Ushauri wa leo kwa kaka zangu

Ushauri wa leo kwa kaka zangu

Sikuhiz hakuna wanawake kuna OmbaOmba pesa, walevi na madanga... Kiukweli nyie mnaotaka kuoa nawaonea huruma sana maana karibia wanawake wote hawafai... Ndio maana singo maza wanaongezeka kwa kasi... Wanaume wameamua kuishi bila ndoa ili kukwepa kero za ndoa
 
Kweli, kuna wengine inawezekana wanatekwa kama hivyo ulivyosema ila sasa sio wote. Wengine ni kile kiburi cha pesa anaanza kufanya vitu ambavyo alishindwa kuvifanya wakati hana kitu.
Hawa hawarogwi wala nini wanatafuta tu kichaka cha kujifichia, wakiwa huku mitandaoni wote wanajikuta ni kina kiranga kujifanya hawaamini uchawi, lakini kwenye kuchepuka ndio wanakumbuka uchawi upo na kusingizia wamerogwa kumbe wanajua wanachokifanya
 
Kama saiv unapata bidhaa nzuri tu yenye div 1 kali tu inaripoti mwezi wa 11 unaunga nayo unakuta Sio second handed, na hata ikiwa second handed bado haijapoteza ubora wake!
Kua mjanja Sio kila nsiku unahangaika na java na data structure & algorithm
kwahiyo vibinti vya form 6 ndo vimekamilika??

nini linakufanya useme hivyo
 
Hawa hawarogwi wala nini wanatafuta tu kichaka cha kujifichia, wakiwa huku mitandaoni wote wanajikuta ni kina kiranga kujifanya hawaamini uchawi, lakini kwenye kuchepuka ndio wanakumbuka uchawi upo na kusingizia wamerogwa kumbe wanajua wanachokifanya
jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza, tunarogwa sana mimi ofisini kuna mtoto wa watu ananiwinda sana licha ya kumchana live kuwa nna mke lakin naona aniletea hadi chakula
 
Kama saiv unapata bidhaa nzuri tu yenye div 1 kali tu inaripoti mwezi wa 11 unaunga nayo unakuta Sio second handed, na hata ikiwa second handed bado haijapoteza ubora wake!
Kua mjanja Sio kila nsiku unahangaika na java na data structure & algorithm
Ni hawa watoto wanaotoroshwa na baba jose au Kuna wengine???
 
Siku hz ht kama tuna kiapo cha damu ukianza misbehaving tu...na me natafuta namna yangu ya kujipa furaha
Maana huko bar kumejaaa waume za watu wakiwa na furaha halafu wake zao wanahaha na watoto nyumbani
ukiwa unaitafuta furaha uzidishe na maombi kuna wenzenu wana ndumba kali sana
 
Back
Top Bottom