Ushauri wa ndoa hii changa unahitajika kwa haraka

Salam kwa wanajukwaa,. Kuna kisa kimoja ambacho nimekutana nacho katika kushauri wanandoa wapya ambao ndoa yao ina kama miezi miwili tu tangu walipofunga pingu za maisha. Nilibaki kinywa wazi baada ya kijana kuanza kutoa maelezo na alipovua shati kifua chote kilikuwa kimeja alama na vidonda sehemu alizo ng'atwa na mke wake wakati wakifanya tendo la ndoa.Je umewahi kukutana na hali hii na inasababishwa na nini? Je ni ugonjwa?
awe makini kaoa viampire
 
Utamu wa ngono huja na vingi
Kung'atwa
Kufinywa
Kupigwa vibao
Kulia
Kupiga kelele
Vingine haviandikiki
 
Tukiwambia muwafanyie volunteers wanawane mnaotarajia kuwaoa hamtaki

Haya ñdo matokeo yenyewe sasa .mwamba hili swala angesanuka mapema
 
Dah pole kwake ila kuna aina ya watu wanaridhika au wanaenjoy tendo la ndoa vizuri zaidi kama wakimsababishia patner wake maumivu(sexual stratification is achieved by inflicting pain to her spouse) hii hutokea tu naturally ni sawa na jinsi wengne wanaenyoy zaid mapenz kwa kumkaba au kukabwa na wenza wao wakati wa tendo,wengne huenjoy zaidi wakati wa tendo wawe wanatukanwa,kupigwa au hata kufunikwa na mfuko ili wakose hewa ndio waweze kufikia kilele cha furaha ya tendo. kwa hyo hilo suala lipo sana sana kisaikolojia hivyo amtafute mtaalamu wa saikolijia anaweza kumsaidia.
Hapo pa kufunikwa na mfuko
 
Mbona kama ndo wewe mhusika
Mimi si mhusika wahusika ni vijana waliooana hivi karibuni sasa wakaamua wanishirikishe kwa kuwa Mimi ni mhenga ndipo nikabaki kinywa wazi maana sijawahi kukutana na kesi kama hii.Ndipo niliamua nilete kisa hivi hapa jukwaani na nimejifunza mengi.
 
Ahakikishe anapompelekea moto hatumii style za face to face..

Sasa najiuliza angekuwa mpnz wa kusukuma ukuni huku ananyonya na mate, si angekuwa bubu tayari(ulimi ushakatwa kitaambo)
 
Salam kwa wanajukwaa,.

Kuna kisa kimoja ambacho nimekutana nacho katika kushauri wanandoa wapya ambao ndoa yao ina kama miezi miwili tu tangu walipofunga pingu za maisha.

Nilibaki kinywa wazi baada ya kijana kuanza kutoa maelezo na alipovua shati kifua chote kilikuwa kimeja alama na vidonda sehemu alizo ng'atwa na mke wake wakati wakifanya tendo la ndoa.Je umewahi kukutana na hali hii na inasababishwa na nini? Je ni ugonjwa?
Huyo mwanamke ni CARNIVOROUS. Huyo jamaa akae naye mbali!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom