Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,665
- 16,037
Kuna wanaorogwa kweli ila wengine wanajirogeshajambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza, tunarogwa sana mimi ofisini kuna mtoto wa watu ananiwinda sana licha ya kumchana live kuwa nna mke lakin naona aniletea hadi chakula