Ushauri wa kitaalamu samsung A32 au Redmi Note 10

Mkuu hii simu nimeangalia GSM arena eti haina 4G network ni 3G tuu ni kweli au sijaangalia vizuri tu🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️
inayo 4g, unless mtu atumie processor za zamani sana, simu zote mpya zina 4g, cha muhimu angalia tu band.
 
Karudie kusoma
gsmarena.com
Nimesoma Mkuu Redmi Note 10 sijaona "4g" labda na wewe soma alafu nieleweshe.
Screenshot_20210422-103753_Chrome.jpg
 
Mwenye uhitaji wa chap nimepokea simu yangu leo toka aliexpress redmi note 10 gb 64 nauza kwa tsh laki sita kamili alie na uhitaji anicheki 0693057605 kabla sijaitoa ubikira
 
Mwenye uhitaji wa chap nimepokea simu yangu leo toka aliexpress redmi note 10 gb 64 nauza kwa tsh laki sita kamili alie na uhitaji anicheki 0693057605 kabla sijaitoa ubikira
Ndo ile ulonambia umeifata posta.. Unauza tena daah
 
Back
Top Bottom