahitaji kununua flat tv iwe kati ya sony bravia sumsung au LG inchi 32 anaejua bei zake anisadie au anejua duka lolote linalouza original kwa hapa DSM.
duka lako liko wapi na kontakt zako??Habari ya mjini ni smart TV ya LG ya "42" ambayo ina play hadi 3D, Blue rays na internet
Nitakutafuta mkuu unipe msaada wako..smart tv haihusuani na resolution ya tv, smart tv inamaana tv yako inakuwa na operating system na kuweza kufanya task kama kuangalia video online, kuplay movies na interface nzuri nk.
mfabo wa operating system za tv ni kama tizen ya samsung, web os ya lg, firefox os ya mozilla na android tv ya google.
ila kwa uzoefu wangu mimi smart tv zinauzwa bei ghali sana, unaweza nunua tv ya kawaida then ukanunua na tv box/cast na kuifanya tv iwe smart bila gharama kubwa.
ukisema HD, FHD na UHD hizi ni resolution au kwa lugha rahisi ni idadi ya pixel ambayo tv yako inayo
HD- 1280x720. hapo inamaana kiupana kuna pixel 1280 na kiurefu pixel 720 ukizidisha hapo inamaana jumla tv ina pixel milioni moja
FHD- 1920x1080 ambayo ni pixel milioni 2
UHD- 3840x2160 ambayo ni roughly pixel milioni 8
kwa majina mengine hd ni 1 megapixel, fhd ni 2 megapixel na Uhd ni 8 megapixel
3d au 3 dimension ni ngumu sana kuielezea kwa maneno ila kiufupi unaona vitu kama reality, mfano kwenye movie mtu karusha kisu upande wako unaweza kuinama sababu unafeel kabisa kinakupiga wewe, ili uone 3d kwa tv itabidi uwe na miwani ambayo mara nyingi inakuja na tv.
Nipo mwanza mkuu hilo duka lipo mtaa gani!?? Alaf kwa hussein sokoni nasikia huwa analeta vitu fake sana ingawa ni cheap kuliko almost maduka yote musoma..Ndo maeneo gani hayo mzee?
Maelezo mazr yameenda shule..mimi nina RISING -LED.32' naulizia iyo tv box/cast inauzwa shingap kw dar?
Tu naomba hizo features za projector ambazo ni Kali zaidi ya hizi TV za smart mkuu.Naona kila mtu ni habari ya TV.. mie swala la TV nilishalisahau. Hizi flat ni bei na pia kila mda kna release mpya kiasi kwamba leo waeza kua na ya 1.2m kesho ukaiona kama vile ulipewa zawadi na huezi kusema bei uliyonunulia mbele za watu.
Hamia katika PROJECTOR.. unapata screen dimension upendayo ww, portability ktk kuhama hama na waeza safiri nayo na kufanyia projects zako zingine. Na uzuri zna features kibao kuzid hata hizo flat smart tv za mamillioni.